GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani cheti cha form four kinatatizo gani kwenye uongozi?hao ma Dr. Na ma professor walioko huko mamlakani ni kipi wamekifanya kinacho sadifu usomi wao? Usichange vitu visivyo changanyika.
Huoni huyu majanga?
 
Weka ushahidi kama hana shahada ya chuo kikuu kinachotambulika. Pia weka vigezo vya kuwa rais siyo unaleta porojo na kuchafuana
Wewe unayesema ana shahada ndiyo uweke ushahidi vyeti vyake.
Mleta mada yeye hawezi kuweka ushahidi wa kitu ambacho amesema hakipo.
 
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka

JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Ila hawa chauma vichekesho sana kwaiyo wakishinda urais harafu His Exellence salum mwalim akatutoka Devotha minja ndo anakuwa president ?
 
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka

JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Shahada ni jambo moja lingine lingekuwa uwezo binafsi! Mtu anayetaka kuwa Rais yaani kiongozi Mkuu wa nchi ni lazima awe na uwezo mkubwa wa kutenda, kuamua na kuzungumza akaeleweka.
Rais tuliyenae kwa sasa hana vyote!
 
akiwa na cheti cha form 4 tatizo liko wapi? atakuwa hana akili timamu ama?
 
Ila hawa chauma vichekesho sana kwaiyo wakishinda urais harafu His Exellence salum mwalim akatutoka Devotha minja ndo anakuwa president ?
Kwani Kuna shida gani? Mbona Mh. Samia alikuwa makamu na leo ni Rais
 
Yaani watu wapo katika maigizo ya democracy wewe unawachukulia serious kweli?

Hivi ukitoa Chadema kwasasa,kuna chama ambacho unachukulia ni chama cha siasa serious na wanafanya serious politics?
chadema ipi?.Chadema si mlisema ni saccos au mmeshasahau au alivyobadilika tu mwenyekiti usacos umeisha?.
 
chadema ipi?.Chadema si mlisema ni saccos au mmeshasahau au alivyobadilika tu mwenyekiti usacos umeisha?.
Kama hauwezi kutumia maarifa jitahidi kukaa kimya kuonekana una busara.

Mwenyekiti wa CHADEMA bado ni mbowe?

Unadhani kwann mwenyekiti wa sasa Tundulissu ana andamwa na kesi isiyo na kichwa wala miguu?

Haujiulizi kwann safu ya uongozi na wale wanaharakati wa chama cha Demokrasia na Maendeleo wanahama kwa ushawishi hasi unaoendelea chini chini?
 
Back
Top Bottom