Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Nilikimbia....ila nimerudi kuona hukumu ya wanawake walioolewa....
 
13. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
15. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi

Da mzee umenigusa... mle mle... ha ha ha....
 
13. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
15. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi

16. Kuvaa chupi za wife
 
Sasa Mkuu hivyo ndivyo inatakiwa iwe. Shukuru umepata mke mwema huyo!!
 
mimi namba nane inanihusu na nimejitahidi kubadilika nimeshindwa, mara nyingi nasifia kabla cjapata
 
kama ni dhambi nishafanya karibu zoote hapo!
 
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Hapa hakuna shida mdada, pendeza kisawasawa halafu jitaidi sana muongozane! Fanya hivi mara nyingi mwenyewe tu atakaa sawa!!
 
Hata nami hufanya hivyo. Yawezekana unavua nguo na kuzirusha juu ya kiti au kitanda bila ku hang mahali husika. So nguo ikiwekwa pasipostahili ni chafu ya kufua hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…