Air Tanzania yaanza safari za kutoka Uwanja wa Kimataifa wa JNIA, Dar hadi Mumbai, India kwa Tsh. 557,600.00 Economy Class

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,219
12,924
1086711

Naam wanajamvi sasa safari za moja kwa moja toka Tanzania mpaka India zimeiva kupitia ndege yako pendwa za Air Tanzania, Ni kuanzia Tarehe 17 July safari itaanza rasmi kwa siku za Jumatano, Ijumaa na Jumapili.

Daraja la Economy ni Tsh 557,600.00
Daraja la Business ni Tsh 2,878,500.00

Safari itaanza saa 18:00 Dar es Salaam na ndege inatarajiwa kuwasili Jijini Mumbai majira ya saa 02:50+1 usiku.

Nunua Ticket yako sasa kupitia wavuti ya Air Tanzania
www.airtanzania.co.tz
1086713
 
View attachment 1086711

View attachment 1086713

Mbona hao Wahudumu hapo Pichani bado sijaona hata Mmoja wao anayewazidi Kiuzuri / Kiurembo / Kimvuto baadhi ya Wasichana Wasaidizi wa Kazi ( House Maids / House Girls ) wa Majirani zangu hapa Mtaani ninapoishi?
 
Back
Top Bottom