Dhana ya "kumbemenda mtoto"

Ni utapia mlo nothing More tena ni Africa na Asia tu na wana izi imani
 
It seems hujaenda shule an umeenda shule ya chini sana tena ya kata iliyokufa
Ndio mana ameuliza mkuu, ni vizuri ukamsaidia kumjibu badala ya kumdhihaki.
Sio kila Mtanzania amebahatika kwenda shule rasmi.
Hili swala na kubemenda linazungumziwa katika jamii zetu, naye ameomba kuopata ufafanuzi kwa wenye utaalamu nalo.
Tujifune kuheshimu watu, na wala haina ghalama yoyote, la sivyo tujifunze kunyamaza kwenye maswala tusiyoyafahamu.
Huo ndio Uungwana.
 
Mbona naskia mama mwenye mtoto mchanga akifanya mapenzi na mwanaume mtoto anadhoofu.pia sindano za uzazi wa mpango hudhuru watoto
 
Mbona naskia mama mwenye mtoto mchanga akifanya mapenzi na mwanaume mtoto anadhoofu.pia sindano za uzazi wa mpango hudhuru watoto
Ingekuwa kweli nadhani wanaume wote wanaosingiziwa watoto kwenye ndoa, hao watoto wangedhoofika kwakuwa wanakuwa wanafanya mapenzi na mama za watoto wakati siyo baba zao.
Kubemenda itakuwa issue ya lishe bora na matunzo bora ya mtoto.
 
Haya mambo ni ya kijijini, watu wasioenda shule hata kidogo ndio wanasema mambo ya kubemenda. mtu anayeandika humu tunategemea uelewa wa kiwango fulani cha juu katika vitu vidogo kama hivi ! Very basic things. Nilitegemea aulize kuwa mke akipata mimba wakati mtoto say ana miezi miwili, ina athali gani kwa mtoto anayenyonya na mama!
 
Hujanijibu lakini...huo uelewa wako mkubwa sijaona maslahi yake kwa jamvi
 
tafsiri uliyotoa haisadifu maana halisi ya kubemenda
 
Kwani mama mwenye vvu na ananyonyesha maziwa yanakua na vvu au mpaka mchubuko utokee?
 
Sayansi haiwezi kutoa proof ya kila kitu.

Binafsi niliwahi kusababisha mtoto kuugua (sio mtoto wangu)na mpaka leo sijapata majibu ya kitaalam , nimedadisi mpaka nimechoka
 
Wewe Jamaa unajua saana Japo watakubishia....na watoto wengi wa Mjini Hawawezi kujua Hili!
 
Haya mambo ya kubemenda yapo sana, utakuta mtoto anaumwa unampeleka hospital na kumpima magonjwa yote hakuna kumbe mzazi anatembezewa rungu kisha anakuja mbeba mtoto na mijasho yake ya mechini
 
Hivi mwanamke huwa anaanza kubleed baada ya muda gani akijifungua
 
Habari za muda huu waungwana!!

Sina uhakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa mada hii, lakini kama si sahihi basi moderator naomba muweke mada hii katika jukwaa husika

Siku ya leo nilipata bahati ya kumtembelea jamaa yangu ambae mkewe alijifungua muda kidogo. Mimi niliongozana na jamaa yangu mtu mzima kidogo kiumri kumsabahi huyu jamaa ambae mkewe alijifungua yapata mwaka hivi na miezi kadhaa.

Wakati ule yule mtoto mdogo ana miezi kama 7 hadi 8 alikuwa mwenye afya njema sana. Lakini kwa siku ya leo mtoto amenyongea na amekonda. Kiukweli afya yake haikuwa njema. Sasa baada ya maongezi na kuaga, wakati tukiwa njiani huyu jamaa yangu mtu mzima kiasi ndo akawa anasema 'yule mtoto bhana wamemharibu'. Nikamuuliza kivipi? Akasema yaani "wamembemenda"! [emoji15] [emoji15] [emoji15]. Nikamuuliza tena, kivipi? Akasema jamaa zako inaonekana wanacheza sana mechi"! Mmmh. Hakuelezea zaidi.

Sasa swali kwa wajuzi wa mambo nauliza je kuna uhusiano wa wazazi kufanya mapenzi na athari za afya ya mtoto? Kivipi? Kisayansi naomba uthibitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…