GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tanzania haihitaji PhD kuiongoza.mfano angalia tu kizimkazi anacheti Cha form two lakini lakini anaiongoza tu na watanzania wametulia tu japo anapuyanga
 
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka

JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Samia ameanza kumuogopa devoted Minja
 
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka

JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Kwa bahati huyu dada mimi katika pitapita zangu za maisha,tumewahi kufahamiana,kipindi hicho akitangaza redio one na itv na mumewe alikuwa akiuza mbao morogoro,nitamstiri aibu zake kwani yeye ni binadamu kama mimi,ila tulikuwa karibu sana,urafiki wetu ulikuwa mkubwa sana.Hana sifa ya kuwa hata katibu kata acha urais.Elimu yake siijui lakini hana uadilifu wa kuwa kiongozi na wala wao wenyewe wanajua kuwa hawatashinda,bali ni mchongo fulani hivi.Ile chadema ya mbowe mimi nilikuwemo ndani kabisa,ila sikutaka watu wanielewe na sikuwa na nia ya kupata cheo ila nilikuwa nachangia sana,na nilipokuwa nje ya nchi nilichangia sana.Vyeo niliona watu wanavyopewa kama na yeye alivyopewa ubunge.Ni kichekesho kwa salim mwalimu kuogombea urais na mgombea mwenza awe devota minja
 
tunajua hcho kitu hakiwezani kamwe Salum kushinda uchaguzi...labda nikwambie kitu kama ulikuwa hujui hata darasa la saba anayejua kusoma na kuandika anaweza kuongoza nchi kwa katiba tulionayo..
 
Haahaa salumu amshinde Samia, tobaaaa🤣🤣🤣
 
tunajua hcho kitu hakiwezani kamwe Salum kushinda uchaguzi...labda nikwambie kitu kama ulikuwa hujui hata darasa la saba anayejua kusoma na kuandika anaweza kuongoza nchi kwa katiba tulionayo..
Mimi nafikiri Tanzania hatuhitaji tena wasomi sababu wasomi ndio wametufikisha hapa. Nafikiri kuna sehemu wasomi wanafundishwa kuharibu nchi.
Ebu angalia miaka ya mwanzo ya uhuru wetu. Marafiki wetu walitusapoti kupata viwanda vya kila aina kuanzia nguo, majembe, nyavu, magari, etc lakini sisi tulichofanya ni kuingiza siasa ya chama kushika hatamu hata kwenye viwanda. Mwisho vikafa vyote.
By the way chuo chetu kikuu kilikuwa kinatoa watu wanaohoji na kujadili sera za serikali lakini leo kinatoa machawa promax, Kila kitu mama huyooo.
Acha tu. Muwe na jumapili njema
 
Ni dada flani mwenye pesa zake anayeishi Morogoro

Hakuna Minja mjinga rejea uhakiki wa taarifa zako
Ila wewe nawe una bichwa gumu kuelewa.
Kauliza kuhusu elimu yake sio vichenji vyake elewa swali..!!
 
Kwa bahati huyu dada mimi katika pitapita zangu za maisha,tumewahi kufahamiana,kipindi hicho akitangaza redio one na itv na mumewe alikuwa akiuza mbao morogoro,nitamstiri aibu zake kwani yeye ni binadamu kama mimi,ila tulikuwa karibu sana,urafiki wetu ulikuwa mkubwa sana.Hana sifa ya kuwa hata katibu kata acha urais.Elimu yake siijui lakini hana uadilifu wa kuwa kiongozi na wala wao wenyewe wanajua kuwa hawatashinda,bali ni mchongo fulani hivi.Ile chadema ya mbowe mimi nilikuwemo ndani kabisa,ila sikutaka watu wanielewe na sikuwa na nia ya kupata cheo ila nilikuwa nachangia sana,na nilipokuwa nje ya nchi nilichangia sana.Vyeo niliona watu wanavyopewa kama na yeye alivyopewa ubunge.Ni kichekesho kwa salim mwalimu kuogombea urais na mgombea mwenza awe devota minja
Kwamba ulikuwa unamfyeka kisilisili
 
Ila wewe nawe una bichwa gumu kuelewa.
Kauliza kuhusu elimu yake sio vichenji vyake elewa swali..!!
Huyo minja sio form four leaver ana elimu nzuri tu na amewahi kufanya kazi kwa mzee mengi
 
Samia kashajioitisha Urais - mpinzani wa kweli kamuweka Gelezani ili apete.

Ni aibu eti Sakum Mwalimu ndiye mshindani wa nguvu na Samia.

Tunakokwenda siko kabisa tutatengwa na mataifa kama kukin'gan'gania kuendelea na mchakato hali wengine wamefungwa miguu na mikono.
Tutengwe kisa CHADEMA awajashiriki uchaguzi?
 
Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka

JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
Kwa Tanzania kila mtu anayo haki ya kugombea nafasi yoyote ile mradi ajue kusoma na kuandika, wangekuwa CCM tume ingewapa ushindi na Devo angekuwa makamu wetu wa rais na kale ka Lucas Mwashambwa kangebubujikwa machozi.
 
Back
Top Bottom