Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

Mm demu akianza hzo pigo na mm naenda nae hvyohvyo kimalaya tuuu akinichukulia danga basi anichetue nimpe chake
Namjibu tu hamna shida panga siku uje gheto tumalize nikupe chako
Basi huwa wanakuja na majibu ya hivi
Me sijari wala nini
Screenshot_20240311-003055.jpg

Huyu muuzaji janja yke anaomba ndogo tu buku 3 sasa unadhani akitupata watu 10 kwa siku ana shi ngapi fala sana
 
Sahihi kabisa.
Ndio kuendana na Story jamaa aliokota Malaya hio ni bila kupingwa na lengo la Malaya yoyote ni kukukomesha Malaya hana huruma na wewe lengo akupukutishe ubakie mtupu uende hujamla hio ndio furaha yake alafu siku nyingine ukijichanganya tena anakupiga alafu hupewi chini yeye ni kukukamua tu ukileta habari za kugonga chini anapiga danadana
 
Ushauri kwa wana.
Ukiona una bajeti ndogo; demu aje gheto moja kwa moja.
Pia kama lengo kula K mpange kabisa demu mapema lengo lako, sio kuzuga zuga. Anaweza akifika akakuambia yupo ktk P.

Kuna demu wa outing. Na kuna wa kula kukimbia.
 
Mimi nina huruma siwezi kula hela ya mwanaume. Naenda kwa nauli yangu na makutano ni gheto kwake na nikifika napika ugali dagaa tunakula na wakati wa kuondoka natumia nauli yangu na akinipa hela nakataa.
Hio huruma ya HIVYO umeanza lini? maana kuna kipengele umekiruka hapo ndio maana nakwambia wewe hauna huruma usituchore hapa
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua hujui.
Sasa huoni wewe ndio mwenye hasara ndugu,huna hela bado umeenda kumaliza hela kidgo ulichonacho umenyanganywa pasipokujua na huyo mraka wako,hujamla yaani shida tupu....sikwambii tafta hela maana hukuzipoteza ila nakuambia jiheshimu bro na ujipende kwanza wewe
 
Sure nimekosa mpaka usingizi maana pesa yangu naipata kwa tabu sana afu inakuja kupotea kipuuzi sana maana leo nimepoteza karibia 50000 kwa wanawake.

Ni kama kuna kapepo ambako hakataki nisonge mbele yaani nikishika pesa simu za vizinga vya mademu zinaanza najikuta nishatuma hela baada ya hapo ni majuto tu.
Hakuna pepo ni mindset yako tu
 
Kwahiyo aliomba buku 3 tu?
NDIYO

Huyo muuzaji janja yake buku 3 anazikusanya kwa mafala hata 10 kwa siku jumla ana ngapi unadhani
nishamtumia zaidi ya mara 5 ukimwambia tuonane anasema tutaonana tu mara hivi mara vile
sasa unadhani akitupata mabwege kam 10 hivi tukamtumia anakuwa na kama 30 hivi

Hvyo leo nikamkazia ila baadae nikamtumia tu 7bu aliweka mtego wa nauri na anajua kimara matosa huko ndanindani mpk MAKUMBUSHO pkpk ela nyingi nisingekubari apande boda 7bu wana boda zao wanakutajia ela kubwa na ungemuambia chukua bolt angesema bando hana
Nawajua vizuri hawa malaya

Ila mwisho nikamtumia tu hiyo buku 3 akafie mbele na njaa zake
Screenshot_20240311-004321.jpg
 
Sasa huoni wewe ndio mwenye hasara ndugu,huna hela bado umeenda kumaliza hela kidgo ulichonacho umenyanganywa pasipokujua na huyo mraka wako,hujamla yaani shida tupu....sikwambii tafta hela maana hukuzipoteza ila nakuambia jiheshimu bro na ujipende kwanza wewe
Kakutana na zombie anaanza kumtangazia shida zake mpaka hela za Vicoba marejesho sijui usengegani shit kichwa lazima kiume,
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua hujui.
Hivi wanawake kama hao huwa mnawatoa wapi?
 
Mm demu akianza hzo pigo na mm naenda nae hvyohvyo kimalaya tuuu akinichukulia danga basi anichetue nimpe chake
Namjibu tu hamna shida panga siku uje gheto tumalize nikupe chako
Basi huwa wanakuja na majibu ya hivi
Me sijari wala nini View attachment 2930755
Huyu muuzaji janja yke anaomba ndogo tu buku 3 sasa unadhani akitupata watu 10 kwa siku ana shi ngapi fala sana
Tafuta hela aftatu unakuja kutangaza
 
Kama huna hela usiambatane na mwanamke.Au mtoto mdogo utaaibika Au umuudhi huyo mtoto mdogo.

Kisa kifupi.
Mwanamke mmoja alikuja dukani akomgozana na mtoto mdogo wa miaka mitatu hivi.Alikua anakuja kunua unga kwakua alikua ametemgulia nikampisha amalize kuhudumiwa kisha nifuate mimi.
Mtoto alie kuja nae akaanza kulilia pipi na juice kitu ambacho dada anaonekana hakuwa na pesa nacho.Kwakua dogo hajui kama zinanumuliwa Akaanza kulia na yule mwanamke akamfinya.

Ilibidi niingilie kati nikamwambia muuza duka mpe huyu mwanangu anachotaka nitalipa sababu na mimi Nina mwanangu yupo na hizi Tabia ukienda nae dukani na bajeti yake.

Funzo mwanamke ni kama mtoto,ukienda nae sehem jipange kutumia cha ziada
 
Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi.

Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida shati nyepesi, crazy jeans na chini Crocs very simple ila good looking bajeti ya nauli niliweka elfu kumi lengo ni kama kuna matumizi mengine yataongezeka basi yasizidi hiyo hela ila kwa tahadhari nikatoka na elfu thelathini mfukoni.

Picha linaanza nimepanda daladala nimemuomba konda mapema anishushe kituo x maana sipajui nikapitilizwa vituo vitatu tayari bajeti yangu ikaanza kuvurugika ikabidi nipande Bodaboda kurudi kituo nilichopitishwa.

Nimefika kituo husika nakuta binti yupo vizuri kapendeza kimsingi ni mrembo tunasalimiana ananiambia ana njaa anataka kwenda kula kitimoto na ugali kwa mazingira tuliyopo mimi ni mgeni nikamuuliza vipi tunaenda wapi wanapouza hicho kitimoto ananiambia mimi nakufuata wewe kwa tathmini ya haraka tulipo kuna mabaa ya gharama kwa elfu 30 yangu nikaona nitakuja kuaibika so nikamwambia twende mitaa ya kwetu lengo akatae tuachane palepale au akubali ili tukifika mitaa ya ghetto iwe mtelemko kumpeleka gheto kula tunda kimasihara.

Tunaanze safari ya kuelekea home ground tunapita kwa wamachinga anadai nimnunulie pafyumu nikamkazia nikamwambia nitakuletea kama gift siku nyingine tunapanda usafiri maana ni magari mawili tulipo mpaka mitaa ninayoishi.

Tumefika wanapouza kitimoto ikabidi niagize nusu lengo waandae pale ili gheto tuende kutoa dongo akaanza kutoa maagizo jinsi anavyotaka kiandaliwe wakati tunasubiria kitimoto nikamwita muhudumu atupe viwanyaji mi nikaagiza zangu maji yeye sasa akaanza kuagiza vinywaji ambavyo bahati nzuri havikuwepo maana vingekuwepo ingekuwa hasara kwangu.

Wakati tunapiga stori akaanza habari za kuwa anataka kuhama kwao kodi na vitu vya ndani alishapata je mimi kama mimi nitamchangia nini? Nikaona ili tatizo bora liishie hapahapa hakuna haja ya kwenda ghetto ingawa nilikuwa natamani mapaja yake tumemaliza kula anadai nirequest Bolt kucheki nauli ya Bodaboda elfu kumi na mimi kwenye 30 yangu nimebakiwa na elfu kumi na tano na kwa vyovyote vile inabidi nibaki na ten la kuanzia maisha kesho maana sijui michongo itaendaje.

Nikampa elfu tano anadai ndogo haiwezi mfikisha kwao nikamwambia twende nyumbani maana hapa sina hela nyingine anakataa anasema basi ataenda kwa kuunganisha magari.

Sasa design ya hawa wanawake wasiojali kuhusu financial status ya mtu ni wabaya sana maana mimi licha ya kupendeza ila muonekano wangu unaonyesha kuwa naishi maisha magumu maana mwenyewe nikijiangalia kwenye kioo najiona nimebaki mifupa tuu.

Wewe dada nimekuheshimu na nimeona aibu kukufanyia ubaya sababu sina roho mbaya ila ukiendelea na utaratibu huo ipo siku utayatimba kwa wahuni ndio utajua hujui.
Mkuu,

Kuna ubaya kujikita kwenye kujiimarisha kiuchumi kabla ya kuhangaika na hao wanawake?

Naona kama uchumi wako mdogo sana, halafu huo huo mdogo unautapanya na wanawake wasiojua bajeti ni nini.

Huoni kwamba hapo unakosa nidhamu ya kutumia hela, na jambo hili litazidi kukufanya uwe katika hali mbaya kiuchumi?
 
Back
Top Bottom