Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,940
- 831,459
- Thread starter
- #61
Ndio maana nikasema macho yanaongea uhalisia wetu wa ndani kabisaTukiweka siasa kando first time nakutana na mwanamke ambaye kwa sasa ndio mama wa mwanangu kwenye sehemu flan hivi ya manunuzi macho yetu yalitamazana kama sekunde 15 au ishirini kama sikosei



