Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Bongo fleva, Singeli inachangia ubajaji, ushoga?

  • Total voters
    47
  • Poll closed .
Mi sio mpelelezi ila hii habari ina maswali mengi. Mtoto wa miaka 6 wanaume wawili lijali wasimuumize? Mwanamke mtu mzima ukifanya sex siku ya kwanza panauma sembuse mtoto wa miaka 6 asiumie hata kidogo?
Wanambaka peke yake tu kila siku au na watoto wengine?
Anarudishwa nyumbani saa ngapi na foleni za Dar hizi hadi wapate na muda wa kupaki gari sehemu wambake mtoto zaidi ya mara moja?

Inawezekana ni kweli ila mtoa habari haja ripoti vizuri.
Hii shule ipo Wazo sehemu gani? Naishi wazo ila siijui. Nimeangalia hata matokeo ya darada la nne na la saba mkoa wa Dar es salaam sijaiona? Au bado haijafika la nne?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

nikiishaona neno"BLOG" tayari huwa naanza kukosa mzuka wa kuendelea kusoma taarifa.
 
Inakuwaje mzazi humkagui mtoto huko chini akiwa amelala au unamuogesha???unatakiwa umchunguze mtoto mwili wake
Uwiiii!! libakaji lingine hili hapa! unampapasa mtoto uchini? tena bila Gloves wala kunawa? unajua kwa nini Dr wanavaa gloves?? kwanza amekuruhusu?

ulisomea wapi soma la uchi mpaka ukamshikeshike mwenzio hovyo? wewe Daktari? unayajua maumbile ya uchi ukoje?? una Leseni? .........haraka sana Polisi ikisaidiana na JF! Dejane akamatwe!

ana cha kujibu ndo wanabikiri watoto hawa Limama jitu zima ukafanye yako huko uje ushikeshike mtoto wa mtu, bila kunawa eti unamungalia/check?? weeee!! huo ni ubakaji number two!

Wataalamu wapo! acha wafanye kazi hiyo! na uwalipe! vya kutosha! vinginevyo hata wewe tukikukamata ni ubakaji tu! weye ni msagaji wa kisiasa!
 
We mpuuzi nin hata hujanielewa unakurupuka kunijibu sisi wenyewe tumekuwa wazazi wetu wa kike walikuwa wanatukagua wakituogesha kila mzazi ana haki ya kumkagua mwanae kama wako humkagui ni juu yako
 
Mtoto abakwe na wanaume wawili
Atembee tu vizurii kabisa bika shida na wasigundue
Hapo ndo na mie naona upepo wa kisuri suri, kwanza tupaja km twa mbwa tudogoo! kishimo sasa mmmm!!kitoto cha ivi si kinalingana na mshedede tu??

eti haka ka mtu ka ivi! kaje nikaweke kati! tena watu wawili na kwa zamuuu..... .siku ya 1,2,34,5,.....nooooo! me wa siku izi mnashida Duniani! lkn km wanasingiziwa Malipo yake hayamithiliki!....

Mungu hadhihakiwi! nimesha wahi ona wa hivi, mtu anaonewa tu, ajili ya Pesa zake, umaridadi wake lkn mwisho wao hao wasingiziaji haukuwa mzuri saaana!....

sisemi sana lkn km ilitokea huyo mtoto akahimili vidume viwili kwa kuwapa huduma km zote tena kwa siku nyingi, Basi awekwe kwenye kitabu Maarufu cha Guiness Book Of Record!

Na mzazi Wake mtoto wa jinsia ya ''Ke'' akifa mwili wake uwekwe kwenye Maabara za wanafunzi wa Kampala Univesity ya Gongo la Mboto!...serikali ighalimikie kila kitu! tuna cha kujifunza hapo msipuuze hili!

Lkn pia nina mashaka na huyo Mzazi na Dr Aliye andika hiyo report! km mtoto wa kike alibakwa, kwa nini tumbo liume badala ya uchi kuuma??......mbegu zikiingia kwenye mfuko wa uzazi kamwe hazifanyi tumbo kuuma!

maana pale ziko sehemu yake! na hata kama tumbo liliuma!! liliumia upande gani, ktk ramani ya tumbo la mgonjwa??.....yawezekana pia

huyo Mzazi/mlezi wa mtoto alikuwa na negatve impression toka kitambo!.....nisiseme san kuwapa faida wao! ila hii kesi wamekurupuka! kuna mengi ya uongo ikipata wataalamu! tena wa kawaida tu!

lkn sijui watafidiwa vipi huyo dereva na konda! km ikithibitika ni uongo??
 
We mpuuzi nin hata hujanielewa unakurupuka kunijibu sisi wenyewe tumekuwa wazazi wetu wa kike walikuwa wanatukagua wakituogesha kila mzazi ana haki ya kumkagua mwanae kama wako humkagui ni juu yako
Sikatai kuwa walifanya au hawakufanya!! lkn Kama walifanya ivo mumy!! inabidi uwashitaki wakulipe fidia!....

kumuogesha mtoto, wako siyo sababu ya kupitisha madole makubwa magumu km nondo huko chini bila utaalamu wakufanya ivo!...ujue wamama wengi madole yao magumuuu na mikucha myeusi,

madole hayo yana magaga flani hivi! meusi, ajili ya kusugua sufuria na steel wire!...sasa eti huyu! aingize hayo madole kwa Binti yangu! harooo zitapigwa si za Dunia hii!

Dooo! kumbe mnaanziaga mbali ivo?? ndo maana heee! wadada wengi wana naniliu kuuubwa km Mtera???leo umenitoa tongotongo rafiki!! . sinto walaumu tena wadada lkn wengine watasingizia kuoshwa!
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Hii story ni ya uongo. Kuna upande wa pili wa story.. ni kama ya yule mzee wa arusha waliyemwita mwalimu wa madrasa
 
Sikatai kuwa walifanya au hawakufanya!! lkn Kama walifanya ivo mumy!! inabidi uwashitaki wakulipe fidia!....

kumuogesha mtoto, wako siyo sababu ya kupitisha madole makubwa magumu km nondo huko chini bila utaalamu wakufanya ivo!...ujue wamama wengi madole yao magumuuu na mikucha myeusi,

madole hayo yana magaga flani hivi! meusi, ajili ya kusugua sufuria na steel wire!...sasa eti huyu! aingize hayo madole kwa Binti yangu! harooo zitapigwa si za Dunia hii!

Dooo! kumbe mnaanziaga mbali ivo?? ndo maana heee! wadada wengi wana naniliu kuuubwa km Mtera???leo umenitoa tongotongo rafiki!! . sinto walaumu tena wadada lkn wengine watasingizia kuoshwa!
We umeenda mbali sana unawaza kuingiza vidole
Ukiangalia tu kwa macho utajua na utaona kama mtoto ameingiliwa au wakati unamtawaza atalalamika anaumia kama amebakwa
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Kubaka mtoto adhabu yake iwe kunyongwa mpaka kufa. End
 
We umeenda mbali sana unawaza kuingiza vidole
Ukiangalia tu kwa macho utajua na utaona kama mtoto ameingiliwa au wakati unamtawaza atalalamika anaumia kama amebakwa
Kuna ile skyburum mtoto anakuwa na choo ngumu ajili ya vyakula km ulezi, mtama,ngano nk! hiii inawachana watoto! lkn pia fikiria kiuno na mijipaja ya konda au dereva, aingie kati kwa mtoto mdogo!

Pelvis yake ni ndogo sana, akiingia kiguvu atapasua pasua kila kitu tena anakaua kabisaa!... ke mtu mzima wenye viuno vyembamba kinaingiaga kichwa tu! wengi wanakimbiwa na me! sembuse mtoto!

utamu wa ile kitu miguno! na manjonjo sasa kale katoto ka ivi kana miguno gani!!! na ke km huna miguno utaachwa tu shoga!
 
Tema mate chini, shule haihusiki wanahusika wabakaji:
Hivi unajua mtoto huyo ananzishwa taratibu anapakwa mafuta anaingiziwa taratibu kila siku mpaka inaingia yote, naona wewe unatetea maslahi ila hujui watoto wa kike wanavyo nyanyaswa.
We faller ni muongo kinyama
 
Kuna ile skyburum mtoto anakuwa na choo ngumu ajili ya vyakula km ulezi, mtama,ngano nk! hiii inawachana watoto! lkn pia fikiria kiuno na mijipaja ya konda au dereva, aingie kati kwa mtoto mdogo!

Pelvis yake ni ndogo sana, akiingia kiguvu atapasua pasua kila kitu tena anakaua kabisaa!... ke mtu mzima wenye viuno vyembamba kinaingiaga kichwa tu! wengi wanakimbiwa na me! sembuse mtoto!

utamu wa ile kitu miguno! na manjonjo sasa kale katoto ka ivi kana miguno gani!!! na ke km huna miguno utaachwa tu shoga!
Uelewa wako ni finyu
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Uchunguzi wa kina unatakiwa hapa kabla ya yote!!
 
Hello Guys..
History ya Makondakta wa School bus kumlawiti mtoto wa miaka 6 kila siku asubih saa 11 wanapo mpita kituon na jion wanapo mrudisha anakuwa wa mwisho kwenye gari anarudishwa usiku saa 2.

Yaan ni wa kwanza kwenye kuchukuliwa kituoni alafu wana sogea gizani wanapaki gari wana mwingilia mbele na nyuma dereva na kondakta . na jioni tena wakisha shusha wanafunzi wote wanaenda kwenyeeneo wana park gizan wana mfanyia tena kisha wana mrudisha home.. hali hiyo imeendelea kwa miezi 6 bila wazazi kujua.. mpaka siku aliyo kuwa ana muogesha na kugundua ametanuka sana.

KILICHO NISHANGAZA KULIKO VYOTE NI UMRI WA MTOTO HUYO, YAAN MIAKA 6 ANAFANYWA NA WATU WAZIMA KILA SIKU NA HAKUONYESHA ISHARA YA MWENDO KWA SIKU YA KWAMZA, MPAKA AKAZOEA NA IKIWA NDIO MCHEZO KWA MIEZI YOTE HIYO??

LAKINI KINACHO NISHANGAZA HIVI KWELI KWA MAUMBILE YA MTOTO MDOGO WA MIAKA 6 ANAWEZAJE KUMUDU UUME WA KONDAKTA NA DEREVA??
 
Hilo ndio swala la kujiuliza......nadhani kuna tatizo sehemu............
 
Yaan natafakari sana uume wa mtu mzima kuingizaa kwa mtoto mdogo wa miaka6 kila siku bila dalili zozote.. atakama watoto wasikuizi wanaliswa mavyakula ya makopo wana umuka , ila bado uke wake ni mdogo na njia yake ya haja kubwa ni ndogo kumudu uume wa mtu mzima kila mara kwa miezi 6 jaamani.. kama nikweli aisee ulinzi uwe mkali sana maana matamanio ya wahuni haya jali umri bali muonekano wa mvuto wa mtoto hasa hawa wanao umuka kutokana na familia bora
 
Back
Top Bottom