Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

hivi jamani hii tunayotumiaga ni dawa ya mswaki au dawa ya meno? :A S 39:
 
Charminggal umeozaje? Kama ndo mume wako yuko hivyo una jasara kubwa. Pole kwa kwili.
 
Kuna hii ya soksi kupotea ndani kila siku, hivi zinaenda wapi?
 



Pasipo kufanyikia haya, huo uanaume utatoka wapi....?

Lazima tutofautiane, na ndo mahusiano yanapodumu hivo.....
 
Namba 1 mpaka 4 huuu...ni kero kubwa kwangu
 
hiyo namba 3 ilishanikuta mke akasepa nami nikamwambia una lako jambo mpaka leo 7yrs
 
9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....

10. Kuvaa boxer / singlend chafu

11. Kutongoza haus gel

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........

Nitarudi!!!!
charminglady tangazo la ndoa yako sijalisikia...haya mambo ya ndani kabisa umeyajuaje mpendwa au kwenye semina?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo namba5 kama ungekuwa ndo Mke wangu nina uhakika ungechukia sana...chakula kitu gani bwana...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…