SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,692
Naamini si kila maombi Mungu anayapokea ingekuwa hivyo basi shetani angeshaokoka
Je anayeombewa ni mwema kiasi gani? utaombewa tu bila hata kuomba kama ni mtu wa haki na Mungu atakulinda tu bila hata ya kuombewa kwakuwa njia ya Mungu si ya mwanadamuMungu hapokei maombi yaliyo kinyume tu na uungu wake.Mfano Mungu ni Upendo.Huwezi kuomba kitu chochote kinyume na Upendo Mungu akapokea ombi kama hilo.Mungu ni huruma.Huwezi kuomba mtu alipiziwe kisasi na ukategemea Mungu apokee.Kanuni ni hii:He gives what He has.Anatoa alicho nacho.Hawezi kutoa kile kisichokuwa sehemu ya ufalme wake.Katika muktadha wa mada yako watanzania wanamuombea Magufuli kwa Mungu mambo mema na kwa hivyo tunamtumainia Mungu ajibu.
Naamini si kila maombi Mungu anayapokea ingekuwa hivyo basi shetani angeshaokoka
Je anayeombewa ni mwema kiasi gani? utaombewa tu bila hata kuomba kama ni mtu wa haki na Mungu atakulinda tu bila hata ya kuombewa kwakuwa njia ya Mungu si ya mwanadamu
Tusilitafsiri neno vibaya , tii chenye positive impact na sio kinyume chake...yule muuaji wa Mwangosi alitii mamlaka mwisho wake wote tumeushuhudiaMkuu Mshana
Je kama mimi natii inakuwaje manake nimeambiwa nitiii mamlaka Romans 13: 1 - 5
Una matatizo ya akili wewe, unajiona ni mwandishi mzur, lakini hoja zako ni za kitoto sana.Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu
Nimejikuta napitia makabrasha mbalimbali ya kidini kuona ni nani wanaopaswa kuombewa na kwanini
.wagonjwa
.yatima
.Wajane
.wenye shida za kiroho
.wenye shida za kimwili
Hawa ndio tmefundishwa kuwaombea kwa imani ya kikristo
Lakini vile vile tuna maombi na sala maalum za kuombea Taifa na viongozi wake wote ...tuna maombi na sala rasmi kila siku ikianza na kila siku ikiisha
Napatwa na ukakasi mkubwa kuendelea kuombwa nimuombee mtu mwenye kila aina ya ulinzi kuanzia wa mitambo mpaka wa majeshi na usalama
Napatwa na mshangao kuendelea kuombwa nimuombee mtu ambaye hajui bajeti yake ya mahitaji ya kila siku kuanzia chakula usafiri ada za watoto shule , mahitaji ya ndugu na jamaa nk nk..vyote hivi anavipata bure na ziada
Hii ni aina fulani ya uchoyo na ubinafsi uliopitiliza...! Hivi yule mgonjwa pale Hospitali ataombewa na nani? Je yule mjane aliyedhulumiwa nyumba na mirathi yake yeye ataombewa na nani?
Nchi imezungukwa na matatizo na shida kila mahali ni vilio na maumivu...maisha magumu hela hakuna kazi hakuna....hawa ndio waombe? Wamuombee asiye na dhiki wala changamoto za maisha yetu haya???jamani mbona mnatuonea na kututia majaribu ni tumkufuru Muumba wetu
Yani kweli kabisa nitoke Muhimbili kumuangalia mgonjwa wangu ninayetakiwa kutafuta pesa ili aweze kutibiwa huku nadaiwa kodi ya nyumba na ada za watoto na mengine mengi...na uchovu wote na changamoto zote hizi halafu niombwe kumuombea mtu ambaye hata nilitaka kuonana naye siwezi? Kweli dunia ina mengi
Uongozi wa nchi ni uongozi wa kisiasa...michezo ya kisiasa inajulikana pote duniani ni michafu tena huku Africa ndio kabisa...kumhusisha Mungu kwenye mambo ya kisiasa ni kumdhihaki
Mtu Hapaswi kuwa na wasiwasi...kama una imani kwa Mungu wako na utendalo ni sahihi hata Mungu anajua , hupaswi kuwa na wasiwasi kwakuwa yeye hachagui wala habagui...na ukitenda kwa haki mkono wake utakuepusha na mabaya yote na malaika mlinzi atakuwa nawe bila hata maombi ya mzinifu, muongo, mtenda dhambi zote....
Umeongea point sana mdauTutawaombea wanaotenda haki ili mungu aendelee kuwasimamia.Wasio tenda haki mungu ndiye hakimu wao.
Umeongea ukweli, watanzania ni watu wasio jua nini wanataka, mana kupinga kila kitu wanaona ndio kwenda na wakati.wala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGA
mAGUFULI FOR LIFE
Watu hao ni kama mshana jr, mana hajielewi anachoandika nafikiri kuna mauchafu yako kichwani mwake.Ktk viumbe aliowaumba Mungu ni binadamu pekee ndiye aliyempa utashi zaidi..
Lakn kwa bahati mbaya Sana binadamu huyohuyo ndiye kiumbe hatar zaidi na ndiye anajitengenezea uadui zaidi kwa Mungu..
Hata Jesus pamoja na kuwatendea mema na kuwafufua wafu, kuwaponya viwete, vipofu wenye pepo mbaya bado hawakuutambua wema wake ule wema waliugeuza ukawa ubaya..
Hata walipo mkamata simon peter alipomkata sikio mmoja Wa waliokuja kumkamata Yesu alimponya huyo mtu lakn bado hawakuweza kumtambua Bali hasira na chuki ndio ziliwajaa..
Huyo ndio binadamu
Una matatizo ya akili wewe, unajiona ni mwandishi mzur, lakini hoja zako ni za kitoto sana.
Naona sasa umeama kutoka kwenye mambo yako ya kichawi sasa umeamia kwenye siasa, hovyo kabisa wewe.
Hivi Rais anapoambia watu wamuombee, je aliwakataza wasiombee watu wengine wenye shida?
Rais anatambua kuwa kazi anayoifanya ni ngumu na yenye maadui wengi wa kila aina wanao onekana na wasio onekana, je anapoambia watu wamuombee ni kosa?
We una matatizo ya akili na hao wafuasi wako wanao kuunga mkono, umeshindwa kumroga wewe sababu ya maombi ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao na kwa Rais wao halafu wewe kigagula unaleta mashtaka ya kitoto hapa JF....!!!!!
Badilika wewe na akili zako mgando, unakuwa kama una mtindio wa ubongo, na wewe ni mmoja ya watu ambao hamna kazi za kufanya kila siku upo hapa JF kuanzisha hoja za kitoto halafu na watoto wenzako wanavyokuunga mkono unajiona ndio babu kubwa kumbe ni bure kabisa..!!
Soma vitabu vyote vitakatifu vinasemaje kuhusu watu na viongozi wao, kama kuwaombea viongozi ni kosa au sio kosa.
Unatakiwa kubadilika na akili zako mgando na za kitoto mana hata propaganda haziwi na uandishi wa kitoto kama wako.
Inasikitisha sana kuona kama kuna watu kama wewe karne hii.tangu nijue wewe ni mwezi mchanga kama bob umekuwa burudani kwangu..! Nilivyoona hii reply yako halafu nikaangalia nje kisha nikaangalia tarehe niliishia kucheka tuu...! Nowdays you are my favourite comedian trust me..!
Ni neno la kawaida la kiimani kwa wale waamini na waaminio. Lakini awamu hii ya tano linaelekea kupata umaarufu