Dhana ya future Buddha(milefo) katika Buddhism

Poa utakapokwama usisite kuni cheki
Mkuu Mshana Jr eti hivi mtu anapo master meditation ( wakati Chakras zote zinaamka) ndipo na Nguvu ya Kundalini iliyolala mgongoni mwake inapoamka? Au Kundalini ni nyingine? hapo sijaelewa.

Swala lingine, Kuna clip za video nimeziona YouTube mtu kalala chali halafu Kuna master ana chezesha vidole vya mikono juu yake then huyo aliyelala anaanza kujikunjakunja na kujibinua binua kama nyoka. Hizo clip zimeandikwa "Kundalini awakening"
Hizo unaziongeleaje mkuu?
 
Ok mkuu meditation ya kutembea ndo ikoje mkuu

Mie ile hali ya ku meditate inakuja yenyewe tu haijalishi niwe mazingira yapi kubwa tu ktk mazingira ya utulivu ndo ina amka haraka

Kipindi nafanya meditation za kiroho ‘ spiritual meditation’ nilianza na ya pumzi, nikaja ya maneno (Mantras) afu nikaingia hatua ya ku meditate kwenye nuru na sauti kutokea ndani yangu ( light &sound )

Kwa sasa nimeacha meditation ya kiroho kwa sababu fulani fulani na kuna vitu kama sivifanyi tena ( nakula nyama ki aina, siendi sehemu ya makutano kwa talks na ku meditate kwa pamoja nk) lkn sijawahi kuacha ku meditate maana nikiacha tu kwa siku tatu au nne mfululizo najiona kama sio mie kabisa nakuwa ovyo mpaka nirudi kwenye ‘center’ sasa na hauwezi rudi bila ku meditate

Kwa hiyo hii physical meditation kwa maana ya kupata zile faida kama utulivu wa akili na kuwa na uzingatifu ktk mambo yangu bila kusahau kuutanua ufahamu wangu ni sehemu ya maisha yangu

Nikianza tu kushuka kwa nguvu ‘energy’ yangu ambayo nakaribisha mambo hasi mengi kimbilio langu ni tahajudi tu kurudi na kuwa chanya tena
 
Ndugu yangu samahani naomba nikuulize, hivi haswa meditation faida yake Nini katika maisha ya kawaida, na labda maisha ya kiimani Kama mkristo? Natanguliza samahani.
 
Zipo tatu Mahayan(gari kubwa)!seeking enlightenment together,na robe zao wanafungia bega la kushoto-wako zaidi China Vajrayana( mrengo wa kati)hii inachukua kidogo kwa mahayana na hinayana Hinayana (gari dogo)first be enlighted then others , robe zao wanafungia bega la kulia-wapo zaidi India Thailand nk
Na wale akina dalai lama ni aina gani
 
Mkuu Mshana Jr eti hivi mtu anapo master meditation ( wakati Chakras zote zinaamka) ndipo na Nguvu ya Kundalini iliyolala mgongoni mwake inapoamka? Au Kundalini ni nyingine? hapo sijaelewa.

Swala lingine, Kuna clip za video nimeziona YouTube mtu kalala chali halafu Kuna master ana chezesha vidole vya mikono juu yake then huyo aliyelala anaanza kujikunjakunja na kujibinua binua kama nyoka. Hizo clip zimeandikwa "Kundalini awakening"
Hizo unaziongeleaje mkuu?
Chakra na kundalini ni vitu viwili tofauti lakini vyenye msingi mmoja.. Kwahiyo kimsingi unaweza hasa ukaanza na chakra na kumalizia na kundalini
Hiyo ya master kuchezesha vidole mgongoni huyo tayari ni mtaalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie ile hali ya ku meditate inakuja yenyewe tu haijalishi niwe mazingira yapi kubwa tu ktk mazingira ya utulivu ndo ina amka haraka

Kipindi nafanya meditation za kiroho ‘ spiritual meditation’ nilianza na ya pumzi, nikaja ya maneno (Mantras) afu nikaingia hatua ya ku meditate kwenye nuru na sauti kutokea ndani yangu ( light &sound )

Kwa sasa nimeacha meditation ya kiroho kwa sababu fulani fulani na kuna vitu kama sivifanyi tena ( nakula nyama ki aina, siendi sehemu ya makutano kwa talks na ku meditate kwa pamoja nk) lkn sijawahi kuacha ku meditate maana nikiacha tu kwa siku tatu au nne mfululizo najiona kama sio mie kabisa nakuwa ovyo mpaka nirudi kwenye ‘center’ sasa na hauwezi rudi bila ku meditate

Kwa hiyo hii physical meditation kwa maana ya kupata zile faida kama utulivu wa akili na kuwa na uzingatifu ktk mambo yangu bila kusahau kuutanua ufahamu wangu ni sehemu ya maisha yangu

Nikianza tu kushuka kwa nguvu ‘energy’ yangu ambayo nakaribisha mambo hasi mengi kimbilio langu ni tahajudi tu kurudi na kuwa chanya tena
Uko hatua za mbali sana na tayari una msingi mzuri wa meditation kiasi kwamba sasa una uamuzi wa kufanya ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JamiiForums1975698355.jpg
 
Back
Top Bottom