Mfumo kristo ni ule ambao hospitali za kikristo kama peramiho, bugando, Kcmc, Ifakala, Itigi, Nkinga, Seriani n.k kuwatibia watu wote wakiwemo waislamu bila kuwabagua kwa misingi ya dini zao
Mfumo Kristo ni ule ambao vyuo vilivyoanzishwa na wakristo kama KCMC, BUGANDO, ST AUGUSTINO, ST JOHN, Nkinga, Kirimatinde, Kwa lena nk husomesha wakristo na waislamu bila kuwabagua tofauti na Morogoro Muslimu university ambayo wanafunzi wake wengi( na wahadhiri ) ni waislamu.
Mfumo Kristo ni ule ambao nyumba za ibada za wakristo zinachomwa moto na wao kukaa kimya wasipachimbe wakati kama ungechomwa msikiti mmoja yangechomwa labda makanisa 100.
Mfumo Kristo ni ule ambao taasis za Kikristo zinawaajiri waislamu na watu wa dini nyingine sawasawa bila kuwabagua kama zifanyavyo taasisi za kiislamu
Mfumo Kristo ni ule ambao wakristo wanaweza kulazimishwa kuishi maisha ya shida ( kama ilivyotokea kwenye mfungo wa ramadhani Zanzibar majuzi)ili tu kuwafanya waislamu wafanye ibada kwa mungu wao
Mfumo Kristo ni ule ambao Redio na Magazeti ya kiislamu ( mfano Redio Imani) wanakashifu wakristo na imani yao bila hata kukemewa au kufungiwa na mtu yeyote
Mfumo Kristo ni ule ambao wakristo wanakubali kushiriki ibada ya waislamu( mfano kulazimishwa kula nyama ya mnyama aliyechinjwa na mwislamu) ili tu kumfanya mwislamu atimize ibada yake...
Hahahahaha....ENDELEZA HAPO!!!
MYTAKE; Wanaochokonoa udini kwa kigezo cha kujifanya wanaonewa na mfumo uliopo wajue kuwa " mkataa pema pabaya panamngoja"