Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

Kungekua na utaratibu hai wa kutoa maoni,dukuduku,na malalamiko ya wateja kama wafanyavyo mashirika binafasi au taasisi binafsi basi wakata tiketi za mwendokasi,wafanya kazi bandarini,wafanya kazi ofisi za NIDA,baadhi ya manesi na madaktari wa hospitali za serikali wangekua wanabadilishwa kila kukicha, na wengi vibarua vingekua vinaota nyasi daily.
 
Back
Top Bottom