Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

[emoji23][emoji23] Ndio huwa mnasingizia hivi hivi wakati kuna wanaume wenzenu hizi mambo haziwakuti kabisa. Usipokua makini utaendelea kulalamikia wanawake kila siku wakati shida inaanzia kwenu.
Hao wana kinga wametoka makwao wameaga chale mpaka kwenye ulimi tatizo lipo kwa sisi tuliotoroka makwetu.
 
Mm demu akianza hzo pigo na mm naenda nae hvyohvyo kimalaya tuuu akinichukulia danga basi anichetue nimpe chake
Namjibu tu hamna shida panga siku uje gheto tumalize nikupe chako
Basi huwa wanakuja na majibu ya hivi
Me sijari wala nini View attachment 2930755
Huyu muuzaji janja yke anaomba ndogo tu buku 3 sasa unadhani akitupata watu 10 kwa siku ana shi ngapi fala sana
Ukute huyo demu yupo humu anasoma huu uzi 😄
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua hujui.
Hahahaha
 
Daah nyie madogo sio kila kitu mfundishwe, mwanaume hasa kama ni pangu pakavu inakubidi uwe mwepesi yaani zaidi ye wepesi kusoma mazingira.
Na kubwa zaidi na ambalo hukutakiwa kukubali ni kuonana na she sehemu usiyoijua.
Hiyo 30k inatosha kabisa kabisa kwa type ya demu mpenda kula na kunywa.

Na kama una mpango wa kumla, simple tu, chonga ramani yako na wala hatochomoka.

Ukiwekeana 50/50 na manzi mara nyingi huwa wanachomoa, labda awe geto.
 
Mkuu, Kwa usawa huu kama huna maokoto wewe kaa mbali tu na hao viumbe. Maana ni stress tupu

Ila pia naomba share namba mkuu na mm nikajibless na tunda kimasihara. Hao wa namna hiyo ndio nawapendaga mimi
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua hujui.
Kindly share number nimtafute nimuonye
 
Back
Top Bottom