Asante sana........ila kwa wakati tuliopo........finishing ni ghali kuliko hata nyumba yenyewe.........acha kabisa..........
Inawezekana huwa wanakopi na kuoesti. Maana kama wao mdio wabunifu wenyewe hawawezi kukimbia jukwaa kwakuwa wateja wanakuwa na hamu ya kupata bidhaa waliyotangaza. Mimi nashauri watu wasitangaze bidhaa ambayo hawazalishi wao, hawana ujuzi nayo hawafanyi biashara hiyo kwani inakuwa ni kuwapotezea muda watu. Watu serious ungekuta wametoa contacts zao kama simu, email na anwani.Hawa watu wanaoleta hizi pics I doubt Kama kweli n wao wanachora na kusanifu, the reason , kwa nini wakiweka picha tu , wanaondoka, hawajibu maswali, hawashiriani na wahitaji kujibu maswali Yao. Kuna mmoja alikuwa anaweka adverts hapa za kudesign logo,kila ukimcheki,Mara Nipo Arusha, dodoma sijui tandahimba. Why put advert if you can't even stand for it?
Yuko sahihi mkuu. Wewe unafikiri sisi tunaohangaika kupata kajumba kama hako ka vymba viwili au vitatu tutakuwa sawa na wenzetu wanaotumia milioni 10 kwa mboga au wale ambo wakiuguliwa wanapewa milioni 80 za pole? Hatuwezi kuwa na majumba kama yale majamaa yanayojiita majoka yenye makengeza. Hivi unafikiri yale yanaweza kuhangaika kuulizia ramani ya kajumba ka vyumba vitatu? Kwao hiyo ni Servanti Kwota yaani nyumba ya mtumishi, mlinzi au hausi boi. We jitu lina lala likiamka mara limepiga bil 1.6 za rada halijakaa sawa zinaingia zingine bil. 16 za Escrow, huku tena linapiga za katiba mpya halafu lenyewe kwa umafia wake ndio linakuwa ndio liandishi likuu. We unafikiri linapiga nyomi ngapi?Siyo katagharimu ...itagharimu...vyumba vitatu unaita 'ka'
Of course huyo ndio atakuwa best akiongezea na kukupa quantity ya materials (rough figure)Mtoa mada hutaki kujibu maswali, akitokea mwingine akaweka diagram, na akaweza kujibu maswali yetu, bac huyo ndo the best
Mkuu jenga tabia ya kuamini kile wanachofanya watz wenzako, mpaka ramani huamini kama mtanzania anaweza kuchora? wewe mpe specifications unazotaka uone kama hatokupa kitu roho inataka (kwenye sector hii tuna vijana wanaweza)Hizi picha wanachukua kwenye internet. Sio wao wanachora. Tafuta mchoraji mwonyeshe kiwanja atakuchorea raman nzuri tu.
Mkuu hiyo 10 Million umepiga rangi kila kitu, ceiling board, sakafu, milango (fremu plus top) na madirisha yote yaani umeweka vioo? au ni ule ujenzi wetu ukiezeka na kupiga lipu ukaweka milango na dirishani ukapiga wavu tu?. Otherwise kazi nzuri mkuu]Gharama zote ni Milioni 10[/B] kwa ujenzi wa kawaida kisha unahamia nyumba yako. Kwa anayetaka complicated finishing na installations ya vitu vya pesa ndefu basi ni 25-30 milioni.
Hizi picha wanachukua kwenye internet. Sio wao wanachora. Tafuta mchoraji mwonyeshe kiwanja atakuchorea raman nzuri tu.
Yes ni kweli kutokana na udogo wake lakini kama ukikafanyia manjonjo kanaweza kakafika mpaka 40 - 45 million kama utazunguushia na fence ya kizushiPreta nyumba inaongezeka gharama kutokana na finishing inategemea unataka quality gani kwenye finisjing lakini roughly inaweza kusimama 25ml kama finishing zako zitakuwa sio za quality ya hali ya juu sana.
Yuko sahihi mkuu. Wewe unafikiri sisi tunaohangaika kupata kajumba kama hako ka vymba viwili au vitatu tutakuwa sawa na wenzetu wanaotumia milioni 10 kwa mboga au wale ambo wakiuguliwa wanapewa milioni 80 za pole? Hatuwezi kuwa na majumba kama yale majamaa yanayojiita majoka yenye makengeza. Hivi unafikiri yale yanaweza kuhangaika kuulizia ramani ya kajumba ka vyumba vitatu? Kwao hiyo ni Servanti Kwota yaani nyumba ya mtumishi, mlinzi au hausi boi. We jitu lina lala likiamka mara limepiga bil 1.6 za rada halijakaa sawa zinaingia zingine bil. 16 za Escrow, huku tena linapiga za katiba mpya halafu lenyewe kwa umafia wake ndio linakuwa ndio liandishi likuu. We unafikiri linapiga nyomi ngapi?
Vyumba vitatu
Preta nyumba inaongezeka gharama kutokana na finishing inategemea unataka quality gani kwenye finisjing lakini roughly inaweza kusimama 25ml kama finishing zako zitakuwa sio za quality ya hali ya juu sana.
Mkuu........mpaka hiyo nyumba ifike kama inavyoonekana hapo kwenye picha.......natakiwa niwe na sh ngapi..........?........
Preta nyumba inaongezeka gharama kutokana na finishing inategemea unataka quality gani kwenye finisjing lakini roughly inaweza kusimama 25ml kama finishing zako zitakuwa sio za quality ya hali ya juu sana.