Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Bongo fleva, Singeli inachangia ubajaji, ushoga?


  • Total voters
    47
  • Poll closed .
Kwa sie tulioishi uarabuni hao anko na dereva saa hizi vijana wangekuwa kazini wanafunga turubai majumbani mwao,wengine wakishughulikia uchimbwaji makaburi na vibali vya mazishi...ila kwetu hapa mmh

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hivi mtoto wa miaka 6 abakwe na wanaume wawili kuanzia siku ya kwanza mzazi usigundue . Na hata huo ujasiri wa kutembea atakuwa nao kwelii? Hizi kesi nyingne isije ikawa anatafutwa mtu lakini hainingii akilini.
 
Hao washenzi wawili maisha yao yamekwisha kabisa!
Mahakama za Tanzania [emoji1241] ni wakali sana tena sana kwenye ubakaji wa watoto!
Mipumbavu sana walahi
 
Inakuwaje mzazi humkagui mtoto huko chini akiwa amelala au unamuogesha???unatakiwa umchunguze mtoto mwili wake
Ninyi kinamama ndo mnasababisha yote haya.huo muda wa kumkagua akiwa amelala au kumuogesha anautoa wapi ikiwa nae anatoka na mumewe alfajiri ya 5:00AM kuwahi vibarua na kurudi usiku amechoka nusu kufa kazi zote akifanya dada wa kazi???

Lengo la ndoa ni mama aelee watoto nyumbani kwa ukaribu kufuatilia mambo kama haya na baba kutoka kutafuta mahitaji ya familia kwa sababu haya yanafanyika vise versa bado tutaona mengi zaidi.
 
Huyo ana matatizo ya akili, ni mgonjwa wa akili ndio anaweza kumtamani mtoto eti kisa ana maumbile makubwa.

Niliona ujumbe wake nikampuuzia.

Mimi nilikuwa natilia shaka umakini wa wazazi wa kileo, mtoto anaingiliwa hadi anaharibika na wao kama wazazi wala hawashtukii.

Huu ukatili kwa watoto umetamalaki sana nchini sasa hivi. Na ukipitia habari zote hata wewe utajikuta umehoji ni wapi nafasi ya mama kwa mtoto? Wengi watoto wanalawitiwa au kubakwa mpaka wanaanza kutoa harufu ndio mzazi anakuja kujua, ni uzembe.
Hayajakukuta. Kwa sasa tuwe na uchache wa maneno. Kumuona mwenzio ni mzembe ni rahisi sana.
 
Hao washenzi wawili maisha yao yamekwisha kabisa!
Mahakama za Tanzania [emoji1241] ni wakali sana tena sana kwenye ubakaji wa watoto!
Mipumbavu sana walahi
Bado haikasaidii hako katoto furaha ya mtoto ndo imeshaondoka.

Jana nilikuwa nasoma Wikipedia jamaa huko Merikan walivamia wakauwa familia nzima mmoja wa wauwaji aliuwawa kwa sindano ya sumu (Fredrik William Mueller case) ila mama mzazi wa mke alikuwa hataki adhabu za aina hiyo kutokana na hazitarudisha utu wa mtendewa.

Itafutwe namna mzazi mmoja (mke) abaki na watoto nyumbani kuwalinda kwa ukaribu haya mambo ya kusema kusaidiana maisha wazazi wanatoka wote asubuhi wanarudi wote usiku watoto wengi sana wataumia.
 
Kuna wazazi wanajidai wako busy kiasi kila kitu dada ndo anafanya..... Unakuta wanarudi usiku mtoto kesha kula na kulala... Hata hiyo asubuhi hana muda hata wa kumuuliza mtoto chochote.
Eti bhana, sasa itakuwaje?
 
Hii ni uongo. Kuna siri kubwa sana nyuma ya hili suala. Amini kabisa huu ni uongo. Kuna ajenda chafu nyuma ya hili. Wanaume wawili wabake mtoto mmoja kwa pamoja? Alafu huyo mtoto asigundulike nyumbani. Uongooooo.
 
Mtoto abakwe na wanaume wawili
Atembee tu vizurii kabisa bika shida na wasigundue
Inaleta ukakasi hii.

Inawezekana walikuwa wanamfanyia vitendo vya unyanyasaji wa ki ngono ambavyo ni makosa makubwa kwa mujibu wa sheria lkn hawakufikia kumwingilia kwan asingeweza kutembea vizuri.
 
Wazazi bwana...mnapanuliana huko kwenye starehe zenu halafu mnazalishana bila uelewa....matokeo yake mnamuona mtoto kama kaja kuwaharibia maisha.... mnakuwa wakoloni, hata hao wana nafuu, ni kumfokea mtoto na kumpiga kila unapopata nafasi... mwishowe mtoto wako mwenyewe anakuja kukuogopa hata wakati anapotakiwa kutafuta msaada kwako. Yani ujinga tupu
Ni kweli
 
Wanatimiza sunna ya mtume Muhamad maana alilala na mtoto wa miaka sita
Muwe na hekima kwenye kujadili masuala yanayohusu familia, hasa kunyanyasika kwa watoto. Mkuu Mtoto anauma sana, kama kweli wewe ni Mzazi...
 
Vitu vingne vinafikirisha:
mtu mzima ke akilala na mwanaume 1 kwa mara ya kwanza, huwa anafahamika.
je mtoto miaka 6 kwa ndume 2 kwa wakati 1 hakuna aliegundua???? Hii ni movie kama movie ingne
 
Kama ulichoandika ni kweli hii case wanatoka hawa ila inauma sana
 
Huu ni Uongo Mtoto wa Miaka Sita Apigwe Mtungo Isijulikane siku ya kwanza kweli???
 
Wakike wengi wanaochangia mada hii wanaonesha dhahir kuchikizwa na unyama huu, je ni kweli wamesahau wao walianza wakiwa na umri gani? Au sababu waliharibiwa na ndg zao na huyu ameanza na konda.
Jamii zetu zimeharibika, we fikiria moto wa miaka 6 anaweza himiri mikiki je huyo wa miaka 10? Tafakari
 
Back
Top Bottom