KIM JOHN UN
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 744
- 1,075
ALIEVIONA VIDOLE VYA NDUGUAYI AJE HAPA
Kwamba baba yake ni mkweo ama siyo?Sijui hata kama unamfahamu baba yake vizuri
Swissme
Duh!
Kuna mtu allizusha Spika Ndugai hana vidole?
Aisee!!!
Nyumbuza Mange akisema wanaweka akili nyuma wanaamini tu. Kwao Mange ni Kama maandiko toka juu Hana shaka ndani yake
Walisema Mtulia yu hoi kitandani, Jana Mtulia kaapishwa akiwa mwenye siha njema na bashasha
Walidai Rais ni mhutu, hawakujiuliza alikuaje mbunge, waziri Hadi Rais bila kathibitisha uraia wake huko kote ila leo Nondo kuhojiwa uraia wake wanajiuliza kwanini leo, kwani kasomaje huko nyuma Hadi chuo kwa pesa za serikali kama sio raia.
Kosa kubwa sana la kiufundi wanafanya kushikiwa akili na Mange
Oh sasa kwanini mnataka Ndugai awathibitishie kwamba amepona kabisa wakati anaoneka mwenye siha njemaHapo kwenye BOLD... Hivi ukiumwa leo, kesho huwezi kuwa na siha njema?
Hujajibu swaliOh sasa kwanini mnataka Ndugai awathibitishie kwamba amepona kabisa wakati anaoneka mwenye siha njema
Ifike Mahali hawa watu wanaowazushia watu mambo mabaya wachukuliwe hatua KaliYaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, uongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa.
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea! Juzi tumemuona bungeni akila kiapo.
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
Bado inaweza kuwa ni kweli. Labda avue viatu na soksi ili tujiridhishe maana siye ni akinatomasoDuh!
Kuna mtu allizusha Spika Ndugai hana vidole?
Aisee!!!
Yaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, uongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa.
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea! Juzi tumemuona bungeni akila kiapo.
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nyumbuza Mange akisema wanaweka akili nyuma wanaamini tu. Kwao Mange ni Kama maandiko toka juu Hana shaka ndani yake
Walisema Mtulia yu hoi kitandani, Jana Mtulia kaapishwa akiwa mwenye siha njema na bashasha
Walidai Rais ni mhutu, hawakujiuliza alikuaje mbunge, waziri Hadi Rais bila kathibitisha uraia wake huko kote ila leo Nondo kuhojiwa uraia wake wanajiuliza kwanini leo, kwani kasomaje huko nyuma Hadi chuo kwa pesa za serikali kama sio raia.
Kosa kubwa sana la kiufundi wanafanya kushikiwa akili na Mange
Kumbe hukujua hilo? hadi akafikia kuitwa "mkoma yuko India"Duh!
Kuna mtu allizusha Spika Ndugai hana vidole?
Aisee!!!
Kwani enzi za wahenga kulikuwa na lifti? Ni ukweli mtupu ulionena.Yaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, uongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa.
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea! Juzi tumemuona bungeni akila kiapo.
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
Onyesha kama spika anavidole vyote vya miguu yake!!!?Nyumbuza Mange akisema wanaweka akili nyuma wanaamini tu. Kwao Mange ni Kama maandiko toka juu Hana shaka ndani yake
Walisema Mtulia yu hoi kitandani, Jana Mtulia kaapishwa akiwa mwenye siha njema na bashasha
Walidai Rais ni mhutu, hawakujiuliza alikuaje mbunge, waziri Hadi Rais bila kathibitisha uraia wake huko kote ila leo Nondo kuhojiwa uraia wake wanajiuliza kwanini leo, kwani kasomaje huko nyuma Hadi chuo kwa pesa za serikali kama sio raia.
Kosa kubwa sana la kiufundi wanafanya kushikiwa akili na Mange
Nionyeshe kwani Mimi ndo spika?Onyesha kama spika anavidole vyote vya miguu yake!!!?
Kwahiyo last week hakuwa na vidole Leo vimeota?Hujajibu swali
Kama umetumia habari za Diamond [na Zari?] kuimarisha hoja yako in negative way, kwanini unabeza reaction ya hoja inayojengwa kumtumia Diamond huyo huyo kupewa nafasi ya kusikilizwa na mkuu wa nchi katika event kama hiyo? Unafikri ni kwanini picha ya Diamond akiteta na Rais ilipewa nafasi kubwa na media? Kufikiri katika "passive thinking" sio tu ni suala linalohusu kuelimika kwa kwa mtu, vinginevyo wewe mwenyewe usingeleta hoja hii hapa, kwani kwa kufanya hivyo umethibitisha kuwa na wewe ni "passive thinker" tu! Utabebaje mambo ya kipuuzi ya mitaani utuletee hapa?Wewe nawe! Unasadifu hoja yangu kuhusu passive thinker.
Kwani nafasi ya mbele alikuwa Diamond.
Unasikia tu kwenye mitandao bila kutafuta ukweli halafu unabeba na kufanya hoja.
Umerogwa nini! Acha opoyoyoMange ni maarufu kwa bavicha kuliko katibu mkuu wao Mashinji, ndio kila asemacho mange ni breaking news kwa bavicha