Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Hapa dola inaweza kuanza na wale watu waliokuwa kila wakiandaa mkutano na waandishi wa habari hulalamika kuwa kuna watu wanatekwa.
inawezekana wamefanya hivi kuonyesha kuwa kuna utekaji na kuichafua serikali ya awamu ya tano
Jeshi la polisi liwaunganishe katika mahojiano!
 
Why keep spinning and propagating on somebody's life bro. Hii inasaidia nini?

Vv
 
wewe utakua mchawi

Mwenzio akiandika upumbavu kama huo analipwa, wewe usihangaike na watu walioko kazini. Upumbavu kwa wengine ni ajira.
 
Hapa dola inaweza kuanza na wale watu waliokuwa kila wakiandaa mkutano na waandishi wa habari hulalamika kuwa kuna watu wanatekwa.
inawezekana wamefanya hivi kuonyesha kuwa kuna utekaji na kuichafua serikali ya awamu ya tano
Jeshi la polisi liwaunganishe katika mahojiano!
Taifa lina wajinga na wajinga kila siku wanaongezeka na wewe inaonekana umezaa watoto wajinga kama wewe na mumeo
 
Hapa dola inaweza kuanza na wale watu waliokuwa kila wakiandaa mkutano na waandishi wa habari hulalamika kuwa kuna watu wanatekwa.
inawezekana wamefanya hivi kuonyesha kuwa kuna utekaji na kuichafua serikali ya awamu ya tano
Jeshi la polisi liwaunganishe katika mahojiano!
Wasiliana na Musiba aweke katika Font Fedi ya magazeti yake ya Tanzanite na jamvi la wageni
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu Che mittoga
Kwanza fahamu uchawi upo na unafanya kazi..
Uchawi ni sayansi ya giza isiyo na ithibati za sayansi nuru
Uchawi ni nguvu ya kiroho isiyoonekana kwa macho ya kawaida
Sasa kuhusu wachawi wapo ...tena wengi tu lakini ni wale tunaoweza kuwaita wachawi wa kawaida sana....uwezo wao ni mdogo wa kufanya mambo madogo ya kubahatisha bahatisha tu....
Lakini pia kanuni za wachawi ni hizi
.Hafanyi kazi bila kuombwa ama kutumwa
.Hafanyi kazi kwa kwenda mwenyewe kwa mteja
.Hafanyi kazi ya kujitolea
Ili uchawi ufanye kazi ni lazima mhusika aridhie kwakuwa baadhi ya vitu atatakiwa kufanya yeye mwenyewe ama ndugu zake
Je familia ya mtekwaji wanaamini katika uchawi na ushirikina? Je wako tayari kutoa ushirikiano?...lakini haya mambo hufanyika kwa siri sana je ni nani anayejua kama familia haijaanza mchakato?
Between hata watekaji nao hujiandaa kwa namna zote ikiwemo ushikirikina....
Kwa dondoo hizo chache ni ngumu Ku conclude kuwa uchawi umeshindwa!
Asante!
Asante Mzee Baba
 
Kama Mo asipopatikana Daudi Albert Bashite akamatwe atuambie alikomficha. Hivi huyu Bashite mbona anajitia kiherehere utadhani yeye ni Naibu Rais?
 
Hapa dola inaweza kuanza na wale watu waliokuwa kila wakiandaa mkutano na waandishi wa habari hulalamika kuwa kuna watu wanatekwa.
inawezekana wamefanya hivi kuonyesha kuwa kuna utekaji na kuichafua serikali ya awamu ya tano
Jeshi la polisi liwaunganishe katika mahojiano!
ni makonda maana alisema kapatokana halafu akakana kwa hesabu yeye ni muhusika
 
.
IMG-20181020-WA0060.jpeg
 
Moderator huu ni uchambuzi wa viashiria mbalimbali na uhalisia wa tukio baada ya Mo kutekwa hivyo naomba msiunganishe huu uzi na zile nyingine zinazoripoti

Habari huanza kama tetesi ama uvumi hilo limekwisha fanyika
Baada ya tetesi ama uvumi kuthibitika ni kweli habari husika hukoma kuwa tetesi ama uvumi.

Kinachofuata baada ya hapo ni breaking news hapa kila mtu huongea lake la masikitiko la majonzi la huruma nknk....tuko kwenye hatua hii kwa sasa

Vumbi likishatulia ndio uchambuzi huanza..na sasa ni muda wa uchambuzi na sio tetesi wala breaking news tena!

MO KATEKWA! ndio habari kubwa kwa asubuhi hii ya tarehe 11.October.2018
Kila tuko linalotokea huwa na mlolongo huu
Wazo
Sababu
Mchoro/mpango
Muda
Wahusika
Vitendea kazi
Bajeti
Uchaguzi wa eneo la tukio
Nani afanye nini nknk

Matukio ya utekaji huambatana na
Visasi
Fidia
Vita ya kibiashara
Mambo ya kisiasa
Mapenzi na mahusiano...nknk

Kutekwa si jambo geni masikioni mwetu ,wengi walishatekwa ....wachache wkapatikana wakiwa hai na wengine wafu....wengine hawakupatikana tena.

Kwanini MO?
Huyu si mtu mdogo ni mfanyabiashara mkubwa mwenye mafanikio mengi...amewahi kuingia kwenye kumi bora na ishirini bora za matajiri vijana duniani, Afrika na hata katika mgawanyo wa kikanda... Kumteka huyu maandalizi yake si ya kitoto
Wiki moja Kabla nilimuona akifanya mahojiano na mwandishi mmoja ..sikumbuki ni kituo gani cha luninga ...lakini katika mahojiano yale alitaja mafanikio yake mengi na pia kuelezea ratiba yake ya siku nzima na wiki pia
Kwa maneno yake mwenyewe hii ndio ratiba yake

Anafika ofisini saa 12 asubuhi na kuanza kusoma na kujibu emails mpaka saa mbili asubuhi
Baada ya hapo hujipanga kuingia kwenye vikao vya bodi mbalimbali kuhusiana na makampuni yake.

Akimaliza kwenye saa sita nadhani hupata wasaa wa kupitia magazeti mbalimbi,kupumzika na ikifika saa nane HUENDA GYM kupata lunch na baadae kurudi ofsini mpaka usiku...weekend hukutana na marafiki na hupata muda wa kuwa na familia pia.

Leo alfajiri katekwa akienda/akitoka gym! Ni wazi kwenye yale mahojiano alidanganya kuwa anaendaga gym mchana...hii haina shida ni mbinu shirikishi ya kujilinda

Je, watekaji wanataka nini kwake?

Ni wazi hawana nia ya kumdhuru la sivyo wangeshamaliza mchezo pale pale walipomtekea.

Kwa jicho la haraka hawa wanataka fidia (ransom )na kama hili likithibitika basi tutakuwa tumeingia kwenye zama mpya mbaya sana kiuchumi na swala zima la uwekezaji....

Je kwasasa yuko wapi?
Its a million dollar question...lakini watekaji ni watu waliojiandaa hasa...eneo walilomtekea lina ulinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi yenye vifaa vya uhakika lakini pia kuna CCTV CAMERAS...hivyo basi walijua wanachokifanya na hata kuruhusu waonekane kama ni wazungu ni cover up nyingine...siku hizi kuna vinyago vya kila aina.

Kiinteligensia Dar ni padogo sana na eneo letu la bahari liko huru mno...ni rahisi mno kutega speed boat ufukweni maeneo ya Coco na kuondoka na mtu salama salimini...

Neno la Makonda
Kwa kawaida baada ya mtu kutekwa watu husubiri masaa24 kusikia watekaji watasema nini...kipindi hiki cha mpito mamlaka husika hukaa kimya kabisa zikifuatilia kwa Karibu kila taarifa...sanasana zitatoa tu taarifa kuthibitisha tetesi...huwa hazikurupuki kupayuka!

Ndugu yetu huyu kwa nafasi yake ya mkuu wa mkoa kasema WALE WAZUNGU NI WAGENI!
Kajuaje kama ni wazungu kweli
Kajuaje kama ni wageni!?
Ana taarifa zao?
Wamekamatwa?
Kwa kupayuka huku mtu anaweza kuharibu kila kitu ama kugeuka na kuwa chanzo cha habari na kuacha mashaka mengi.....

Mpaka sasa kinachosemwa ni Mo katekwa na majambazi...lakini bado hatuna hakika kwa asilimia zote ninini hasa kimetokea....wakati tukiendelea na huu mjadala tuwe makini na kauli zetu,tusije tukajikuta ni sehemu ya ushahidi..

Tumuombee...tuiombee familia yake ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha sintofahamu kubwa
MO angekuwa na ujasiri kama wa Tundu Lisu watekaji tungeshawajua. Sema Ki mo kimejaa unafki mwingi sana
 
Back
Top Bottom