Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

Ili tukio NI Kama la hamza kuna kitu wamemfanya huyo dereva.
Na inawezekana kweli alitaka kuwagonga na gari
 
Body cam footage za hao polisi ziwekwe hadharani tujue ukweli ni upi.
Alafu rpc anasema ni jambazi, hivi tuna jeshi kweli?.

Na nini kilishindikana askali watatu mmoja akiwa na siraha kushindwa kumkamata mtu, pia ulazima wa kumuua ni nini badala ya kumpasia miguu!.

Jeshi butu kwa kweli no weledi hapo.
 
Ila kwa dangote kuna shida,mara nyingi sana tunawasoma kwenye matukio ya barabarani.mbona makampuni mengine hatuyasikii.
 
Askari watatu wenye silaha Wana jeruhiwa na Raia mmoja mwenye kisu!!!
Matatizo ya kuajiri wenye div 4 na zero haya.
 
Wale wale, Jina lake tu tayari linasema kila kitu
 
Body cam footage za hao polisi ziwekwe hadharani tujue ukweli ni upi.
Hatuwezi kuchosha Polisi wetu kuwabebesha camera wakati wakorofi ni hao hao ndugu wa Hamza. Dawa Yao Risasi na watatolewa chuma za kutosha kabla ya mazishi
 
Haiwezekani dereva atoke daslm aende kuwapokonya hao walio vichakani kuna kitu kipo hapo kimejificha...
 
Nawajua polisiccm unadhani kwanini HAMZA Watanzania wengi walimuona ni shujaa? Unadhani kwanini polisiccm wanachukiwa sana na Watanzania wengi?

usiseme watanzania wengi sema ufipa,ambao hata 12 hawafiki.
 
Ila Dah... mafunzo na mazoezi yanaitajika zaidi...

Mtu mwenye kisu na kuja kujeruhi askari watatu na pia katika askari hao ana silahaa.
Na mbali zaidi wanatumia nguvu kubwa kuchapa raia risasi lihali raia ana kisu tu..!

Kweli bado kuna changa moto katika kukabiliana na Magaidi hasa katika kitengo cha police

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Magaidi Acha washughulikiwe
Kumuua gaidi ni kumpendelea maana wale wanapenda kufa kuliko kuishi, nimeshangaa weledi wa polisi raia mmoja mwenye kisu wameshindwa mdhibiti na kumkamata akiwa hai hadi wamuue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…