Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

Acha kuifananisha bangi na vitu vya ovyo, jadili kichwa cha mvutaji sio bangi!
True, mie nimekaa na wana wanavuta bangi ila huwezi jua mpaka akusanue mwenyewe. Kuna mmoja nimesoma nae primary anavuta mpaka form 4 ndio nikajua tena baada ya kutoka nae sehemu akawa anataka aende chimbo nikamwambia na mie naenda huko ndio akachekaaa akahisi namchota nimejua ikabidi aniambie anaenda kula msuba.
 
Tatzo abiria wenyew gari imejaa bado wanalazimisha kuingia Gari ushaambiwa express ikisimama wanalalamika inajaa ikipitiliza umetuacha 😀😀 wabongo bhana usafir hauelewek nunua gari anyway nisiwapangie maisha bhn 😀😀
Hata ukinunua gari barabara zimechimbwa zote na hao mwendokazi hii barabara pale
Kwa hizo kelele shukuruni kawaacha kimara mi ningewapeleka hadi chalinze
halafu🙄
 
Maboresho yanayotakiwa kufanyika katika mradi wa mabasi yaendayo haraka Bus rapid transit (BRT) jijini Dar es Salaam.


Nimebaini changamoto kadhaa zinazotakiwa kutatuliwa katika mradi huu.


Hivyo nimemshauri juu ya maboresho yanayotakiwa kufanywa katika mradi huu. Pitia katika link hii kusoma ushauri wote: Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo….


Pia michango mbalimbali imetolewa na wadau wengine na wameshauri jinsi ambavyo mfumo wa uendeshaji wa haya mabasi unapaswa kuwa ili kwendana na ukuaji wa teknolojia:


Ushauri wote tumeuandika hapa: Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo….
 
Back
Top Bottom