- Tayari Ndugu
- Done !
Hapo kwenye bold fanya yafuatayo:Mwl.RCT usituchoke, naomba nami nitumie hiyo link. Natumia windows 7, home premium. Laptop yangu imekuwa inakwama Sana(inastack).Natumia Microsoft essentials, lakini naona imezidiwa. Natunguliza shukrani.
Sorry mkuu bt my pm iko empty so if u wont mybd naomba ntumie tna
Hapo kwenye bold fanya yafuatayo:
Angalia hii video ili kujifunza jinsi ya kutumia CCleaner
- Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R ,Kisha andika %temp% hapo itafunguka folder yenye files nyiingi delete files zote
- Rudia tena Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R , Kisha andika prefetch itafunguka folder nyengine yenye files nyiingi delete files zote
- Rudia tena Press Start THEN CLICK run , au bofya [Win KEY] + R , Kisha andika MSCONFIG , Kisha click Startup tab , Then click Disable All , Click Apply then OK- Restart PC
- Download CCleaner hapa| http://goo.gl/0mI9dQ
Ukimaliza hilo zoezi hapo juu Unistall Antivirus unayotumia sasa na install hiyo niliyokutumia kwenye PM
- Mpaka hapo utakuwa umeondoa tatizo ulilokuwanalo na pia utakuwa umeongeza ufanisi wa PC yako kwa asilimia 70
KARIBU Ndugu
- Angalia PM, Tayari nimetuma
Nashukuru Ndugu
- Tayari Ndugu
mkuu na mimi naomba
unisaidie hiyo link!
Samahani Mwl. Na mimi naweza kupata hio link kaka.
mwl .RCT tafadhali mim pia naomba nitumie hiyo Ant vrs, pia naomba nisaidie Pc yangu nikitaka kulog in Jf haileti notification nimejaribu kwatumia mozira na o epera zote zinakataa, nabaki msomaji tu wa habari kuchangi ndio shidaaa
tAYARI NDUGU -aNGALIA pm
- Tayari. Angalia PM
- KARBU
mkuu tafadhal msaada wako ntashkuru sana ukinsaidia na min
Done, Pls Check PM