Siyo vya mkono, ni vya mguuni...
Yaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, Uwongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa!
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uwongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uwongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za Kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uwongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea!
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na Udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
Kweli hata mikono yake haijaonekana. Kwa hiyo yote yanaweza kuwa kweli.Je umeona anavyo au tu kielehele chako
Swissme

Haya maswali kumuuliza mtoa mada unamuonea bure. Yeye alikuwa anatimiza kaz yakeWe jamaa uliyeleta hii post hata hizo habari za kukatwa vidole ni wazi ulikuwa hujasoma. Habari hizo ni kuwa amekatwa vidole vya miguuni. Je umehahakisha kuwa anavyo? Pili bunge lilificha taarifa ya kuumwa kwake na baadae wanasema alikuwa matibabu je hao si ndiyo wazushi? Si ni walewale walisema viongozi watibiwe mhimbili?
Kwanza imekuwaje unasema vidole vya mikono na si vya miguu?
Vimeenda wp mkuu?Kwa akili yako vidole ni vya mkononi pekee!!! Kamvue viatu kama utaviona!
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea!
Walisema vya miguu na sio vya mikono. Nimewasilisha tuYaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, Uwongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa!
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uwongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uwongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za Kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uwongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea!
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na Udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
Alisema vya miguuni ndio kakatwa, sasa vya mkononi tumuulize vizuri mleta mada!!Duh!
Kuna mtu allizusha Spika Ndugai hana vidole?
Aisee!!!
Sasa mbona unajikanganya? Hujaeleweka hapo, kwani Rais ameshaitwa na uhamiaji kuhojiwa?Nyumbuza Mange akisema wanaweka akili nyuma wanaamini tu. Kwao Mange ni Kama maandiko toka juu Hana shaka ndani yake
Walisema Mtulia yu hoi kitandani, Jana Mtulia kaapishwa akiwa mwenye siha njema na bashasha
Walidai Rais ni mhutu, hawakujiuliza alikuaje mbunge, waziri Hadi Rais bila kathibitisha uraia wake huko kote ila leo Nondo kuhojiwa uraia wake wanajiuliza kwanini leo, kwani kasomaje huko nyuma Hadi chuo kwa pesa za serikali kama sio raia.
Kosa kubwa sana la kiufundi wanafanya kushikiwa akili na Mange
Alikaa nani nafasi ya mbele?Wewe nawe! Unasadifu hoja yangu kuhusu passive thinker.
Kwani nafasi ya mbele alikuwa Diamond.
Unasikia tu kwenye mitandao bila kutafuta ukweli halafu unabeba na kufanya hoja.
Dikteta yupi? Mbona haufunguki!!Inashangaza kweli.
Hao jamaa ni zaidi ya dikteta.
Wanapiga kelele kutaka uhuru wa kujieleza lakini ukijieleza kwenye akaunti zao wanakupiga ban
Na huwa anajiita mtetezi wa demokrasia ila ulimkosoa tena kwa ustaarabu mkubwa bado atakublock, kosa lake kakalilishwa na hajui alisemaloWatu hao mara nyingi Huwa wana chuki... Wanataka uhuru wa kujieleza lakini ukitofautiana nao tu, una chezea block! Ha Ha Ha