Ndio maana kuna mdau humu husema shule mlienda kusomea ujinga au ni kitu gani!? Tatizo mnafikiri kwa kutumia hisia na sio akili.
Kwahiyo kwako hiyo panorama blog ndio kituo cha polisi?? Huyo mzazi ndo mtoto??
Soma na hapo kama RPC kaongeza neno zaidi ya kusema uchunguzi umekamilika!!.
Ndio maana nikakwambia huenda ni kweli wamemfanyia vitendo viovu lakini si kama anavyotanabaisha huyo mama mtoto, kua muelewa kijana.
Na siwezi ona huruma kwasababu matukio kama hayo huwa yanapikwa, kule kenya mzee alinyea debe kwa 15 yrs kwa uongo walioutunga mama na mwanae(kua baba alimbaka binti yake). Tumia akili dunia ina watu wa hovyo sana.
Siku ukisingiziwa umebaka mpwa wako wa miaka 4, ndo utajua kumbe ndo inakua hivi, na mtandaoni unapopolewa kama unavowapopoa hao jamaa.