Mkuu kwa vile lengo langu sio kuombwa radhi, bali nimeeleza tuu kilichonitokea mimi nilipokutafuta. Nikianza kuleta uthibitisho it is as if bado nakumbeleleza ili uniombe radhi!, no, sikumbelezi wala sikuhitaji kuombwa radhi ndio maana ulipo ni ignore, sikuendelea kukufuatilia tena!. Hili ni angalizo muhimu kwako, don't do others, what you did me. Just That!.Naomba uthibitishe mawasiliano yako na mimi na nikuombe radhi unitafte tena 0787459850 napatikana hewani, usitumie email.
Duh, bati 38? bati gani mkuu?
Unajitahidi sana kubuni mkuu, ramani zako naona ziko original na zinavutia.
Kajumba ka vyumba vitatu, kadogodogo lakini master iwe pana kidogo, pia madirisha huwa napenda narrow windows, kuna nyumba moja niliwahi kuona, madirisha yalikuwa narrow kiasi kwamba ukubwa wa dirisha kubwa umegewanya na kuwa vidirisha vitatu vidogovidogo virefu ilinivutia sana, hauna mfano wowote wa namna hiyo mkuu? Na je gharama zako zikoje kwa mchoro wa vyumba vitatu?
Mkuu kwa vile lengo langu sio kuombwa radhi, bali nimeeleza tuu kilichonitokea mimi nilipokutafuta. Nikianza kuleta uthibitisho it is as if bado nakumbeleleza ili uniombe radhi!, no, sikumbelezi wala sikuhitaji kuombwa radhi ndio maana ulipo ni ignore, sikuendelea kukufuatilia tena!. Hili ni angalizo muhimu kwako, don't do others, what you did me. Just That!.
Yamekwisha!.
Pasco
Kwa nini watoe kwenye mitandao? Unataka kusema hawajuwi kutumia ArchCAD au haujuwi unachokiongea? Kuchora ni rahisi sana, hata mimi ninayo ArchCAD naweza kuungaunga mistari hatimaye nikatoa 3D projectin ya jengo, lakini ramani ni zaidi ya hivyo ndiyo maana watu wanaingia chuoni kusoma miaka kadhaa. Na wewe mwenzetu unayechora BURE designation yako ni nini, we Architect? Au ndiyo ukishajuwa kuungaunga ArchCAD unafikiri tayari ushamaliza? Hizo "ramani" zako zitapitishwa na nani? Tusiwadhalilishe wenzetu na taaluma zao jamani!Wanatoa kwenye Internet sio wao wanachora. Ukipenda mimi nakutengenezea bure .
Kwa nini watoe kwenye mitandao? Unataka kusema hawajuwi kutumia ArchCAD au haujuwi unachokiongea? Kuchora ni rahisi sana, hata mimi ninayo ArchCAD naweza kuungaunga mistari hatimaye nikatoa 3D projectin ya jengo, lakini ramani ni zaidi ya hivyo ndiyo maana watu wanaingia chuoni kusoma miaka kadhaa. Na wewe mwenzetu unayechora BURE designation yako ni nini, we Architect? Au ndiyo ukishajuwa kuungaunga ArchCAD unafikiri tayari ushamaliza? Hizo "ramani" zako zitapitishwa na nani? Tusiwadhalilishe wenzetu na taaluma zao jamani!
SUZANE, pole sana, ila hapa ndipo umasikini wa Watanzania unapoanzia!. Huyo Mungu anayemuomba akufanyie miujiza yumo ndani yako!. Ni wewe tuu ku will (tia nia kwa dhati), kuwa unataka kumiliki nyumba kama hiyo, amini nakuambia, njia zako zitafunguka na utamiliki na sii nyumba tuu, na gari zuri, kazi nzuri, mume mzuri, na familia bora, nzuri!, its all you, ndani ya uwezo wako!.
Karibu utembelee pande hizi
[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo[/h]
Pasco
Yes kuna mahali unakosea, tembelea ile link, nenda nayo tararibu, hiyo nyumba yako, gari envogue yako, kazi nzuri, mume mzuri, and anything you can think of, you can have it!.sasa hapo ndio patamu!!
mbona naamini Mungu?
lbd kuna imani ya ziada?
mbona najitahidi kuisaka sh??
mbona ctoki kama wenzangu??
mbona cfanikiwi???
kila kukicha heri ya jana...
lbd kuna ninapokosea ila cjajua ni wapi!!!
Yes kuna mahali unakosea, tembelea ile link, nenda nayo tararibu, hiyo nyumba yako, gari envogue yako, kazi nzuri, mume mzuri, and anything you can think of, you can have it!.
Pasco
You can only get what you want!, kuna wengine wameridhika na nyumba ya kupanga, hivyo ni wapangaji maisha yao yote!. Wapo walioridhika na usafiri wa daladala, hivyo wao ni dala dala tuu. Na kwenye magari watu wa hama, wapo, watu wa vogi, wapo, chopa wapo, na juzi nimekuta kuna ki jet kipepark pale airport nikaaambia ni ki jet cha mtu!. You can only get what you want!. Mimi wish yangu ilikuwa boda boda, nilipata na nikapata nayo ajali, sasa niko kwenye bajaj!.Helkopta unayo??!!
Hama je au vogy . . .??!!
You can only get what you want!, kuna wengine wameridhika na nyumba ya kupanga, hivyo ni wapangaji maisha yao yote!. Wapo walioridhika na usafiri wa daladala, hivy wao ni dala dala tuu. Na kwenye magari watu wa hama, wapo, watu wa vogi, wapo, chopa wapo, na juzi nimekuta kuna ki jet kipepark pale airport nikaaambia ni ki jet cha mtu!. You can only get what you want!. Mimi wish yangu ilikuwa boda boda, nilipata na nikapata nayo ajali, sasa niko kwenye bajaj!.
Pasco
Mkuu OLESAIDIMU, amini usiamini, we have all the powers za kufanya kila kitu ikiwemo miujiza!. Hakuna kitu kinachoitwa bahati nzuri au bahati mbaya!, hakuna mtu anayezaliwa na kitu, na hakuna mtu anayeondoka na kitu!. Tumekuja bila kitu, kila kitu tumekikuta duniani, na tutaondoka bila kitu kama tulivyokuja!. Hakuna aliueumbwa ili awe masikini, wala hakuna aliyeumbwa ili awe tajiri!. Usifikiri Bakhresa ana akili sana!, kwa taarifa tuu, hakusoma hata darasa moja zaidi ya madrasa!. Kuna mtu alisoma na Mengi darasa moja, class alikuwa ni mtu wa kawaida tuu na aliishia form IV!. Kule UK alikokwenda kosma ACCA, amerudia mara 3 ndipo akaclear!. Hivyo utajiri na umasikini it is just an atitude of mind!.If wishes were horses. . . . . . . Mkuu msiwape watu matumaini bila ya "how factors". Karl Marx aliandika mawazo ya mtu hutawaliwa na pale anapofanyia shughuli zinazomfanya aendeshe maisha yake. . ., . Kumaanaisha kuwa kipato chako hukufanya uwaze yale yanayowezekana kupitia kipato husika. . .na hiyo ndio reality. . . mengine sasa zaid ya hapo. . . . .Ndio hiyo. . . . .If wishes were horses
Mkuu OLESAIDIMU, amini usiamini, we have all the powers za kufanya kila kitu ikiwemo miujiza!. Hakuna kitu kinachoitwa bahati nzuri au bahati mbaya!, hakuna mtu anayezaliwa na kitu, na hakuna mtu anayeondoka na kitu!. Tumekuja bila kitu, kila kitu tumekikuta duniani, na tutaondoka bila kitu kama tulivyokuja!. Hakuna aliueumbwa ili awe masikini, wala hakuna aliyeumbwa ili awe tajiri!. Usifikiri Bakhresa ana akili sana!, kwa taarifa tuu, hakusoma hata darasa moja zaidi ya madrasa!. Kuna mtu alisoma na Mengi darasa moja, class alikuwa ni mtu wa kawaida tuu na aliishia form IV!. Kule UK alikokwenda kosma ACCA, amerudia mara 3 ndipo akaclear!. Hivyo utajiri na umasikini it is just an atitude of mind!.
We have the key to everything, ukiamini unaweza utaweza!, ukiamini utaipata hiyo nyumba, unaipata!, ukiamini utaendesha vogi, utaendesha!. Tatizo kubwa zaidi la sisi wa Tanzania ni kukosa moyo wa uthubutu!. Umasikini mbaya kabisa ni umasikini wa fikra!, ukiishajikubali kuwa wewe ni masikini, ile acceptance yako ya umasikini unafanya milango ya utajiri kujifunga na unakuwa masikini kweli!. Ukiisha amini kuwa nyumba kama hiyo huwezi kuipata, unajizibia na kujikosesha bure kabisa nyumba yako!, gari yako au mamilioni yako!.
Karibu unitembelee pande hizi!.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua!.
Pasco.
Ukizama kwenye hiyo link, utawaona waandishi na publications zao.Weka break through channels/means bhana za hao uliowataja sio kwamba waliamini tu na basi ikawa...........mi nimekupa author nawe nipe japo established publication ya "unachoamini kitakuwa".. ...
Wanatoa kwenye Internet sio wao wanachora. Ukipenda mimi nakutengenezea bure .