CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 963
- 1,925
Unathani ni mara yake ya kwanza au unadhani hajui kitu? Bora unyamaze mkuu kuna mengiHuyo boda hana akili, yaan ubebe dhahabu kilo 30??
Unathani ni mara yake ya kwanza au unadhani hajui kitu? Bora unyamaze mkuu kuna mengiHuyo boda hana akili, yaan ubebe dhahabu kilo 30??
Nionyeshe ilipo 'intelligensia' mkuu 'zitto jr', hapo tutakuwa tumeyamaliza haya.Soma article nzima Sasa gold ya UAE imekua handed over in DOHA by a SUDANESE Sasa hapo technically kazi ya Msudani ni kuitoa UAE mpaka DOHA otherwise wange sema kwenye ripoti!!
Kisheria kilichosemwa ndio kinachotumika sio "kuconnect dots" Sheria haiendi hivo na wewe unajua hilo
Mwanyika aliyesababisha Hasara ya Trillion 450 alifanyiwa kampeni na kushinda Ubunge kwa support ya JPM!!Una nakala ya Magu kumrudisha bungeni?
Una nakala ya kukithibitisha hicho ukiandikacho? au ndio zile mimba za chuki mlizo zihifadhi ambazo zimegoma kukomaa,mnaumia Magu akisifia, wewe ukimchukia na kutomsifia basi hata mawe yata msifia.Mwanyika aliyesababisha Hasara ya Trillion 450 alifanyiwa kampeni na kushinda Ubunge kwa support ya JPM!!
Una maoni Gani juu ya Hilo mkuu
Nionyeshe ilipo 'intelligensia' mkuu 'zitto jr', hapo tutakuwa tumeyamaliza haya.
Ndiyo, ninakubali hii kuwa na sifa ya 'inteligensia', lakini sijui kama ndiyo inayoenda hata katika swala na mSudan kuwapa hao jamaa hiyo dhahabu hapo Doha.View attachment 2416803
Soma hiyo synopsis then niambie hiyo ni normal arrest au ni intelligence ring?
Una nakala ya kukithibitisha hicho ukiandikacho? au ndio zile mimba za chuki mlizo zihifadhi ambazo zimegoma kukomaa,mnaumia Magu akisifia, wewe ukimchukia na kutomsifia basi hata mawe yata msifia.
Ila si shangai hata hilo jina ya profile yako ni jamaa ambaye ana sifa za sigara kali yupo yupo anaangalia fursa na asipokuwa makini watamwasha mbele na nyuma.
Una nakala ya kukithibitisha hicho ukiandikacho? au ndio zile mimba za chuki mlizo zihifadhi ambazo zimegoma kukomaa,mnaumia Magu akisifia, wewe ukimchukia na kutomsifia basi hata mawe yata msifia.
Ila si shangai hata hilo jina ya profile yako ni jamaa ambaye ana sifa za sigara kali yupo yupo anaangalia fursa na asipokuwa makini watamwasha mbele na nyuma.
Anyway Makala haisemi Dhahabu imetokea Tanzania so mjadala wowote nje ya hapo ni speculations tu kama unazoleta hapa!! Maadam nimenyoosha facts then it's up to you kutoa maoni au kufuata uhalisiaNdiyo, ninakubali hii kuwa na sifa ya 'inteligensia', lakini sijui kama ndiyo inayoenda hata katika swala na mSudan kuwapa hao jamaa hiyo dhahabu hapo Doha.
Kwa uelewa wangu, swala la mSudan ni maelezo ya ripoti iliyoandikwa na makala, pengine yakiwa ni maelezo toka kwa hao wanaoshutumiwa, na siyo sehemu ya 'inteligensia' kama inavyoonyesha hapo juu.
Sikiliza from 1:02:41 anamuombea Kura Mwanyika kwa ajili ya ubunge Njombe Mjini!! Sasa Kama Alimtukana Lissu kwa sababu anawasiliana na Mwanyika how comes yeye sio tu kuongea naye bali kumpa ubunge kabisa mwizi wa Makinikia??
Embi mtetee tusikie
Sasa "uhalisia" ni upi hapa?Anyway Makala haisemi Dhahabu imetokea Tanzania so mjadala wowote nje ya hapo ni speculations tu kama unazoleta hapa!! Maadam nimenyoosha facts then it's up to you kutoa maoni au kufuata uhalisia
Mbona unabadilisa magoli, wewe ni onyeshee ushahidi wa kimaandishi wa hizo tn 450?
Ila si shangai tatizo ni hilo jina lako la kwenye hiyo profile yako ambaye yupo yupo anatizama fursa na kuendekeza njaa.
Soma page 32 then jumlisha majedwali kwa Kila madai ya Kodi plus penalty ya Kodi hizo zilizoainishwa humu then niambie no trillion ngapi hapo!!Mbona unabadilisa magoli, wewe ni onyeshee ushahidi wa kimaandishi wa hizo tn 450?
Ila si shangai tatizo ni hilo jina lako la kwenye hiyo profile yako ambaye yupo yupo anatizama fursa na kuendekeza njaa.
You're disappointing today!! UAE kwani Dhahabu haziuzwagi legally kabisa au umesikia nchi zinazouza Dhahabu zote lazima zinazalisha? Kwani Hawa Barrick hizo Dhahabu si Mali Yao na soko linauzwa kokote au iliuzwa UAE basi technically ni ya wizi?Sasa "uhalisia" ni upi hapa?
Siyo kweli kwamba hao wasafiri walitokea Tanzania?
Hapo UAE wanayo machimbo ya dhahabu?
Ndiyo, ni sawa kuwa hadi sasa ni 'speculation' zinazotumika hapa, ila sioni "uhalisia" sehemu yoyote ya habari hii.
Sioni mimi ulicho kizungumza na hiki ulicho post haviendani kabisa.Soma page 32 then jumlisha majedwali kwa Kila madai ya Kodi plus penalty ya Kodi hizo zilizoainishwa humu then niambie no trillion ngapi hapo!!
Ni 'deductions' tu, wala siyo 'speculation'.Uhalisia ni kwamba Polisi wamedaka walioingiza Dhahabu kwa Siri India..... Na hiyo Dhahabu imesafirishwa kutoka UAE kwenda India kupitia DOHA Wala hakuna mahali Dhahabu imetajwa kutoka Tanzania so acha speculation mkuu