Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Nakuuliza ule mwamba ambao kanisa limejengwa uliwai kusheherekea 25/December ? kama laah kuna andiko lolote ? kama laah haya tuambie umetoa wapi?
Unacho nishangaza hadi nikuone wewe una fani ya wazimu ni hicho Nimekupa Ushahidi wa ayat kwamba SISI Wakristo Tumepewa Funguo! Na wewe mwenye fani ya walahi sitaki, Tuwekee humu Hata jina la ngariba aliye mtahiri nyama ya govi la muhammad ili nijue msingi wa kuamini kwako kafir mkubwa wee
 
Unacho nishangaza hadi nikuone wewe una fani ya wazimu ni hicho Nimekupa Ushahidi wa ayat kwamba SISI Wakristo Tumepewa Funguo! Na wewe mwenye fani ya walahi sitaki, Tuwekee humu Hata jina la ngariba aliye mtahiri nyama ya govi la muhammad ili nijue msingi wa kuamini kwako kafir mkubwa wee
Mmepewa ufunguo wa kuleta upagani kwenye ukristo ? ahahahhaahhahaahahahhah waliopewa ufunguo awajawai ruhusu wala mwambia mtu afanye hicho cha 25/December bila shaka hii funguo mlionayo nyie sasa ni ya mchina
 
ni Christ mass, misa ya Yesu na sio christ birthday..just kukumbuka !
Wewe pia umekosea..

Hapo kwenye ' mass' sio hivyo ila ni single '.s'...yaani mas

Christmas...

Mas ni neno la kigiriki lililomaanisha Festival
Hivyo ni Christ Festivals
 
Mmepewa ufunguo wa kuleta upagani kwenye ukristo ? ahahahhaahhahaahahahhah waliopewa ufunguo awajawai ruhusu wala mwambia mtu afanye hicho cha 25/December bila shaka hii funguo mlionayo nyie sasa ni ya mchina

wewe huna deen wala imamani Hivyo sishangai unaposema "mmepewa Ufunguo wa kuleta upagani" ingekuwa muislamu ungeheshimu Kauli hizi za allah
IMG_20181030_125050_748.jpg
na amesema Wakristo WASIHOFU
IMG_20181213_102204_785.jpg
wewe kafir mtoto wa mshahara ndio ututie hofu
 
wewe huna deen wala imamani Hivyo sishangai unaposema "mmepewa Ufunguo wa kuleta upagani" ingekuwa muislamu ungeheshimu Kauli hizi za allah View attachment 966671 na amesema Wakristo WASIHOFU View attachment 966676 wewe kafir mtoto wa mshahara ndio ututie hofu
Hizi aya azikupi wewe uhalali wa kuongeza vitu ambavyo manabii awajafundisha . ukiongeza ambacho hakipo kama Christmas halafu ukajifanya ni sehemu ya mafundisho huo ni uzushi na unafiki ulio wazi, maandiko yanajitosheleza hayaitaji msaada
 
Hizi aya azikupi wewe uhalali wa kuongeza vitu ambavyo manabii awajafundisha . ukiongeza ambacho hakipo kama Christmas halafu ukajifanya ni sehemu ya mafundisho huo ni uzushi na unafiki ulio wazi, maandiko yanajitosheleza hayaitaji msaada
Siku hizi binadamu walio umbwa na Mungu kwa mfano wake ndo hao hao wanaongeza madudu ktk biblia na ukiuliza imeandikwa wapi hutapata majibu zaidi tu utaambulia matusi na kejeli za kijinga ila tukumbuke Mungu wetu habadiliki wala si kigeugeu alichoamuru na kutuagiza sisi kufanya hakitabadilishwa na binadamu yoyote katika dunia hii haya mnayoyaona ni maigizo tu ya wanadamu wenye dhambi wakihangaika na hii dunia Kila aina ya uchafu
 
Wanaosherehekea Christmas ni watu ambao akli zao hazko sawa.... in short unatakiwa uwe taahira kukubaliana na malengo ya christmas...hii ni sku inayohamasisha uzinzi na uasherati, ulevi na kila aina ya ufuska...na kamwe Mungu hatukuzwi kihuni namna hiyo, sku yenyewe ni fake, na inamilikiwa na shetani..mtu mzima na akli zake anahenyeka...watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
watoto wa kawaida wa wanadamu. Kwa kuwa tarehe ya 25 Desemba ni mapato ya utekaji sikukuu ya kipagani, kwa akili, ndio utamadunisho (rej. Mt 22:37), kusudi siku ya Mungu-jua wa wapagani itumike kumtukuzia Mungu Jua wa kweli yaani Yesu Kristo (rej. Yn 1:5-9), kutungwa kwake huadhimishwa kimahesabu nyuma, tarehe 25 Machi, ndiyo sikukuu ya Kupashwa Habari Bikira Maria. Tangu tarehe 25 Machi hadi 25 Desemba ni miezi tisa kamili. Hii ndiyo mantiki ya utamadunisho wa Kikristo.
Je, Kutamadunisha Kitu ni Halali?
Ni halali kabisa. Wapo wanaokasirika na kufoka kwa nini Wakristo walichukua tarehe ya wapagani, 25 Desemba kusherekea jambo la Kikristo. Watu kama hao ni wasahaulifu tu, usiwajali. Utamadunisho ni uchukuaji wa kitu fulani, kukipa maana mpya au nzuri zaidi na kukitumia. Wakristo hawawezi kukataa mambo ya wapagani wala wapagani hawawezi kukataa mambo ya Wakristo. Dunia ni moja, tunashirikishana. Wakristo hawana uwezo wa kuvumbua kila kitu chao. Tena hawapo Wakristo wa kanisa lolote waliovumbua vyote wanavyovitumia wenyewe. Asikudanganye mtu.
Kumbe, wanachogundua upande mmoja wa dunia, wewe wa upande mwingine unaweza kukichukua na kukitumia kwa manufaa yako. Cha wapagani kinaweza kutamadunishwa na Wakristo wakakitumia, na cha Wakristo kinaweza kuchukuliwa na Wapagani wakakitumia. Usinibishe.
Yafuatayo ni mambo ya uvumbuzi wa wapagani nasi tunatumia tena kwa furaha kabisa. Labda hatujui. Suruali, viatu, miwani, kioo, herufi, hesabu, kusoma na kuandika, matibabu ya hospitali n.k. Kama wewe ni mmoja wa wale wasiotaka kabisa mambo ya wapagani, usivitumie vitu hivi kuanzia kesho.
Huenda majibu haya yamekuzidi urefu. Lakini yasome moja moja kwa umakini mkubwa kama unataka kuujua ukweli. Kuyasoma majibu haya kwa umakini ndiyo gharama ya kujua tarehe ya kuzaliwa Bwana Yesu.
Du hadi suruali, sasa mimi mwanaume nikavae sketi au nidunde mtaani uchi dushelele ikiyumbayumba kushoto kulia, vitu vingine vya kipagani navifanya na sioni ajabu, ntaona ajabu yule asiyekifanya
 
Back
Top Bottom