Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Bongo fleva, Singeli inachangia ubajaji, ushoga?


  • Total voters
    47
  • Poll closed .
...Hivi kweli Mikurunge miwili ya Wanaume wa Kiafrika kweli inaweza Kuingia Kwenye 'Kijaluba' Cha Binti...na akaweza Bado kutembea?? Liangaliwe hili Vizuri. Miaka SITA???[emoji45][emoji45][emoji57][emoji57]
Shangaa mzee, kama sio mauongo kama kweli siku ya kwanza tu lazima mtoto angerudi anatembea mazengo na mzazi angejua....Bikra tu wazazi wanashtukiaga sembuse mtoto wa miaka 6 kwa njemba mbili!!
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Nimegundua uzembe wa kinamama kuwaachia madada wa kazi wasii na uzorfu kulea watoto
 
hizi tabia za ubakaji na ulawiti kwa watoto mbona kama zinataka kushamiri sana, Watu wa ustawi wa jamii, polisi, usalama wa taifa kaeni pamoja mfanye discussion nini hasa chanzo cha hizi tabia? tukadeal na chanzo kwa ukubwa wake.

Haingii akilini mibaba miwili kumuingilia kiumbe mdogo hivyo asiye na hatia, huwezi kusema issue hapo ni nyege au matamanio HAPANA, kuna shida ya USHIRIKINA HAPO.
 
Shangaa mzee, kama sio mauongo kama kweli siku ya kwanza tu lazima mtoto angerudi anatembea mazengo na mzazi angejua....Bikra tu wazazi wanashtukiaga sembuse mtoto wa miaka 6 kwa njemba mbili!!
hujui lolote omba kujifunza, hiyo bikra ya mtoto unaweza kuta wameempiga kidogo kidogo
 
Hivyo ni tafsiri Yako

Mimi nimeshangaa mwalimu Mkuu badala ya kukaa na kuwahoji hao Waandishi yeye anakimbilia ku
Kwahiyo hukusoma kama kabla ya kwenda kusali aliwapeleka waandishi kwa meneja wa shule,
Any way جد الكلاب واحد
Yaani babu wa......... ni mmoja
 
Shule za Tanzania mwalimu mkuu ndio pia anaajiri madereva wa school bus,? 😂😂🤣
Poor great thinker, mtu anajiita free mind lakini anaongozwa na udini
 
Ushirikina umetaradadi asee...hizi sio nyegee[emoji848]
 
Na hospitali kapelekwa mara 5 nyakati tofauti, Daktari Hana muda wa kumchunguza mtoto, wanatoa dawa tu.
Ila wagonjwa wengine mashauzi kweli kweli, unachukuliwa history ya ugonjwa wako kama vile unamtongozwa yaani...

Sasa Mtoto mgonjwa lakini chumba kizima anakimaliza kwa kuruka ruka, mara avute "Kalamu" na "Stethoscope" ya daktari, mara kavuta koti halafu mzazi anaishia kusema tu "we naniii jamani acha".... na ndo imetoka hiyo yaani kumshika mwanaye hakuna,,,, Sasa inakubidi wewe uachane na habari ya tiba uanze "uyaya"....
Na hizi NHIF 😆😆 sasa ukute mama mwingine kaja na timu ya watoto wanne sasa halafu chumba kinageuka "Nursery School" kwa viroja vya watoto ...Sasa kwa style hii si atatibu tu fasta mtoke mumwondelee kero eti?
 --------------------------


KWA STYLE HII YA HAWA MA-ANKO MTOTO INATAKIWA UMPEKUE KILA INAPOBIDI MAANA BILA HIVYO YANAKUKUTA KAMA HAYA..
 
hili tukio lingelitokea Zanzibar sijui ingelikuaje humu jamvini watu na matusi yao.
 
Think about what you are about to write before you post it. Kwa hiyo kama mtoto ana mwonekano mkubwa basi abakwe?

Hamna mtu mwenye umri wowote anayestahili kuingiliwa kingono pasipo consent yake.

May they rot in hell.

Ndio mwili unavutia unakuta analula vizuri chuchu nazo zishaamka kifua linaita lazma kama huna uvumilivu unatamani.
 
Mi sio mpelelezi ila hii habari ina maswali mengi. Mtoto wa miaka 6 wanaume wawili lijali wasimuumize? Mwanamke mtu mzima ukifanya sex siku ya kwanza panauma sembuse mtoto wa miaka 6 asiumie hata kidogo?
Wanambaka peke yake tu kila siku au na watoto wengine?
Anarudishwa nyumbani saa ngapi na foleni za Dar hizi hadi wapate na muda wa kupaki gari sehemu wambake mtoto zaidi ya mara moja?

Inawezekana ni kweli ila mtoa habari haja ripoti vizuri.
Hii shule ipo Wazo sehemu gani? Naishi wazo ila siijui. Nimeangalia hata matokeo ya darada la nne na la saba mkoa wa Dar es salaam sijaiona? Au bado haijafika la nne?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwamba wanaume wote wana maumbile makubwa?
 
Back
Top Bottom