Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Binafsi...

Huwezi nitafsiri au kupata kitu kwangu.through..macho yangu..au muonekano wangu na baadhi ya mda naweza kumsoma mtu..na kumpatia..bila kujielezea...ila sikusomea popote..
Hiki ni kipawa
 
Hivi umekula maharage ya wapi wewe? Umeanza vizuri umemaliza pumba. Lis alishajimaliza mwenyewe, sisi ni akili kubwa tulishapiga hesabu zetu, si umeona anahamasisha uvunjifu wa amani?

Mwache aendelee tu then mwisho wa siku mwenyewe atajikaanga kwa wese lake mpaka aive, zisi is Tz nchi inayoongozwa na wenye akili kubwa mpaka mabeberu wanakosa pa kupitia ili kutuvuruga. Hata Znz tuko bomba Mwinyi ndiyo chaguo la wazenj
Chaguo la Wazenji ni Maalim na nyinyi mnajua miaka yote
 
Kuna jambo wana usalama wanafunzwa wanapokuwa mafunzoni ..uwezo wa kumwangalia mtu machoni...hii humfanya mtu anayeangaliwa kukosa ujasiri na kudondosha macho yake ama kuangalia pembeni.

Usifanye hilo kosa kabisa ukiruhusu kukwepesha macho yako umekwisha..hutapata ujasiri wa kimwangalia tena yule mnayeangaliana naye na hapo ndio atacheza na wewe atakavyo.

Macho huongea ukweli wa ndani..uhalisia wa vile ulivyo ama kile ulichokifanya...mara nyingi jambo jema hukupa ujasiri wa kuangalia bila kupepesa macho na jambo baya hukuondolea ujasiri wote na kuhisi unaonwa uovu wako wote.

Siku hizi kwenye makampuni makubwa kama ya simu nk kuna vyumba maalum vya mahojiano ya watuhumiwa wa makosa kazini...smart rooms..vyumba hivi ukituhumiwa unaingizwa hapo pekeyako na kufungiwa na kuanza kuhojiwa kupitia vipaza sauti na watu usiowaona lakini wao walikuona kupitia camera zilizofungwa kwenye hicho chumba. Daima watuhumiwa hufeli mahojiano kwakuwa chumba hurekodi movements na gesture zako zote kwa kila swali...

Kwenye mazingira ya kawaida kabisa mitaani mtu anapo win confidence yako umekwisha...atakuendesha atakavyo. Kuna swali watu wengi wanajiuliza juu ya ukimya mkuu vyombo vya usalama kwa wapinzani kipindi hiki...jamani hiki si ndio kilikuwa kilio chetu?
Sana sana ni ukimya wa CCM ..hawa wamepoteza ujasiri kabisa na kosa kubwaw la kwanza lilikuwa pale airport siku Lissu anatua akiwa na ujasiri wa ajabu mno.

Kwa miaka mitano nchi ilisimamiwa na sauti moja tu ..hakuna waziri wala mbunge aliyejaribu kusema kitu kuzidi sauti kuu ..mwisho wa siku wakawa kama wote wamepigwa ganzi.

Leo hii zinaposikika sauti za wapinzani wote wanaogopa kuzijibu kwa yale mazoea ya kusubiri ruhusa ama sauti kuu iseme..hata vile vitengo vya propaganda vipo kimya kabisa...wanashindwa kulianzisha...wanasubiri maagizo.

Kikubwa kwenye hili ni ile dhana ya ujasiri wa macho na kuhukumiwa na roho kwakuwa kila sauti ya wapinzani ikipaa inabeba ujumbe uliojaa ukweli na uhalisia..kitu kama hicho utaanzaje kukipinga kwa mfano.

Ganzi ya airport inazidi kushika kazi..tumetoka kwenye semi paralysis tunaelekea kwenye total paralysis..hata vyombo vya usalama vinauona uhalisia sasa...kwamba kumbe kile walichoaminishwa kuwa upinzani ni vurugu kumbe sio kweli kabisa.

Nina mashaka huko tuendako vyombo vinaweza kukengeuka maagizo na kufanya kinyume kama wajumbe walivyofanya. Macho huongea uhalisia wetu.

Macho husuta.

Macho hutuondolea ujasiri kama sisi ni watuhumiwa wa mambo mabaya...!!!

Na macho yakikuhukumu uso husawajika na sauti yako hupotea.

Ukimya wao umejaa maumivu mengi..!!!
vodka yangu inashuka Sasa vizuri.vipi kuna madhara nikiendelea kuitwika hadi usiku wa Manane,na je wanga wanaweza kuwa wananiona?maana Kuna siku nilishangaa chupa nimeiachia mara bwaaa!nikaamua kulala tu
 
Wanga huwa hawasogei sehemu kama hiyo kabisa..agiza tu nyingine
 
Hahahaaa Mshana bwana!!
Anyway hii kitu inanikumbusha ile nadharia au hisia anayokuwa nayo mtenda maovu pale anapofanya jambo baya halafu akajipanga kukabiliana na mashtaka dhidi yake lakini cha ajabu mtendewa haonyeshi reaction yoyote na zaidi anakaa kimya.
Mfano, mume/mke kafumaniwa halafu mtendewa anaamua kukaa kimya, pata picha ni nani kati yao anakuwa mwenye kihoro zaidi ya mwenzake?
Na hii inakwenda mbali zaidi kisaikolojia na hata kwenye nadharia ya kisasi. “To every action there’s equal reaction” lakini unapokuwa umejipanga kwa ajili ya “equal reaction” halafu usiione hiyo hali, ni jambo linalokupa maswali mengi sana na kujiuliza uhalali wa wewe kutumia energy hiyo au hata mantiki ya ulichokifanya. Aidha inakupotezea kabisa dira yako kwa hatua inayofuata kwani nadharia ya malipizi inajijenga katika mpangilio wa matukio yanayofuatana huku hatua ya mbele ikiwa na madhara zaidi ya iliyopita.
Fikiria pale unapomfanyia mtu kitu ukiamini kabisa hii itamgusa sawia na kwamba ni lazima tu atajibu mapigo, sasa unashangaa jamaa amekaa kimya na haonyeshi kusumbuliwa kabisa. Hakika utapata wakati mgumu sana na kutaabika kichwani mwako huku ukijiuliza, hivi kweli hii kitu haijamgusa/kumuumiza kama vile ulivyotegemea?? Na inakupa pia wakati mgumu zaidi wa kuitumia hatua inayofuata kwani ulichokitegemea awali hakijakupa majibu na matokeo yake kukufanya ukae chini upya kuzitathmini hatua/mipango yako.
Kwenye ulimwengu wa siasa ndio inakuwa mbaya zaidi kwani kila unalofikiri litamchafua mpinzani wako na kwamba ni lazima atajibu mapigo lakini unashangaa kuona yeye kakaa kimya, hii hukufanya upate bumbuwazi na kuchanganyikiwa kabisa kwani katika mambo ambayo wanasiasa hawayakaliagi kimya ni “kuchafuliwa kisiasa”
Sasa naiona hali hii ikitokea na hata kujidhihirisha miongoni mwa wachambuzi wa mambo akiwemo Mshana, kufikiri ni nini kilichomo mioyoni mwa wana CCM, kwanini hawajibu mapigo, je ni kweli wamekuwa “defeated” kiasi cha kukubali “kuchafuka kisiasa??”
My take:
Ukimuona kobe kainama usifikiri amekufa bali anaweza kuwa anatunga sheria, na kimya kingi mara nyingi huja na mshindo mkuu.
Ushauri wangu kwa wapinzani, wachukue tahadhari na wasitumie silaha zao zote wakifikiri wamemmaliza adui namba moja, wanaweza jikuta wanazianika zote na matokeo yake ikawa faida kwa CCM kuzifahamu na kisha kuja na majibu yatakayowamaliza kabisa wao wenyewe.
 
Mkuu heading zako nzuri ila ndani zina radha ya siasa,, na tusio fatilia usiasa tunakosa pakuuliza yaani ukitaka kuuliza unajihisi umetoka nje ya mada
 
Uliza bila shaka..nitakujibu bila shida
 
Uliza bila shaka..nitakujibu bila shida
Umesema makampuni makubwa hufungiwa kwenye chumba maalumu kisha unahojiwa na sauti za kwenye maspika ukifeli ukapepesua macho au kuinama unakuwa umefeli tayari?
Sasa km ile sauti imetoka kama ya mpenzi wako huku ulikuwa hujamuona mda au ya marehemu ukajikuta unapepesua macho kwahiyo hapo naingia jela?
 
Hiyo ni positive vibe sio negative...haina shida kabisa..na huko huingizwi hivihivi mpaka uwe na tuhuma nzito
 
Kuna jambo wana usalama wanafunzwa wanapokuwa mafunzoni ..uwezo wa kumwangalia mtu machoni...hii humfanya mtu anayeangaliwa kukosa ujasiri na kudondosha macho yake ama kuangalia pembeni.

Usifanye hilo kosa kabisa ukiruhusu kukwepesha macho yako umekwisha..hutapata ujasiri wa kimwangalia tena yule mnayeangaliana naye na hapo ndio atacheza na wewe atakavyo.

Macho huongea ukweli wa ndani..uhalisia wa vile ulivyo ama kile ulichokifanya...mara nyingi jambo jema hukupa ujasiri wa kuangalia bila kupepesa macho na jambo baya hukuondolea ujasiri wote na kuhisi unaonwa uovu wako wote.

Siku hizi kwenye makampuni makubwa kama ya simu nk kuna vyumba maalum vya mahojiano ya watuhumiwa wa makosa kazini...smart rooms..vyumba hivi ukituhumiwa unaingizwa hapo pekeyako na kufungiwa na kuanza kuhojiwa kupitia vipaza sauti na watu usiowaona lakini wao walikuona kupitia camera zilizofungwa kwenye hicho chumba. Daima watuhumiwa hufeli mahojiano kwakuwa chumba hurekodi movements na gesture zako zote kwa kila swali...

Kwenye mazingira ya kawaida kabisa mitaani mtu anapo win confidence yako umekwisha...atakuendesha atakavyo. Kuna swali watu wengi wanajiuliza juu ya ukimya mkuu vyombo vya usalama kwa wapinzani kipindi hiki...jamani hiki si ndio kilikuwa kilio chetu?
Sana sana ni ukimya wa CCM ..hawa wamepoteza ujasiri kabisa na kosa kubwaw la kwanza lilikuwa pale airport siku Lissu anatua akiwa na ujasiri wa ajabu mno.

Kwa miaka mitano nchi ilisimamiwa na sauti moja tu ..hakuna waziri wala mbunge aliyejaribu kusema kitu kuzidi sauti kuu ..mwisho wa siku wakawa kama wote wamepigwa ganzi.

Leo hii zinaposikika sauti za wapinzani wote wanaogopa kuzijibu kwa yale mazoea ya kusubiri ruhusa ama sauti kuu iseme..hata vile vitengo vya propaganda vipo kimya kabisa...wanashindwa kulianzisha...wanasubiri maagizo.

Kikubwa kwenye hili ni ile dhana ya ujasiri wa macho na kuhukumiwa na roho kwakuwa kila sauti ya wapinzani ikipaa inabeba ujumbe uliojaa ukweli na uhalisia..kitu kama hicho utaanzaje kukipinga kwa mfano.

Ganzi ya airport inazidi kushika kazi..tumetoka kwenye semi paralysis tunaelekea kwenye total paralysis..hata vyombo vya usalama vinauona uhalisia sasa...kwamba kumbe kile walichoaminishwa kuwa upinzani ni vurugu kumbe sio kweli kabisa.

Nina mashaka huko tuendako vyombo vinaweza kukengeuka maagizo na kufanya kinyume kama wajumbe walivyofanya. Macho huongea uhalisia wetu.

Macho husuta.

Macho hutuondolea ujasiri kama sisi ni watuhumiwa wa mambo mabaya...!!!

Na macho yakikuhukumu uso husawajika na sauti yako hupotea.

Ukimya wao umejaa maumivu mengi..!!!
Asante Mshana Jr
 
Uzi umejaa na umeeleweka kaka Mshana Jr
 
Back
Top Bottom