Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

giphy.gif
Mhhhh linini hilo nahisi kama lugha ya picha
 
SUV

Mit 31​

Mafundisho ya Mama wa Mfalme Lemueli
1Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.

2Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu?
Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
3 Usiwape wanawake nguvu zako;
Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme;
Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria,
Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea;
Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7Anywe akausahau umaskini wake;
Asiikumbuke tena taabu yake
 
Hakuna dhambi ndogo wala kubwa na hakuna isiyosameheka, muongo, mfiraji nk nk wote dhambi zna mzani sawa, jtu siyo firaji ila ni liongo linafk hatari useme lina uafadhari wkt zote ni dhambi tu.
 
Hakuna dhambi ndogo wala kubwa na hakuna isiyosameheka, muongo, mfiraji nk nk wote dhambi zna mzani sawa, jtu siyo firaji ila ni liongo linafk hatari useme lina uafadhari wkt zote ni dhambi tu.
Mmh!🥺🤔🙇🏿‍♂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom