Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,405
- 46,315
Kule kwenye uzi wa hii taarifa, niliweka dosari kwenye hiyo taarifa ila kuna jamaa akanipinga vikali akisema mi ni katili sana na sina huruma.Sio kweli, labda km hujui kuhusu maumbile. Kwa mtt wa umri huo na ukiangalia muda wa tukio lilivokuaa linafanyika lazima ujiulize sana....hakuwahi kupata maumivu? Hana care giver alieweza kuona tofaut yoyote mwanzoni mana ndo time ambayo kujulikana ni rahisi
Watu wanafikiri kwa kutumia hisia na sio akili mkuu.