Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Bongo fleva, Singeli inachangia ubajaji, ushoga?

  • Total voters
    47
  • Poll closed .
wapo watoto wengi wanapigwa dudu chini ya umri huo na wazazi hawajui, uliza na usiweke conclusion.
Jaji unaanza kutoa hukumu kabla upelelezi haujakamilika???

Kuna mzee mmoja wa Arusha au Moshi, alisingiziwa na walimu kuwa anawalawiti watoto wa shule flani ya msingi.

Kumbe wanamsingizia. Bila uchunguzi makini yule mzee angefungwa au kuuawa.

TUSEME HAPANA KWA UKATIRI WA WATOTO NA PIA TUSIPENDE KUHUKUMU KABLA YA HUKUMU YENYEWE
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Huu ndo utetezi wako? Kwamba mtoto wa miaka nane anatamanisha? Kwakuwa wanashindwa kujizuia bora kuwasaidia kuoinguza viungo vya matamanio
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Kwa hiyo kutokana na huo muonekano wake ndiyo wahalalishe huo ukatili?

Binafsi nitafurahi kuona sheria inafuata mkondo wake. Lakini pia na sisi wazazi tujitahidi kuwa karibu na watoto wetu, ili kuwalinda dhidi ya ukatili wa aina hii.
 
Kwahiyo ndio akaenda kubaka?
Aibu kwa level yako kuandika hivi,
Heshima hujengwa kwa muda mrefu ila dharau huja mara moja fasta tuuu
Pole sana
Hivyo ni tafsiri Yako

Mimi nimeshangaa mwalimu Mkuu badala ya kukaa na kuwahoji hao Waandishi yeye anakimbilia kuswali
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Sio justification ya kubakwa,inamaana wewe ubakwe tu kwa vile unaonekqnq mkubwa?
Mkuu wa shule hakutaka kuhojiwa kwa vile alikuwa anaenda "kuswali"
Lazima wabakaji wanatoka pande ile nyingine,ambayo ilisema inasingiziwa.
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Watafungwa tu kama mahakimu hawauzi haki. Ushahidi wa mtoto wa miaka unatosheleza.
 
Sio justification ya kubakwa,inamaana wewe ubakwe tu kwa vile unaonekqnq mkubwa?
Mkuu wa shule hakutaka kuhojiwa kwa vile alikuwa anaenda "kuswali"
Lazima wabakaji wanatoka pande ile nyingine,ambayo ilisema inasingiziwa.
msamehe tu mana hajua asemalo, mtoto alindwe pasi na kujalisha morphology yake, awe mwembamba ama mnene
 
Watafungwa tu kama mahakimu hawauzi haki. Ushahidi wa mtoto wa miaka unatosheleza.
mhakaimu hawauzi haki, naweza kukuwekea hapa kesi hata 10 ahakama ya rufaa ikwaachia WABAKAJI kwasababu MAWAKILI WA SERIKALI NI WAZEMBE, hakimu anabalansi tu ushahidi.
 
Tema mate chini, shule haihusiki wanahusika wabakaji:
Hivi unajua mtoto huyo ananzishwa taratibu anapakwa mafuta anaingiziwa taratibu kila siku mpaka inaingia yote, naona wewe unatetea maslahi ila hujui watoto wa kike wanavyo nyanyaswa.
Anapakwa mafuta anaingiziwa yote. Wanajf bwana wanachekesha sana

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Ifike wakati sasa kila shule iajiri msindikizaji wa wanafunzi mwananke ikiwezekana hata dereva awe mwanamke
 
Kuna watu hawashangai wanapoambiwa mtume wao aligegeda katoto ka miaka 9 ila humu wanatokwa comments za povu kwenye hiki kisa....
Bwana Utam
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Kwahiyo ndo abakwe??
 
Ifike wakati sasa kila shule iajiri msindikizaji wa wanafunzi mwananke ikiwezekana hata dereva awe mwanamke
ni kitu kizuri, gari za shule zisiwe na tinted/vioo vyeusi na ziwe na rangi njano.
Dereva na konda wavae uniform.
 
Back
Top Bottom