Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Willy Gamba na Superman gani?

Yes, Willy Gamba na Superman gani?

Maana kijijini kwenu inawezekana kukawa na mtu anaitwa Willy Gamba, na mwingine Superman, ambao si fictional characters, ambao ni tofauti na Willy Gamba ninayemuandika mimi (a character out of the fictional works of Aristablus Elvis Musiba) na Superman ninayemuandika mimi 9 a character out of the fictional creations of Jerry Siegel0.

Ndiyo maana kabla sijakujibu, nakuuliza.

U don't have to bring in the blablabla, you jus said it all, they are fictional characters according to you!
 
Desemba 1 ni siku ya UKIMWI. Kwa mtazamo wako, je hiyo ndo siku watu waliambukizwa ukimwi au ni siku huo ugonjwa uligunduliwa?
 
U don't have to bring in the blablabla, you jus said it all, they are fictional characters according to you!

What you call blabla, sane people will call reasoning.

I provided you with my reasoning, complete with the creators of these fictional characters.

Now give me the evidence that Willy Gamba and Superman were actual people, not fictional characters.
 
nilichojifunza dini ni utumwa wa kiroho nilishasema siku zote nitamtamfuta mungu kwa kutumia akili yangu sio kufundishwa na mtu bila kuuliza swali
 
What you call blabla, sane people will call reasoning.

I provided you with my reasoning, complete with the creators of these fictional characters.

Now give me the evidence that Willy Gamba and Superman were actual people, not fictional characters.

They are fictional characters according to you!
I see how you shallow minded you are! Ooooh I would rather call you twisted..! Your ready to defend those mere fictional characters and you question the devine power that you cant even comprehend a fraction of it.....
The bible says.... Wakati huo Yesu alisema, “Nakushukuru ee Baba, Bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima na wenye elimu mambo haya, ukawafunulia wadogo.

Wadogo ni wale wanaojinyenyekeza na kukakaa miguuni mwa Yesu ili wapate kusikia na kuongozwa na yeye
 
Inshort hiyo ni siku aliyozaliwa mfalme wa hapo zaman na watu wake walikuwa wakiisherekea, lakn baada ya kukutana na Mfalme wa wafalme, akaagiza badala ya watu siku hyo kumsherekea basi imewapasa kumsherekea YESU, ndivyo ilivyo hata wachungaji wanalijua hili sana. Nipm kama utahitaji maelezo zaid,
 
Hakuna sehemu kwenye Bibilia inataja tarehe ya kuzaliwa Yesu Kristo
Lakini hii haitufungi kama wakristo kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo

Utakuwa na hoja kama utatoa hoja kwanini Xmass haipaswi kusheherekewa
Na kama msingi wa hoja yako ni kuto tajawa kwenye Bibilia basi kuna mamilioni ya mambo unafanya kama mkristo lakini hayajatajwa kwenye Bibilia direct kama ambavyo haijatajwa tarehe ya kuzaliwa kwa yesu

Kuna mambo mengi ya kuzingatia kwenye hili
Kuna utaofauti wa kalenda, tunatumia kalenda mbili tofauti kabisa enzi zile na hizi zetu
UNLESS UNATAKA KUJUA IMEKUAJE 25 DEC IKACHAGULIWA KUWA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA YESU KRISTO
 
They are fictional characters according to you!
I see how you shallow minded you are! Ooooh I would rather call you twisted..! Your ready to defend those mere fictional characters and you question the devine power that you cant even comprehend a fraction of it.....
The bible says.... Wakati huo Yesu alisema, "Nakushukuru ee Baba, Bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima na wenye elimu mambo haya, ukawafunulia wadogo.

Wadogo ni wale wanaojinyenyekeza na kukakaa miguuni mwa Yesu ili wapate kusikia na kuongozwa na yeye

Another bible thumping Jesus freak
I kill one and eat for dinner every week
Your punch is weak, stop fronting as meek
You follow Jesus, now turn the other cheek.
 
Another bible thumping Jesus freak
I kill one and eat for dinner every week
Your punch is weak, stop fronting as meek
You follow Jesus, now turn the other cheek.
Better than your fictional, hahahaha fictional ...... OMG.... Sound so freaking hahaha..
Happy New Yr Bro
 
yan ndo umejua leo mkuu,hii ktu haina biblical backup mkuu,wala haina spiritual effects,it has nothng to do with christ or christianity,n sherehe tu km sherehe nyngne km valentine day,ukiipa uzito wa kiroho inakua n juu yako na wala haikusaidii chochote.
 
Back
Top Bottom