SUZANE
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 740
- 502
Utajenga tu, ni kujipanga taratibu.
Mungu aingilie kati kiukweli
Utajenga tu, ni kujipanga taratibu.
Vyumba vitatu. Plot ya 20 kwa 20 inatosha. Ukubwa wa nyumba ni 10.0x11.6m. Kuna berdoom size 2.8x3.0m, bedroom size 2.8x3.0m, kitchen size 2.5x3.0m, master bedroom size 3.0x4.0 na lounge/sitting room size 4.0x4.0m. Store room size 1.5x2.8m.
Kwa kujipatia michoro ya ujenzi contacts juu ya picha.
kwa muuza samaki ja mie!! sijui,
lbd Neema ya Mungu tu..
Hiyo ni ngumu kama dalali kukupa jina la mtaa na namba ya nyumba inayopangishwa,Sasa hawa wanatuambiaje pata ramani halafu wanatuwekea picha
Hata kama unalima vibarua ukiamua utaweza tu kitu tunachotakiwa kuelewa thamani ya nyumba ni moja ila muda wa kujenga ni tofauti kutokana na utofauti wa kipato, hivyo kuna wengine nyumba hiyo hiyo inajengwa mwaka, mwingine miaka 2 , mitatu mpaka hata 7.kwa muuza samaki ja mie!! sijui,
lbd Neema ya Mungu tu..
Hata kama unalima vibarua ukiamua utaweza tu kitu tunachotakiwa kuelewa thamani ya nyumba ni moja ila muda wa kujenga ni tofauti kutokana na utofauti wa kipato, hivyo kuna wengine nyumba hiyo hiyo inajengwa mwaka, mwingine miaka 2 , mitatu mpaka hata 7.
Changa nunua kiwanja pia usiangalie umbali maana wengi huwa viwanja vinapatikana unakuta hachukui anasema kule mbali mwisho wa siku hela anakuwa ametumia at the time anapata hela za kujenga na kununua kiwanja kule alikokukataa bei imepanda na watu wameanza kujenga na mwisho wa siku anachukua kwa bei juu kumbe kama angechukua kipindi kile angekuwa anaanza na ujenzi moja kwa moja
Duh, bati 38? bati gani mkuu?
Unajitahidi sana kubuni mkuu, ramani zako naona ziko original na zinavutia.
Kajumba ka vyumba vitatu, kadogodogo lakini master iwe pana kidogo, pia madirisha huwa napenda narrow windows, kuna nyumba moja niliwahi kuona, madirisha yalikuwa narrow kiasi kwamba ukubwa wa dirisha kubwa umegewanya na kuwa vidirisha vitatu vidogovidogo virefu ilinivutia sana, hauna mfano wowote wa namna hiyo mkuu? Na je gharama zako zikoje kwa mchoro wa vyumba vitatu?
SUZANE, pole sana, ila hapa ndipo umasikini wa Watanzania unapoanzia!. Huyo Mungu anayemuomba akufanyie miujiza yumo ndani yako!. Ni wewe tuu ku will (tia nia kwa dhati), kuwa unataka kumiliki nyumba kama hiyo, amini nakuambia, njia zako zitafunguka na utamiliki na sii nyumba tuu, na gari zuri, kazi nzuri, mume mzuri, na familia bora, nzuri!, its all you, ndani ya uwezo wako!.duh! Mungu sianifanyie muujiza!! moyo wangu umehuzunika lkn macho yamefurahia!
Wanabodi, naomba kutoa tuu angalizo dogo la experience yangu na Jerhy.Hapo mengi zaidi, join whatsapp group.
Call or Whatsapp: +255787459850
Wanabodi, naomba kutoa tuu angalizo dogo la experience yangu na Jerhy.
Mwaka juzi 2013 aliweka tangazo kama hili humu jf na link yake ya fb, kiukweli nikawa very impressed na nikamcontact kupitia simu na e-mail tukawasiliana kwa e mail hii
Jerhy M na kupanga atafanya site visit ili kazi ianze soonest possible!.
Kiukweli jamaa yangu huyu, aliingia mitini jumla na e-mails zangu zikawa hazijibiwi tena!.
Nikapata mawazo mawili,
1. Labda jerhy ni dalali tuu wa kuweka hizi michoro bomba, ili tuu kuvutia watu, lakini mtekelezaji ni mwingine, hivyo mtu ukiwa very serious kumtafuta na mtekelezaji hayupo, dawa pekee ni kuingia mitini!.
2. Kweli Jerhy ndio yeye na ni very genuine, ila demands za kitu nilichohitaji mimi,kilikuwa ni too much kwake hivyo kujikuta hawezi, ila kusema siwezi pia hawezi, hivyo dawa pekee ikawa ni kuingia mitini jumla!.
Lengo la angalizo hili sio kutaka kumharibia Jerhy biashara yake, bali kutoa angalizo tuu, msije kuhamasika too much na kuwa na too much expectations ukatoka mbio kumtafuta faster ukitegemea it is as simple as anavyoeleza humu!, no way!, it is not that simple!. Unaweza kujikuta wewe sasa ndio unambelelezea kumpa mtu kazi!.Haya maelezo ya Jerhy humu ni matamu zaidi kuliko reality!.
Note: Next time Jerhy, ukitoa tangazo, please be serious kufutilia serious people wanaokutafuta!. tena hili angalizo langu humu ndio kwanza nimekusaidia ili ujirekebishe, kama ningeamua kusemea kule kwenye uwanja wangu wa kujidai kuwa huu ni utapeli tuu wa kutamanishana watu mijengo mizuri mizuri lakini ukiwatafuta hawa watu, wanaingia mitini!, ingekuharibia!.
NB. Kama case yangu was just one isolated na imetokea kwa bahati mbaya tuu, then sorry, endelea na matangazo yako.
Pasco
Naomba uthibitishe mawasiliano yako na mimi na nikuombe radhi unitafte tena kwa ajili ya hitaji lako.