Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Mshana Jr, wewe ni Mwandishi mzuri wa makala za saikolojia na mambo yahusuyo ulimwengu wa giza; Take no offense wewe si Mwanasiasa wala huijui siasa vyema.

Asili ya siasa na ukinzani, misukosuko na hata kukwaruzana pale inapobidi kwa maslahi ya kuchukua dola au kuendelea kukaa kwenye dola. Halina ubishi hilo.

Kupitia Katibu wake Mkuu Bwana Dr. Bashiru Ally Kakurwa alisema jambo moja ambalo ndio nguvu yao kwa sasa, alinena "hatuna muda wa kujibizana" na alienda mbali zaidi alipowaambia na wanachama tena kwa njia ya karipio kwamba "Acheni kujibizana nao"

Tafsiri zipo mbili hapo ukipenda unaweza kuweka yatatu

1. Let's actions speak louder. Tuache vitendo viseme, wakati ninyi mnavurumusha madongo ya haki za binadamu sijui risasi sijui Uhuru wa vyombo vya habari... Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anazindua ujenzi wa meli mpya

Itoshe kusema kwamba mkono mtupu haulambwi...

Hamphrey Pole Pole anaendesha Tamasha na kuwapandisha jukwaani takriban wasanii 200 wa muziki mchanganyiko, huku uwanja ukiwa umefurika nyomi la kufa mtu.

2. Asili ya siasa na ukinzani, misukosuko na hata kukwaruzana pale inapobidi.

Maana yake ni kwamba wao wamejitoa kufanya siasa na wamejikita katika uzalendo wa kujali maslahi ya wengi na kumtanguliza Mama Tanzania mbele

HIVYO kujiweka katika level ya peke yao ambayo maneno ya paragraph ya kwanza wao wameyapa kisogo...

ULE NYONGEZA
3.Mawazi yako huwenda yakawa sawa kwamba Tundu Lissu alikuja na confidence na hivyo kuwanyong'onyesha CCM.

Jambo la mbolea hapa ni kutokusahau kwamba CCM ni chama Dola kwa uwepo wa Tundu Lissu kwa takriban miaka mitatu huenda hajaja Kama alivyoondoka (kajipaka nya na ukimgusa mnanuka wote).

Na kwakua alikua sehemu ambayo ni out of rich ya inteligensia ni lazima wamtizame kwa jicho la karibu kubaini viashiria vyovyote vya nya au harufu.

Na aidha Kuna ule msemo wa kimatumbi unaosema "anayecheka mwisho ndio hucheka sana" hivyo CCM wanaweza wakaja na kitu ambacho kitawachukua miezi sita kukikabili Kama;

1. Kipigo Cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019

2. Corona na namna ilivyoshughulikiwa

3. Kukamatwa kwa Ndege za ATCL South Africa na Canada

WASALAAM
 
Asante sana hii ndio namna ya kuendesha mijadala yenye afya...nikiri wazi sifahamu kila kitu na si mahiri wa kila jambo lakini hili halinizuii kuandika mitazamo yangu
Kwenye la Bashiru kukaa kimya tayari amekinzana na polepole bahati mbaya sana Mbasha na Mchomvu wamechafua hali ya hewa lakini trust me tungepata muda wa kuzisikia hizo nyimbo ungeshuhudia vijembe kejeli na mipasho ya kila aina kwa wapinzani
Lakini je ile nyomi imefuata wasanii au sera za chama kweli?
 
Nakubaliana na hayo maelezo ya ujasiri wa kumuangalia mtu machoni...

Hii ni silaha kubwa sana...
Ukiwa na mazungumzo na mtu ukimkazia macho, akipepesa au kukwepesha nea kurudisha kukukazia macho amekwisha...

Totally anpoteza confidence kwako...

Cc: mahondaw
 
Uzi mzuri ila ulipofika hapo kwenye" si- hasa"
Nimeishia hapo
 
Wapo wanaojua kucheza na macho...mpaka muonekano!

Huwezi gundua kitu kwake labda atake..
 
nilijua unaandika kitu cha msingi kumbe umeshiba kande
 
Nakubaliana na hayo maelezo ya ujasiri wa kumuangalia mtu machoni...

Hii ni silaha kubwa sana...
Ukiwa na mazungumzo na mtu ukimkazia macho, akipepesa au kukwepesha nea kurudisha kukukazia macho amekwisha...

Totally anpoteza confidence kwako...

Cc: mahondaw
Ukiweza kumwangalia askari yoyote bila kupepesa macho kwa sekunde 30 tu umemmaliza
 
Nina uelewa mkubwa sana kuwashinda nyinyi wote. Nawasoma tu mnavyojiconsole, najichekea tu, hiiii.
Can't wait october ifike nione hizo philosophical intellectual mind zenye uelewa wa siasa Tz zitakavyopigwa chini
Umejuaje una uelewa mkubwa kuliko sie wote?
Umetumia kipimo gani?
Hebu jitathmini ndugu acha kujikweza kwani watu wakujikweza kama wewe inatokana na kuwa na akili iliyo kinyume na unavyodhani!
 
haya ndio maumivu ya kupuuzwa sasa.

siku zote huwa nawaambia ccm, polisi dawa ya hawa wajinga ni kuwakalia kimya uone watakavyojihisi wajinga.

hatimaye mbinu hii imezaa matunda.
 
Ukiweza kumwangalia askari yoyote bila kupepesa macho kwa sekunde 30 tu umemmaliza
ukumbushe watu hili linawezekana kama tu wewe sio mtafutwaji.
kwa nadharia hiyo mlengwa sio mtafutwaji, ndio sababu amefanikiwa kufanya alichofanya. sio threat tena.
 
Wachache mno..tena sometimes ni wale professionals
Binafsi...

Huwezi nitafsiri au kupata kitu kwangu.through..macho yangu..au muonekano wangu na baadhi ya mda naweza kumsoma mtu..na kumpatia..bila kujielezea...ila sikusomea popote..
 
Back
Top Bottom