Desktop yangu inachukua muda sn kuwaka

Desktop yangu inachukua muda sn kuwaka

Msingi_Mbio

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
336
Reaction score
44
Toka nimeweka window 7 baada ya miezi sita computer yangu imekuwa nzito sana kwenye upande wa internet pamoja na nikitaka kuiwasha ndo kabisa inabidi niwe mpole kwani inachukua nusu saa nzima kuwaka.
Je nifanyeje na sitaki kuformat

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Toka nimeweka window 7 baada ya miezi sita computer yangu imekuwa nzito sana kwenye upande wa internet pamoja na nikitaka kuiwasha ndo kabisa inabidi niwe mpole kwani inachukua nusu saa nzima kuwaka.
Je nifanyeje na sitaki kuformat

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
1. Computer yangu imekuwa nzito sana kwenye upande wa internet
  • ​Angalia idadi ya programs ambazo umeziruhusu kufanya auto_update
  • Disable windows update - huchangia kupunguza kasi ya internet kwa application zingine
2. nikitaka kuiwasha ndo kabisa inabidi niwe mpole kwani inachukua nusu saa nzima kuwaka.
  • Fuata haya maelekezo hapa chini
  • Utaweza kuondoa hilo tatizo
Hapo kwenye bold fanya yafuatayo:
  1. Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R ,Kisha andika %temp% hapo itafunguka folder yenye files nyiingi delete files zote
  2. Rudia tena Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R , Kisha andika prefetch itafunguka folder nyengine yenye files nyiingi delete files zote
  3. Rudia tena Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R , Kisha andika MSCONFIG , Kisha click Startup tab , Then click Disable All , Click Apply then OK- Restart PC
  4. Download CCleaner hapa| Redirecting to correct download page...
Angalia hii video ili kujifunza jinsi ya kutumia CCleaner
​



  • PENDEKEZO :Kagua software ambazo zipo kwenye PC yako na hujawahi itumia hata mala moja kwa kipindi angalau wiki tatu ziondoe zote, na pindi ukizihitaji kutumia utafanya installation, Hii pia itaongeza kiasi cha free space kwenye local C, na kuongeza ufanisi wa PC yako
  • KARIBU
 
Last edited by a moderator:
Ok asante mkuu ngoja nifanye hivyo, ila kwa upande wa window update ni kweli kabisa ngoja ni disable

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom