Afgnistani,Somali,Niger, Libya, Syria, zote hizi mkuu zinaongoza na wakristoBinafsi huwa sipendi majadiliano yanayohusisha imani za kidini na maendeleo ya nchi....kwanza mtoa mada tupe maana ya mfumo-kristo,ndiyo nini? baada ya hapo,utuekeze kwa nchi yetu hii viongozi wale wa juu wanatoka dini gani? halafu rudi nyuma na ukumbuke wkt wa Mwinyi,akiwahi kutoa kauli gani dhini ya watu waliokuwa na mawazo km yako? na mwisho,mbona umekimbilia kutoa mf wa Malaysia uka skip S.Africa,S.Korea,Japan etcKwa kifupi mtazamo wangu huu mjadala hauna tija (samahani km utakereka na hili)
Binafsi huwa sipendi majadiliano yanayohusisha imani za kidini na maendeleo ya nchi....kwanza mtoa mada tupe maana ya mfumo-kristo,ndiyo nini? baada ya hapo,utuekeze kwa nchi yetu hii viongozi wale wa juu wanatoka dini gani? halafu rudi nyuma na ukumbuke wkt wa Mwinyi,akiwahi kutoa kauli gani dhini ya watu waliokuwa na mawazo km yako? na mwisho,mbona umekimbilia kutoa mf wa Malaysia uka skip S.Africa,S.Korea,Japan etc
Kwa kifupi mtazamo wangu huu mjadala hauna tija (samahani km utakereka na hili)
mkuu hapo haujajaribu kutafakari ila ulihukumu kabisaSichukii ukiristo najaribu kutafakari na kuangalia asili ya umasikini wetu pamoja na maliasili zetu zisizotusaidia
Nataka kujua kama kuna correlation kati ya dini na ufisadi, kwani naamini mazingira anayo kulia yanamchango mkubwa kuleta maamuzi.
Tujadili tz sio somalia wala Afghan ambako hakuna rasili mali kama TZ
Sasa wewe ndo umechangia nini kwenye hiyo unayoiita hoja ?
Nyerere aliongoza nchi kwa kufuata sera za kina Karl Marx na Vladimir Lenin(Socialists/Communists) hao watu walikua hawaamini kama kuna Mungu. Fafanua zaidi ni jinsi gani JKN alikumbatia Ukatoliki.hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
zanzibar kwenye waislam wengi kunamaendeleo gani?huu ni utumwa wa mawazoDahhh!!! ila kunamambo yanakera sana..
hali ya umaskini tulio nayo hapa nchini ni mtunda ya nyerere kukumbatia udini...huo ndo ukweli...we jiulize kws nini kanisa katoliki linamiliki maeneo makubwa karibu kila wilaya hapa nchini....nani aliwapa hay maeneo??.....nyerere ndo chabzo cha matatizo yetu...alishindwa kuwahibiti watendaji wake na leo hii wanatuibia.....
u j i n g a wako ndo sababu ya umaskini wako, unakimbilia majibu mepesi mepesi! Ukitoka kwenye udini utahamia wapi? Acheni upotoshaji!
Hao jamaa wameiuwa nchi kwa wizi. Hawana imani na Tanzania hata kidogo.
Hakuna shaka wengi waliosoma, wafanya kazi, na watawala wa ngazi za juu na wanaotoa maamuzi muhimu serikalini na makampuni ya umma ni wakiristo,
Hadi sasa ni miaka50 bado Tanzania ni nchi ya kimasikini duniani, wakati nchi kama Malaisia ambayo tumepata nao uhuru kwa wakati mmoja wao wametuacha mbali.
Inanifanya niamini kuwa Waislam ni watu wasio na tamaa, walioridhika na niwaaminifu hasa kuhusiana na mambo ya Fedha.
Tumeshuhudia mafisadi wengi, wenye tamaa na elimu ya kufoji ni Watawala-Kristo (waislamu wachache), uchafu kama huu haupo sana sehemu kama Zanzibar na ktk jamii za waislamu
JE!!!
1. Iko haja ya kufumua mfumo wa tawala-kristo na kuleta utawala mseto kwa ajili ya maslai na maendleo ya nchi?
2. Tuwaache waendelee watajirekebisha ?
3. Unafikiri hakuna uhusiano kati ya utawala-kristo na ufisadi, umaskini na uchafu mwingineuliojaa nchini ?
Tafadhali tujadili kwa kujibu maswala matatu hapo juu, kwa ustaarabu bila matusi wala jazba