Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Soma article nzima Sasa gold ya UAE imekua handed over in DOHA by a SUDANESE Sasa hapo technically kazi ya Msudani ni kuitoa UAE mpaka DOHA otherwise wange sema kwenye ripoti!!

Kisheria kilichosemwa ndio kinachotumika sio "kuconnect dots" Sheria haiendi hivo na wewe unajua hilo
Nionyeshe ilipo 'intelligensia' mkuu 'zitto jr', hapo tutakuwa tumeyamaliza haya.
 
Mwanyika aliyesababisha Hasara ya Trillion 450 alifanyiwa kampeni na kushinda Ubunge kwa support ya JPM!!

Una maoni Gani juu ya Hilo mkuu
Una nakala ya kukithibitisha hicho ukiandikacho? au ndio zile mimba za chuki mlizo zihifadhi ambazo zimegoma kukomaa,mnaumia Magu akisifia, wewe ukimchukia na kutomsifia basi hata mawe yata msifia.

Ila si shangai hata hilo jina ya profile yako ni jamaa ambaye ana sifa za sigara kali yupo yupo anaangalia fursa na asipokuwa makini watamwasha mbele na nyuma.
 
Nionyeshe ilipo 'intelligensia' mkuu 'zitto jr', hapo tutakuwa tumeyamaliza haya.
Screenshot_20221114_213117.jpg

Soma hiyo synopsis then niambie hiyo ni normal arrest au ni intelligence ring?
 
View attachment 2416803
Soma hiyo synopsis then niambie hiyo ni normal arrest au ni intelligence ring?
Ndiyo, ninakubali hii kuwa na sifa ya 'inteligensia', lakini sijui kama ndiyo inayoenda hata katika swala na mSudan kuwapa hao jamaa hiyo dhahabu hapo Doha.

Kwa uelewa wangu, swala la mSudan ni maelezo ya ripoti iliyoandikwa na makala, pengine yakiwa ni maelezo toka kwa hao wanaoshutumiwa, na siyo sehemu ya 'inteligensia' kama inavyoonyesha hapo juu.
 
Una nakala ya kukithibitisha hicho ukiandikacho? au ndio zile mimba za chuki mlizo zihifadhi ambazo zimegoma kukomaa,mnaumia Magu akisifia, wewe ukimchukia na kutomsifia basi hata mawe yata msifia.

Ila si shangai hata hilo jina ya profile yako ni jamaa ambaye ana sifa za sigara kali yupo yupo anaangalia fursa na asipokuwa makini watamwasha mbele na nyuma.

Una nakala ya kukithibitisha hicho ukiandikacho? au ndio zile mimba za chuki mlizo zihifadhi ambazo zimegoma kukomaa,mnaumia Magu akisifia, wewe ukimchukia na kutomsifia basi hata mawe yata msifia.

Ila si shangai hata hilo jina ya profile yako ni jamaa ambaye ana sifa za sigara kali yupo yupo anaangalia fursa na asipokuwa makini watamwasha mbele na nyuma.

Sikiliza from 1:02:41 anamuombea Kura Mwanyika kwa ajili ya ubunge Njombe Mjini!! Sasa Kama Alimtukana Lissu kwa sababu anawasiliana na Mwanyika how comes yeye sio tu kuongea naye bali kumpa ubunge kabisa mwizi wa Makinikia??

Embi mtetee tusikie
 
Ndiyo, ninakubali hii kuwa na sifa ya 'inteligensia', lakini sijui kama ndiyo inayoenda hata katika swala na mSudan kuwapa hao jamaa hiyo dhahabu hapo Doha.

Kwa uelewa wangu, swala la mSudan ni maelezo ya ripoti iliyoandikwa na makala, pengine yakiwa ni maelezo toka kwa hao wanaoshutumiwa, na siyo sehemu ya 'inteligensia' kama inavyoonyesha hapo juu.
Anyway Makala haisemi Dhahabu imetokea Tanzania so mjadala wowote nje ya hapo ni speculations tu kama unazoleta hapa!! Maadam nimenyoosha facts then it's up to you kutoa maoni au kufuata uhalisia
 
Sikiliza from 1:02:41 anamuombea Kura Mwanyika kwa ajili ya ubunge Njombe Mjini!! Sasa Kama Alimtukana Lissu kwa sababu anawasiliana na Mwanyika how comes yeye sio tu kuongea naye bali kumpa ubunge kabisa mwizi wa Makinikia??

Embi mtetee tusikie

Mbona unabadilisa magoli, wewe ni onyeshee ushahidi wa kimaandishi wa hizo tn 450?

Ila si shangai tatizo ni hilo jina lako la kwenye hiyo profile yako ambaye yupo yupo anatizama fursa na kuendekeza njaa.
 
Tukisema sana tunaonenaka tuna wivu,tunanyanyapaa jinsia lakini atukufikia kuwa na ile gender kwa wakati huu tulitakiwa kusubiri sana hadi pale uozo na kutoa wapigaji...
 
Anyway Makala haisemi Dhahabu imetokea Tanzania so mjadala wowote nje ya hapo ni speculations tu kama unazoleta hapa!! Maadam nimenyoosha facts then it's up to you kutoa maoni au kufuata uhalisia
Sasa "uhalisia" ni upi hapa?
Siyo kweli kwamba hao wasafiri walitokea Tanzania?
Hapo UAE wanayo machimbo ya dhahabu?

Ndiyo, ni sawa kuwa hadi sasa ni 'speculation' zinazotumika hapa, ila sioni "uhalisia" sehemu yoyote ya habari hii.
 
Mbona unabadilisa magoli, wewe ni onyeshee ushahidi wa kimaandishi wa hizo tn 450?

Ila si shangai tatizo ni hilo jina lako la kwenye hiyo profile yako ambaye yupo yupo anatizama fursa na kuendekeza njaa.

Mbona unabadilisa magoli, wewe ni onyeshee ushahidi wa kimaandishi wa hizo tn 450?

Ila si shangai tatizo ni hilo jina lako la kwenye hiyo profile yako ambaye yupo yupo anatizama fursa na kuendekeza njaa.
Soma page 32 then jumlisha majedwali kwa Kila madai ya Kodi plus penalty ya Kodi hizo zilizoainishwa humu then niambie no trillion ngapi hapo!!
 
Attachments

  • taarifa-ya-pili-ya-makinikia.pdf
    337.3 KB · Views: 1
Sasa "uhalisia" ni upi hapa?
Siyo kweli kwamba hao wasafiri walitokea Tanzania?
Hapo UAE wanayo machimbo ya dhahabu?

Ndiyo, ni sawa kuwa hadi sasa ni 'speculation' zinazotumika hapa, ila sioni "uhalisia" sehemu yoyote ya habari hii.
You're disappointing today!! UAE kwani Dhahabu haziuzwagi legally kabisa au umesikia nchi zinazouza Dhahabu zote lazima zinazalisha? Kwani Hawa Barrick hizo Dhahabu si Mali Yao na soko linauzwa kokote au iliuzwa UAE basi technically ni ya wizi?

Uhalisia ni kwamba Polisi wamedaka walioingiza Dhahabu kwa Siri India..... Na hiyo Dhahabu imesafirishwa kutoka UAE kwenda India kupitia DOHA Wala hakuna mahali Dhahabu imetajwa kutoka Tanzania so acha speculation mkuu
 
Ni 'deductions' tu, wala siyo 'speculation'.
Huyo mSudan na hao wasafiri toka Tanzania inafanya unaouita "uhalisia" kuwa na upungufu mkubwa.
 
Kalamu & zitto junior,

Kwa heshima zote, maana mvutano wenu imejaa mantiki na uwezo wa mdahalo upande zote mbili Kwa nyakati tofauti tofauti.

Lakini mnatuchosha!

Cool down (hata kama usoni mna tabasamu)

Hii dhahabu haiwezi thibitishwa imetoroshwa Tanzania ikiwa dhahabu ghafi. Period!

Kwa sababu picha inaonyesha wazi ni gold bars na nembo (emblem) ya Dubai, UAE...

Inteligensia ya mantiki yetu sote inatulazimisha tuamini hivyo..

Good night!
 
Back
Top Bottom