Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe

Next time ukitaka kufanya outing na mwanamke, wewe kama mwanaume take a lead...(jua utampeleka wapi, yeye ndio akufuate location, uwe unajua anapendelea nini na katika maongezi jaribu kujua tabia zake n.k), beba kizawadi kidogo si lazima kiwe cha thamani...

Inabidi tuwe tunatoa tuition kwa madogo humu...

Unataka kula mbususu halafu bado una utongozaji wa kizamani wa "twende ghetto kwangu"...
 
Na akamnyima!. 😂😂😂😂.
Ujue kinachokeraga ni mtu kuona unadharauliwa, unaniombaje elf 3(whatever amount) kwa style kama ya kunifanya mjinga wakat naweza kukupa hata 30k kama ukiomba humbly tubkuwa ninakwama hapa au pale?
Sasa inategemea una date mtu wa namna gani. Kuna mtu elfu tatu kwake ni kubwa sana kutokana na aina ya maisha anayoishi.
 
Nyie mnachekesha Sana,ukitaka kuwa safe Dem aje gheto,kitimoto inafatwa kilo moja inaliwa ghetooooo km hataki apite hivi kwani Mimi Kaka yake
 
Sasa inategemea una date mtu wa namna gani. Kuna mtu elfu tatu kwake ni kubwa sana kutokana na aina ya maisha anayoishi.
Dada yangu kuna mademu wanapretend hasa huku uswahili, wengine wanajifanya wao mwendo Pizza,Bugger, KFC,misosi mengine majina hatuyajui. Ila Asubuhi kila siku anapanga foleni ya mihogo, huku akigombana na muuza mihogo kapunjwa kachumbali.
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua
Endelea kujitafuta,ukishajipata ndio uanze ku date
 
Ni kama kuna kapepo ambako hakataki nisonge mbele yaani nikishika pesa simu za vizinga vya mademu zinaanza najikuta nishatuma hela baada ya hapo ni majuto tu.
Kumbe hela mnatoa kwa maamuzi yenu lkn lawama wanapewa wengine. Kwa nini usiwakazie au huwa wanakushikia panga?
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua hujui.
Unapata wapi nguvu ya kumpa kausha damu khaki hivi hivi bila kuitesekea?
 
Back
Top Bottom