Dhana ya "kumbemenda mtoto"

Kubemenda ni imani tu. Hii imani ipo sana uswahilini na wala haina ukweli wowote kisayansi wala in reality
 
Sasa Hapo Mbona Unatugusa Wazaramo Ndugu, Ok Haina Shida Umeeleweka Hahahahaha Retarded Growth Hili Neno Nimejaribu Kulitamka Naona Kama Linaweza Kunivunja Ulimi Hahahah
 
umeeleza vyema mkuu,,,lakini mimi naona kwa upande wa mama kutembea na mwanaume mwingine 'mchepuko' effects zake kwa mtoto ziko socially zaidi na sio kisayansi,,,,kwa mfano mama anaenyonyesha anapokua na mchepuko mara nyingi utakuta uhusiano wake na mumewe sio mzuri ivo ata yule mtt wa mumewe atakua hamjali most of the time yuko busy na mchepuko na wakati mwingine kushindwa kutoa maziwa ya kumtosha mtoto kwa sababu ya stress za kuhofia kugundilika nk
 
Sp
Siwezi kuongea hisia nikataja virus.
Kasome composition ya sperm na jinsi wanafanya wakiingia kwenye vagina
Male sperms are the reproductive cells contained in semen. The life span of sperms is 48 - 72 hours. The composition of sperm and how it moves in the vagina does not rely on any virus. If there are viruses in this concern you know, you may tell us otherwise remain silent!
 
Thats all you know, like a std two pupil.
And who are you to order me to stay silent? Rafiki go back to books and sites
 
MMEJITAHIDI KUELEZEA LAKINI UKWELI NDIO HUU;
Kwanza kabisa ningependa muelewe kwamba kubemenda mtoto ni imani tu au fikra za mababu zetu.

Wazee wetu walitumia hii njia(kubemenda) kama kuilinda ndoa ya vijana wao. waliamini kwamba mama anapokuwa mjamzito basi baba atashindwa kufanya mapenzi na mkewe. Wakaamua kubuni hii ishu ya kubemenda wakisema kwamba BABA ANAPOFANYA MAPENZI NA MWANAMKE MWINGINE ANGALI MKEWEWE NIA MJAMZITO ,ATAMBEMENDA MTOTO ALIYE TUMBONI(hii ni imani tu waliitumia wazee wetu ili kumfanya baba hasichepuke lakini haina ukweli wowote)

Pia wazee wetu wakasema kwamba,mtoto anapozaliwa baba hurusiwi kufanya mapenzi na mkewe mpaka baada ya miaka angalau minne,vinginevyo utambemenda mtoto. Walifanya hivi ili kuwafanya wazazi wapate muda wa kutosha kulea mtoto wao na kuepuka kuzaa ovyo na kushindwa kuwatunza watoto wao.

Ikumbukwe pia zamani hapakuwa na njia za kisasa za uza wa mpango,kwa hiyo wazee wetu walibuni hii njia ya asili(KUBEMENDA) kama uzazi wa mpango. Ebu jaribu kufikiria kwamba mama akiwa mjamzito afu wazazi wote wawili(mke na mume) wanapoemda zahanati wanakumbushwa kutofanya mapenzi mtindo wa chali(mama chini baba juu) maana unaweza ukamuumiza mtoto aliye tumboni kwa kulalia tumbo la mama.

wanashauriwa watumie njia ya mbuzi 'kagoma kwenda', 'msumari umenmichoma' na nyinginezo ambazo na salama.

swali la kujiuliza kwa nini matabibu wanaruhusu kufanya mapenzi mama akiwa mjamzimto inamaana hakuna madhara? Jibu ni kwamba sasa hivi kuna njia nyingi za uzazi wa mpango ambazo unaweza kuzitumia hata kama mtoto anapozaliwa kama hamtaki kuongeza mwingine kwa muda huo.

kwa kumalizia 'KUBEMENDA MTOTO HAKUHUSIANI KABISA NA KUFANYA MAMAPENZI NA MAMA MJAMZITO'

NI HAYO TU.....
 
Hakuna virus wanaotengeneza spermatozoa.

Habari yako ni ya uongo na ndio maana unashindwa kujibu maswali niliyokuuliza.

Nazijua spermatozoa kuanzia zinapotengenezwa(spermatogenesis) katika testis,kubebwa na vas efferentia kupelekwa kwenye epididymis zinapohifadhiwa kwa mda mfupi mpaka kwenye vas deferens, na humo kote hakuna hoa virus unaowasema kama wapo wataje kwa jina.

Mwishowe unatakiwa ujue kisayansi hatuna kubemenda, ni imani tu.

Na ndio maana wanaotetea dhana nzima ya kubemenda hawana maelezo mazuri ya kisayansi yenye kueleweka how mtoto anabemendwa.

Acha kudanganya watu kwamba kuna virus anatengeneza spermatozoa.
 
Wizi mtupu ! Hapo kubemenda=lishe duni baassiii hakuna manii wala mamii !! And off course na uchafu... Sawa ?![emoji57] [emoji57]
 
Usilete siasa katika mambo muhimu ! We mchane tu kuwa jamaa kazingua kaingia chaka ! Basi ! sio unamlambalamba hapa iliuonekane una roho nzuri ?! Huyo jamaa yako ni muongo full stop !![emoji57]
 
Umefunguka vizur sana mkuu jamaa anadanganya umma wa JF
 
Mkuu that's a bit harsh, watu tunaelimishana humu ndani sio kubishana. Kama kamis-lead unamuelewesha. Let's dare to talk Openly.
 
Thats all you know, like a std two pupil.
And who are you to order me to stay silent? Rafiki go back to books and sites
Inavyo onekana wewe huna shule kabisa. Most of the Viruses are pathogenic, they do not live inside the host as normal flora! Inawezekana umeaminishwa na wale waganga wa kienyeji wanaojiita madaktari. Jamani kama kuna Gynecologist humu ndani aje amsaidie kumuelimisha huyu jamaa.
 
Mkuu that's a bit harsh, watu tunaelimishana humu ndani sio kubishana. Kama kamis-lead unamuelewesha. Let's dare to talk Openly.
Tatizo jamaa nae mbishi mno, tunamwelewesha hataki kutuelewa tunamuuliza awataje hao virus anabaki kujikanyagakanyaga
 
Ulirmuuliza ni M.D au ni wale wagangs tu wa elimu ya kawaida.

Unajua dhana halisi ya mheshimu ni kudadavua zaidi na kutuachia hamisaa ya kufanya reseaech zaidi.

Sasa hapo kwenyw kujua hao virusi ndio tunaita research gap... So you better start your research from there.

Sio kila tetesi unaweza kuifanyia tafiti wakati dhahiri inaonesha hakuna ukweli.
Lakini kimsingi zaidi shahawa ni protein in nature and further more it contains some acidic material (pia zina acid
Hapa sawa
Sasa mtoto ametengenezwa kqa shahawa za baba yake, kwa hivyo basi mwili wake utakuwa na element za aina ya acid inayopatikana kwenye shahawa za baba yake.
Kitu kinachoweza kutofautiana katika sperm ya mtu mmoja na mwingine na kufanya utofauti wa kiumbe kipya kutokana na hizo content za sperm ni DNA pekee.Nothing else.

HAKUNA UKWELI WOWOTE KUWA SPERM ZINAENDA KWENYE MAZIWA NA WOWOWO.Ili kuthibitisha hilo unaweza kuweka mechanism ya transport ya sperm kutoka kwenye vagina hadi kwenye breast na matako kama mechanism ya assimilation of food.Ninachofahamu sperm ambazo hazikurutubisha zote zinatoka nje.

Lakini kama sio za baba yake, lazima zitamnyong'onyesha, maana zitakuwa kama zinauchoma mwili wake.

Hapo ndo tunaanza kuona mtoto ana dumaa na ku experience hiyo kitu "KUBEMENDWA"
Kama ukithibitisha basi itakuwa kweli.
 
Niliongea Na Dkt Mwenye Bachelor Ya Medicine Mkuu.

Hata Mama Akilala Na Mwanaume Mwingine Haina Shida Kabisa Ila Wazee Wetu Waliyaweka Hii Mira Na Desturi Kulinda Heshima Ya Wanawake Juu Ya Kuchepuka Hasa Ukizingatia Wananyonyesha.

Hata Ukisoma Bios Wanakwmbia Shahawa Zinarutubisha Yai La Mama Lakn Hakuna Waliposema Zinakwenda Kwny Matiti.

Mambo Mengine Ni Ya Maana Sana Kama Wazee Wetu Walivyotufundisha Lakn Ukiyaangalia Kisayansi Hayana Ukweli Wowote.

JAMBO LA MUHIMU.
Ni Vyema Kumpa Mama Muda Mzuri Wa Kumnynyesha Mtoto Kwa Kipindi Fulani Coz Kaz Anazofanya Ni Nyingi Na Kulea Ni Jambo Zito. Vile Vile Tukumbuke Siku40 Baada Ya Uzazi, Mama Anaweza Kupata Ujauzito Tena So Tunapaswa Kutoa Muda Wa Kusitisha Ngone Kwa Mkeo Ili Kumpa Nafas Nzuri Ya Kulea.
 
Asee utakuwa ulipata 100 ya SAYANSI KIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…