Kwani cheti cha form four kinatatizo gani kwenye uongozi?hao ma Dr. Na ma professor walioko huko mamlakani ni kipi wamekifanya kinacho sadifu usomi wao? Usichange vitu visivyo changanyika.Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
We kenge ni nani km tume imemkubali. Fanya mambo yako acha kudhalilisha wenzakoJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Ana Masters kutoka chuo kikuu bora kabisa Uingereza, Manchester University.Kwani huyu wa sasa elimu yake ikoje? Mbona ameweza kuwa Raisi na anagombea tena
Ana degree ya uandishi wa habariJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Katiba haisemi mgombea mweza awe na elimu walau kuanzia ngazi ya shahada, ndio maana kuna kipindi kama mnakumbuka Dr. SLAA alikuwa na mgombea mweza ambaye ni darasa la 7.Weka ushahidi kama hana shahada ya chuo kikuu kinachotambulika. Pia weka vigezo vya kuwa rais siyo unaleta porojo na kuchafuana
Prove pleaseBora minja mwenye cheti cha f4 kuliko Samia ambaye hana kabisa
Mimi nikukosoe tu kwenye eneo la elimu ya huyo dada. Huyo dada alitunukiwa degree hapo SUA masuala ya maendeleo vijijini wengi mnaita maendeleo ya jamii. Elimu yake ipo wazi kabisa. Kwahiyo ulichokiuliza kijenge katika upande mwingine lakini siyo elimuJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
elimu yake iko wazi kabisa labda unapotaka ngonjera sawaKwani huyu wa sasa elimu yake ikoje? Mbona ameweza kuwa Raisi na anagombea tena
Urais ni kabineti kubwa kabisa,yenye watu wa kila namna waelekezi wa kila Hali,hata ukiwa wa la 7, urais unakuwa shwari bila shida yoyoteJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Sifa za elimu uraisi ni sawa na sifa za kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika tuJee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Mnataka no reforms no election au mnataka Tundu Lissu aachiwe aweze kugombee urais?Samia kashajioitisha Urais - mpinzani wa kweli kamuweka Gelezani ili apete.
Ni aibu eti Sakum Mwalimu ndiye mshindani wa nguvu na Samia.
Tunakokwenda siko kabisa tutatengwa na mataifa kama kukin'gan'gania kuendelea na mchakato hali wengine wamefungwa miguu na mikono.
Achana na huyo devotha,hii ni imepikwa tu ili ionekane upinzani upo,,hivi unamuona salum ana ushawishi gani?ndio maana wanaweka vyovyote vile cause wanajua ni mchongo nothing gonna happen in reality!!Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka
JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?