Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Dhana dhanifu juu ya kutekwa Mo Dewji

Unakumbuka sakata la mchele mbovu? Unamkumbuka yule mkemia aliyeuliwa mchana kweupe nyumbani kwake? Unajua ule mchele ulikuwa wa nani? Kwakuwa hatufahamianj hivyo siwezi kujua umri wako na ufahamu juu ya haya mambo
Mmmmmh ayaa nayo yamekaa Lumumba ndo eti yanakuja na huu ujinga!!! Ww kama unajua huo mchele ulkua wa nan mbona ulkaa kmyaa? Kama unajua nan alimuua mkemia tena mchana mbona umekaa kmyaa ? Kwa nn hujaenda kuliambia jeshi letu la polisi "lililotukuka na kujizolea sifa kede kede duniani kwa kazi zao zilizotukuka"?
 
Aisee una umri gani rafiki !? Hiyo ishu ya mchele kumbe kwako ni ngeni kabisa!
 
What's wrong here[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
IMG-20181014-WA0002.jpeg
 
Eti wadau ina maana,
Wachawi wote
Waaguzi wote
Wapiga ramli wote
Warozi wote
Waganga pori wote
Wautamaduni wote
Wapiga faraki wote
Wabiga tochi wote
Wachimba ndagu wote
Wapiga mafundo wote
Waruka moto wote
Wameshindwa kabisa kumulika alipo MO ?
mimi sitawaamini tena kabisa kabisa.
Kila siku wanajinadi na kutangazia, oonhoo "njooni tuwatazamie wabaya wenu au wezi wwenu au waliowaroga,
na matapo mengi tu ya kijisifu.
Leo wameshindwa kuona alipo mwenzetu MO....!
Hakika imenistaajabsha sana sana sana.
Hapa dili liko wazi kabisa wala halihitaji kulipwa fedha ya awali au kuombwa.
Unapiga ramli unaona MO alipo then unaenda kuritaarifu jeshi la polisi kituoni.
MO anaokolewa.
MO akipatikana kwa msaada wako ni lazima upige fedha, kama sio yeye au jamaa zake kukupatia pesa basi utakuwa umetangaza vizuri biashara yako ya kuagua.
Kuanzia hapo utapata pesa kedekede kwa wateja wengi waliopoteza jamaa zao kuja kuwaangalia walipo.
Kila siku tunamiambieni hii miganga inayojinadi eti kwamba ina uwezo wa kupiga bao na kuona yaliyofichika mahala pa siri, ni utapeli tu.
Kumbe mnatapeliwa tu na kugombanishwa na ndugu zenu mnapoenda kuagua.
Faida ya uchawi sasa ninini ? Kurukaruka uchi sebureni ?
 
Na ndio yeye kila siku anakuwa chanzo ca kuharibu mission zao Refer kutekwa kwa ROMA nanukuu"Msiwe na shaka ndugu zetu hawa watapatikana kabla ya masaa 24" na kabla muda kufika kweli walipatikana.

Something behind this shit.
Kunywa soda apo chap utalipa mwenyewe
 
Eti wadau ina maana,
Wachawi wote
Waaguzi wote
Wapiga ramli wote
Warozi wote
Waganga pori wote
Wautamaduni wote
Wapiga faraki wote
Wabiga tochi wote
Wachimba ndagu wote
Wapiga mafundo wote
Waruka moto wote
Wameshindwa kabisa kumulika alipo MO ?
mimi sitawaamini tena kabisa kabisa.
Kila siku wanajinadi na kutangazia, oonhoo "njooni tuwatazamie wabaya wenu au wezi wwenu au waliowaroga,
na matapo mengi tu ya kijisifu.
Leo wameshindwa kuona alipo mwenzetu MO....!
Hakika imenistaajabsha sana sana sana.
Hapa dili liko wazi kabisa wala halihitaji kulipwa fedha ya awali au kuombwa.
Unapiga ramli unaona MO alipo then unaenda kuritaarifu jeshi la polisi kituoni.
MO anaokolewa.
MO akipatikana kwa msaada wako ni lazima upige fedha, kama sio yeye au jamaa zake kukupatia pesa basi utakuwa umetangaza vizuri biashara yako ya kuagua.
Kuanzia hapo utapata pesa kedekede kwa wateja wengi waliopoteza jamaa zao kuja kuwaangalia walipo.
Kila siku tunamiambieni hii miganga inayojinadi eti kwamba ina uwezo wa kupiga bao na kuona yaliyofichika mahala pa siri, ni utapeli tu.
Kumbe mnatapeliwa tu na kugombanishwa na ndugu zenu mnapoenda kuagua.
Faida ya uchawi sasa ninini ? Kurukaruka uchi sebureni ?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu Che mittoga
Kwanza fahamu uchawi upo na unafanya kazi..
Uchawi ni sayansi ya giza isiyo na ithibati za sayansi nuru
Uchawi ni nguvu ya kiroho isiyoonekana kwa macho ya kawaida
Sasa kuhusu wachawi wapo ...tena wengi tu lakini ni wale tunaoweza kuwaita wachawi wa kawaida sana....uwezo wao ni mdogo wa kufanya mambo madogo ya kubahatisha bahatisha tu....
Lakini pia kanuni za wachawi ni hizi
.Hafanyi kazi bila kuombwa ama kutumwa
.Hafanyi kazi kwa kwenda mwenyewe kwa mteja
.Hafanyi kazi ya kujitolea
Ili uchawi ufanye kazi ni lazima mhusika aridhie kwakuwa baadhi ya vitu atatakiwa kufanya yeye mwenyewe ama ndugu zake
Je familia ya mtekwaji wanaamini katika uchawi na ushirikina? Je wako tayari kutoa ushirikiano?...lakini haya mambo hufanyika kwa siri sana je ni nani anayejua kama familia haijaanza mchakato?
Between hata watekaji nao hujiandaa kwa namna zote ikiwemo ushikirikina....
Kwa dondoo hizo chache ni ngumu Ku conclude kuwa uchawi umeshindwa!
Asante!
 
Back
Top Bottom