mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,231
- 5,908
Me ningepiga risasi ya kichwa haina haja ya kuita askari!! Yaani naua kabisa!!Hawa ni kumalizana nao inavyofaa
Aina hii ya watu hawafai kuwepo kwenye jamii, washenzi
Me ningepiga risasi ya kichwa haina haja ya kuita askari!! Yaani naua kabisa!!Hawa ni kumalizana nao inavyofaa
Aina hii ya watu hawafai kuwepo kwenye jamii, washenzi
Huyo Mwl msindikizaji akihongwa ela ndefu ili wabakaji watekeleze masharti ya mganga itashindikana? Naye si binadamu tu na siyoi Malaika!Gari za shule inabidi ziambatane na mwalimu au mtu mzima mwenye jinsia ya kike mpaka pale watoto wote watakaposhuka na huu ndio utaratibu.
Anakuzingua huyo...Hana mpango wa kurudisha mtotoBado mamii, tuliongea kifamilia akaahidi kesho anamrudisha ila dalili zinaonyesha kesho hana mpango wa kurudi, ikifika jumapili hajamleta itabidi nitumie sheria sababu naweza kumkosa mtoto moja kwa moja. Nilihold ili tusifike mbali ila mwenzangu naona hana mpango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka hizo assumptions basi kila sehemu hakutakuwa na usalama kwa mtoto.Huyo Mwl msindikizaji akihongwa ela ndefu ili wabakaji watekeleze masharti ya mganga itashindikana? Naye si binadamu tu na siyoi Malaika!
Umejuaje yote hayasuala la gari la shule kuwa na MATRON ni shule za wahindi kule upanga na Posta ndio wameweka, wahindi wapo very smart, sisi huku unakuta EICHER lambagala na wale makondakta wavuta bangi ndio hao hao wanabeba wanafunzi asubuhi na jioni, kwenye basi watoto wanapigiwa singeli, huko huko kuna kabinti viko sekondari miaka 15, 16 maziwa yamesimama na wamevunja ungo, yaani wanayofanyiwa ikiundwa tume taifa litasimama.
Ww Ni mpumbavu Sana imagine angekuwa mwanao ungeandika huu ujinga, kwahiyo mtoto wako akinenepa akaanza kupendeza utatamani umwingilie Sio?
Otherwise umeandika hii comment ukiwa Na pombe kichwani mbali Na hapo ww Ni mshenzi hufai kuitwa baba.
Nilienda Kijenge juu nikauziwa goroko huku wakidai ni shada tupuAnaongelewa Konda na Dereva wewe unawaza habari za shule?
Hapa msomaji wa jf anahangaika vipi na shule, shule haijahusishwa na ndio maana hata polisi wamekamata dereva na konda, hata mmiliki hausiki.
Wa-Tanganyika ipo shida mahali, hakyanani.
Umetoa maoni ya Kipumbavu, nimekuuliza ikiwa binti yako ana huo muonekano unaouzungumzia utamtani ?Wee ndogo nini????
Mi nimetoa maoni yangu hapo nina kosa gani?wee hujui muonekano nao unafanya mtu atamani? Unajua huyo mbakwaji yukoje? Unyamaze shwain wahed
Umetoa maoni ya Kipumbavu, nimekuuliza ikiwa binti yako ana huo muonekano unaouzungumzia utamtani ?
Kama huoni kosa lako bas unapaswa kupimwa afya YA akili yako.
Hilo ni jibu dhaifu na rahisi mno! kwa hoja ngumu yenye mashiko na fikirishi!!..... na ni majibu ya vilaza wengi wanaoishi kwa mihemko!Uelewa wako ni finyu
Kwanza school bus inatakiwa kuwa na Matron wa kike how wote wawe wa kiume? Lakini pia hizi shule hazina ukaribu na madereva na matrons wanahusika na school bus, ilipaswa case kama hii ikitokea shule pia iwajibike.
Ni kwamba unasema tatizo liliendelea muda mrefu. Kwa hiyo kama mtoto angekaguliwa ungegundua mapema. Kumbuka you are dealing with Satanism here.sidhani Kama mtoto atakuwa na kumbukumbu nzuri.japo lengo lako mzazi ni zuri.atajiuliza baba au mama uwa ananiita na kunipanua ana lengo gani.kumbuka dunia ya Sasa kila kitu mtoto anajua.
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
amjibu mtu kiroho na yeye yupo kimwili hawezi kukuelewa kamwe.Ni kwamba unasema tatizo liliendelea muda mrefu. Kwa hiyo kama mtoto angekaguliwa ungegundua mapema. Kumbuka you are dealing with Satanism here.