wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Nijijibu tena, [emoji1787], kuhusisha kutazamana macho na siasa za uchaguzi Tz kipindi hiki cha kampeni ndio upuuzi wenyewe.
Mnajikutaga wereevu, kumbe mandezi tu, hamjifunzi mlundikano wa watu sio kura. Subiri iyo October
😆ðŸ¤
Mbona una weweseka...
Lisu anaongea kila siku khs kumwekea pingamizi... Ccm imekua kimya mmasubiri hisani ya tume na vyombo vya Dola?