KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 696
Pamoja na kula rushwa waliotia saini mikataba hii hawakuwa na uzalendo au ujuzi na mambo haya hata kidogo. Rushwa walikula na walikuwa hawaelewi ni kwa nini wanapewa rushwa. Yaani walikuwa hawana tofauti sana na mataahira wa akili.
Mikataba yote huwa inaangalia market price. Kama ni issue ya hedging, huwa inafanyika kwenye comodity ambazo bei zinabadirika sana si Gold. Hata hivyo hedging ingefanyika kwenye percentage ya average market price labda ya kila mwaka. Yaani kama value ya gold kwa mwaka itabadirika badirika basi inachukuliwa average ya mwaka mzima halafu mnachukua labda 90% ya average market price!
Kuhusu kutotegemea loyalty, ni kweli loyalty si kitu cha kutegemewa sana kwani mara nyingi huwa ni kidogo. Lakini hata hicho kidogo kipatikane kile kinachostahili basi!!!! Si eti kwa kuwa loyalty ni kidogo basi tuchukue bei za kuzusha!! Yaani ni nani anaweza ku - hedge - bei kwa mkataba unaotarajiwa kuwa wa zaidi ya miaka 10?? Huu ni uzumbukuku na ujinga uliopitiliza. Hata kama loyalty ni kidogo inatakiwa iwe calculated based on market value (or at least 90%) ya average market value. Huwezi kwenda kwenye meza ya negotiation ukasema eti nimeongeza kutoka kwenye $400 kwenda $700 halafu ukajiona eti una hata chembe ya akili!!
We are doomed because our leaders have very low mental ability and our system has already been so structured that only mediocrity prevails!! If you are not mediocre you cannot fit into CCM and the whole rulling class!! That is our tragedy!