Ujenzi katika miji na sehemu zingine ni tofauti sana gharama za material za ujenzi, mfano ukiwa morogoro tofali 6000 kwa laki sita zile za kuchoma zinajenga kuta mpaka level ya linter kwa nyumba ya vyumba vitatu.
Mtoa mada haya maswali unayajibu pm au umesepa
Inategemea kama unatengeneza nyumba au mfano wa nyumba. Hiyo nyumba kwa bei za Arusha
Tofali zake hazipungui 5.5 million;
Bati zake mgongo mpana si chini ya 1.5 million
Cement ya kujenga hizo tofali 3000 - 1 million
Mchanga wa kujengea hizo tofali ni kama 1 million
Ufundi msingi na kuta si chini ya 2 million
Material za jamvi sijaweka, mbao/marine board bado, mbao za kupaua. Kwa hivyo vichache tayari 11 million imeshaondoka kwenye 22 million yako. Finishing ya nyumba ni ghali kuliko structure??? Tusidanganyanye kwamba 22 million utakuwa na nyumba yenye choo na kitchen ndani labda madarasa
A three bedroom design
Mmmh mkuu naomba kueleweshwa hapa karatasi isiofutika??Michoro inachapishwa kwa karatasi isiyofutika ikilowa maji miaka 50 je umewahi ona technolojia hii,
Haelewi kama kuna watu wanakaa miaka minne mpaka mitano kila siku kukesha studio wanafanya haya mambo...Mkuu jenga tabia ya kuamini kile wanachofanya watz wenzako, mpaka ramani huamini kama mtanzania anaweza kuchora? wewe mpe specifications unazotaka uone kama hatokupa kitu roho inataka (kwenye sector hii tuna vijana wanaweza)
Vyumba vitatu, kuna master mbili na study room na chumba kimoja kawaida. Kona ya nyumba hii ni round, new techinique , kwenye picha ni hizo sehemu zenye vitofali.
Haelewi kama kuna watu wanakaa miaka minne mpaka mitano kila siku kukesha studio wanafanya haya mambo...