Hakuna shaka wengi waliosoma, wafanya kazi, na watawala wa ngazi za juu na wanaotoa maamuzi muhimu serikalini na makampuni ya umma ni wakiristo,
Hadi sasa ni miaka50 bado Tanzania ni nchi ya kimasikini duniani, wakati nchi kama Malaisia ambayo tumepata nao uhuru kwa wakati mmoja wao wametuacha mbali.
Inanifanya niamini kuwa Waislam ni watu wasio na tamaa, walioridhika na niwaaminifu hasa kuhusiana na mambo ya Fedha.
Tumeshuhudia mafisadi wengi, wenye tamaa na elimu ya kufoji ni Watawala-Kristo (waislamu wachache), uchafu kama huu haupo sana sehemu kama Zanzibar na ktk jamii za waislamu
JE!!!
1. Iko haja ya kufumua mfumo wa tawala-kristo na kuleta utawala mseto kwa ajili ya maslai na maendleo ya nchi?
2. Tuwaache waendelee watajirekebisha ?
3. Unafikiri hakuna uhusiano kati ya utawala-kristo na ufisadi, umaskini na uchafu mwingineuliojaa nchini ?
Tafadhali tujadili kwa kujibu maswala matatu hapo juu, kwa ustaarabu bila matusi wala jazba
Mbona unachukia sana wakristo au ndio mnavyo fundishwa. Angalia nchi za kiislam je ni zote tajiri kama unavyo taka tuamini? Mfano mzuri ni solia ,na afghanistani hao wanaubaguzi sana wa dini lakini ni maskini wa kutupwa.

Nigeria?

hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
Utakuwa umerukwa akilihali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
Mtoa mada ebu fanya ht kautafiti kadogo manake nijuavyo mm nchi hii imekabwa na waislam kwa ngaz za juu,mf rais na makam,upande wa majeshi,angalia no ya mawaziri waislam,wakuu wa mikoa na wilaya.sema nyie waislam mnapenda kujiona mnajua sn na kl mfikiriacho ni sahihi.Tena am sure hizo ngaz za juu zote wangekuwa wakristo tungekuwa mbali sn,jaman tuache visingizio na sbb ambazo hazina kichwa wala miguu.