Dhana ya future Buddha(milefo) katika Buddhism

Yeah alikuwa mtoto wa mfalme aliyeiahi maisha yake yote ndani ya kasri akipata raha zote mpaka siku moja alipotoka nje ya kasri na kuona mateso ya watu wa kawaida wenye njaa wagonjwa nk
Ndipo alipoamua kutoka nje ya kasri akayaacha yote mema na kuamua kwenda kutafuta chanzo na ukweli wa mateso ya binadamu na suluhu yake
Alifanya meditation kwa miaka saba mpaka alipofunuliwa(enlightenment)ndio akaja na imani hii ya Kibudha

Nani alimfunulia Buddha chanzo cha human suffering?Sasa mbona human suffering inaendelea tu mpaka leo wakati Buddha alishafunuliwa chanzo chake,kwanini hakukitokomeza hicho chanzo/kwanini buddhists wasikitokomeze hicho chanzo?
Hapa ninapoishi kuna binti mmoja mbuddha ni mrembo kweli,huwa ananialika sana niende kwenye ma temple yao ya buddhism lakini naogopa isije ikawa kama secret societies,kula viapo vya membership mpaka kifo!
 
Buddha alifanya self cultivation akapata mwanga(enlighted) Ndio maana kuna somo muhimu la meditation, kujitambua kuwa maisha ya mwanadamu yapo kwenye mzunguko usioisha wa mateso katika samsara, the realm of endless sufferings in samsara
 
Zipo aina mbili za Budhism. Hinayana na Mahayana. Zinaweza kujadiliwa but now is too late an hour. We can discuss it tomorrow. Sasa hivi tuseme kwamba yule Budha mnene,Ho tai,ndie budhists wanamtazama sanamu yake wanapotafakari kuhusu wealth.
Zipo tatu Mahayan(gari kubwa)!seeking enlightenment together,na robe zao wanafungia bega la kushoto-wako zaidi China Vajrayana( mrengo wa kati)hii inachukua kidogo kwa mahayana na hinayana Hinayana (gari dogo)first be enlighted then others , robe zao wanafungia bega la kulia-wapo zaidi India Thailand nk
 
Dini hii ya buddha inatumia lugha gani kuabudu
Inategemea na asili yake kwa wachina wanatumia sutras za kichina na wale wa kijana za kijapan wa Thailand za ki Thai India za kihindi
Wengine sisi tunapokea kile tunachopewa japo huko mbeleni kuna mikakati ya kuandaa Sutras kulingana na lugha za maeneo kama ilivyo Biblia takatifu
 
Mafundisho ya Budha yapo katika buddhasutra.com. Ukisoma,utaona kwamba it is unlike anything you have ever seen. Anaongea in a very repetitive style. Hiyo ni dharma. Bado ipo vinaya,lakini vinaya in full sijui inapatikana katika website gani.
Dharma ndio mafundisho makuu ya Buddha, vinaya ni uchambuzi wa Dharma kulingana na nyakati muda na mahitaji
 
Nani alimfunulia Buddha chanzo cha human suffering?Sasa mbona human suffering inaendelea tu mpaka leo wakati Buddha alishafunuliwa chanzo chake,kwanini hakukitokomeza hicho chanzo/kwanini buddhists wasikitokomeze hicho chanzo?
Hapa ninapoishi kuna binti mmoja mbuddha ni mrembo kweli,huwa ananialika sana niende kwenye ma temple yao ya buddhism lakini naogopa isije ikawa kama secret societies,kula viapo vya membership mpaka kifo!
Hapana hakuna kitu kama hicho hakuna viapo ukiwa muumini wa kawaida, Buddhism ni nzuri sana inapofundishwa kama pure phylosophical state
 
Nini mtazamo wao kuhusu kifo I,e do they believe in life after death..?...na dhambi kwao ni nini mkuu.
Wanaamini katika maisha baada ya maisha- reincarnation
Kwao hii ndio tafsiri ya dhambi
-jambo lenye madhara kwako
-jambo lenye madhara kwa wengine
Na hakuna msamaha katika Buddhism kama ilivyo kwenye ukristo
Kila tendo litalipwa sawa sawa na matokeo yake kama si maisha haya basi maisha yajayo
Dhambi kubwa kuliko zote ni kuua
 
Mkuu kuna lile temple liko karibia na DIT je nalo ni la mabudha?
 
Hapana wale ni wahindu. ..kuna temple moja tu ya mabudda ni ile iliyopo Mtaa wa Mindu Muhimbili, nyingine zote unazoziona hapa Dar ni aidha Wahindu au Wakrishna
 
Mkuu mshana naomba niweke kumbukumbu sawa
Ni imani ipi ipi duniani yenye ufuasi Mkubwa kuliko zote Na INA waumini kiasi gani?

Vilevile nijuze Imani kongwe kuliko zote duniani ni IPI?
 
yes hapo mshana nimekukuta unaposhnda, tafadhar nambie hv nikweli nikiwa mfanya meditation ntakuwa kama watu wanavoeleza humu? naweza fanya meditation bila kuwa buddha? be straight plz mkuu.
 
Meditation ina mizizi na Buddha kwakuwa ndio asili yake lakini bado unaweza kufanya meditation bila kuihusisha na Buddha
 
nimewai kujaribu kama siku mbili hivi, oooh ni ngumu sana ile mana wanasema inatakiwa mind iconcentrate kweny one thing bt mi nlikua nawaza hadi kipolo cha ubwabwa mpka mpira wa ulaya, yn kwa kweli nlishndwa sijui nitumie njia gan aisee.
 
Hayo ndio makandokando yanayouzinga ufahamu hukutakiwa kuacha hiyo hali inaweza kuendelea hata kwa mwezi mzima kulingana na bidii yako ya kujifunza lakini baada ya hapo unaweza kuona maendeleo, yaani kuweza kuwaza kitu kimoja kwa wakati mmoja
 
mshana unapatikana wapi kama upo dar nikutafute
 
Hapana wale ni wahindu. ..kuna temple moja tu ya mabudda ni ile iliyopo Mtaa wa Mindu Muhimbili, nyingine zote unazoziona hapa Dar ni aidha Wahindu au Wakrishna
Kumbe wahindu na wakrishna ni tofauti mweeh ??
 
Meditation ina mizizi na Buddha kwakuwa ndio asili yake lakini bado unaweza kufanya meditation bila kuihusisha na Buddha
Mkuu na hii meditation inafanyika vepe na kwa namna gani ??
 
Back
Top Bottom