Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Mshana Jr, Ebu tumia elimu yako ya ulozi ili kusaidia kujua Huyu Mo waliomteka walimpeleka wapi, kwn huo ulozi utakuwa na maana gn sasa km hauwezi ht kutumia ndumba kugundua Alipofichwa Mo wetu
 
Mshana Jr, Ebu tumia elimu yako ya ulozi ili kusaidia kujua Huyu Mo waliomteka walimpeleka wapi, kwn huo ulozi utakuwa na maana gn sasa km hauwezi ht kutumia ndumba kugundua Alipofichwa Mo wetu
Mhm [emoji15][emoji15][emoji15]hivi Mo ni mkubwa kuliko Tanzania?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1562][emoji1562][emoji1562]...
 
Ngoja tuone ni taarifa zipi zitatolewa kuhusiana na hilo tukio...

Kwa mfanyabiashara mkubwa kama huyo, ambae hana record mbaya mbele ya media, alafu ghafla anatekwa, kuna jambo kubwa sana linatazamiwa...

Cc: mahondaw
 
mkuu wa mkoa kasema WALE WAZUNGU NI WAGENI

Mshana Jr unataka nini tena ebu washa video tuangalie SULTANI
 
mkuu wa mkoa kasema WALE WAZUNGU NI WAGENI

Mshana Jr unataka nini tena ebu washa video tuangalie SULTANI
[emoji848][emoji23][emoji23]video vyangu vimeisha hela....na luku pia imekata

Mzungu!
tapatalk_1539401852026.jpeg
 
Utasikia jeshi la Porisi rimefanikiwa kurikamata rizungu rimoja kwa jina ra Haji Manara ila lingine tumegundua riripanga njama za kumteka Mo kabra arijatoroka nchi,hili ni rijizi sugu kwa jina ra Hans Pope!
 
[emoji15][emoji848][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]amekuwa kambale?
Utasikia jeshi la Porisi rimefanikiwa kurikamata rizungu rimoja kwa jina ra Haji Manara ila lingine tumegundua riripanga njama za kumteka Mo kabra arijatoroka nchi,hili ni rijizi sugu kwa jina ra Hans Pope
 
Utasikia jeshi la Porisi rimefanikiwa kurikamata rizungu rimoja kwa jina ra Haji Manara ila lingine tumegundua riripanga njama za kumteka Mo kabra arijatoroka nchi,hili ni rijizi sugu kwa jina ra Hans Pope!
.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji24][emoji40][emoji40]
IMG-20181013-WA0060.jpeg
 
KATEKWA NA WAZUNGU...hapo naunganisha kidot.com..kauli za wazungu ,,MATAMKO ya wazungu,,,n.g.o xxx,,,au ile union inavyosimama agaist Gov...KUNAMIJITU INAPENDA WAZUNGU we acha tu...xzilion through jews,,metsada ,,nimeandika utumbo mtupu.
Mmmh we naye ,kwanza unajua ulicho andika?
 
Me nadhani sio muda wake huu, kujivika unform za mamlaka husika...naona ingekuwa vema kama tungejaribu kukaa kimya kwanza, na kutoa room kwa mamlaka husika ili iweze fanya kazi yake vema.......then ndipo tunyanyue vidole juu na kukemea ukakasi utakaonyeshwa au kupongeza juhudi bora zilizofanywa na mamlaka husika katika sakata hili.
Mmmh mamlaka zipi? Bora muongee tuu maana ka ndo mnasubr mamlaka mtakaa sana,,,,yaan ya azori hukumbuk? Ben naye pia unasubr mamlaka husika? Na bado na tundu lissu unasubr mamlaka zikuambie mpendwa?
 
Back
Top Bottom