Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Mshana Jr uelewa mdogo wa siasa za tz
Nina uelewa mkubwa sana kuwashinda nyinyi wote. Nawasoma tu mnavyojiconsole, najichekea tu, hiiii.
Can't wait october ifike nione hizo philosophical intellectual mind zenye uelewa wa siasa Tz zitakavyopigwa chini
 
Aisee!! Being Confidence also justify having knowledge of something you talk/doing with sound scientific reasons.
 
He he! Mtu mmepewa nafasi lkn bado mnasema hivi mara vile!!.. tatizo mlizoea kufanya siasa za kujibiwajibiwa tu Sasa sahivi wameamua kukakaa kimya ati mnaona chichiemu inaenda kuzimu!!.
Ni wajinga hawa, afu wanajikutaga wereevu.
 
Nina uelewa mkubwa sana kuwashinda nyinyi wote. Nawasoma tu mnavyojiconsole, najichekea tu, hiiii.
Can't wait october ifike nione hizo philosophical intellectual mind zenye uelewa wa siasa Tz zitakavyopigwa chini
Msikilize katibu mwenezi wenu hapa...je huu si ndio uhalisia wenyewe!? Hebu onesha umahiri wako hapa
 
He he! Mtu mmepewa nafasi lkn bado mnasema hivi mara vile!!.. tatizo mlizoea kufanya siasa za kujibiwajibiwa tu Sasa sahivi wameamua kukakaa kimya ati mnaona chichiemu inaenda kuzimu!!.
This topic is bigger than your understanding 1000 times
 
Usiongelee past events, sio 2020 mkuu, just common sense, huu mwaka hata wazungu wangesimamia ballots, mnashindwa mchana kweupe
Sio past...huyo sio marehemu ..nazungumzia uhalisia na ukweli sijui unafahamu tofauti zake?
 
Si unaona unavyojipambanua sasa badala ya kujibu hoja unadhihaki
Hakuna hoja hapo ya kujibu, just shows how empty headed de guy is, sasa anadhani article yako inahitaji philosophical mind, as if ni kitu complex umeandika
 
Hakuna hoja hapo ya kujibu, just shows how empty headed de guy is, sasa anadhani article yako inahitaji philosophical mind, as if ni kitu complex umeandika
Basi wala usingehangaika kuwepo hapa mpaka sasa..kama imekuzidi kimo sema tu sio dhambi
 
Mkuu salama,

Kukaa kimya ni busara sana kwasababu

inaepusha mengi.

Hivyo Usishawishike sana na huo ukimya wao kwa

sababu wameamua kufanya hivyo kwa msukumo

wa busara zao walizo nazo juu ya jambo hilo.

Shukrani sana
 
Bado mna mawazo finyu kwamba chama kimoja cha siasa basi kinaweza kuwaamulia watz wote nini cha kufanya kwa nyakati zote
Mawazo finyu au ndio ukweli, chama kimoja ndio huchaguliwa na majority peeps, na kupewa ridhaa kufanya hayo maamuzi, bavicha unataka maamuzi apewe lisu awarudishe acacia
 
Mawazo finyu au ndio ukweli, chama kimoja ndio huchaguliwa na majority peeps, na kupewa ridhaa kufanya hayo maamuzi, bavicha unataka maamuzi apewe lisu awarudishe acacia
Unashindwa kufanya mjadala mzuri kwakuwa kuna zimwi linaitwa BAVICHA linakutisha sana
 
Back
Top Bottom