Dereva na 'Anko' wabaka mtoto wa miaka 6 Dar

Bongo fleva, Singeli inachangia ubajaji, ushoga?

  • Total voters
    47
  • Poll closed .
Ikikufikia utaamini, wewe unazungumzia miaka 6 wakatiwatu wanakula vitoto vya miaka 2 ?
Umesoma ukaimaliza hiyo habari, miaka 6 wapige mti mtu mbili kwa zamu mzee.

Mtu mzima tu anahenya ndo awe mtoto, wamsikilize vizuri huyo mtoto.
Wanawake ni mabingwa wa kuongeza maneno.

Huenda ni kweli wamemfanyia vitendo viovu lakini sidhani ni kama anavosimulia huyo mama yake.

Na anasema hawajaanza hivi karibuni ni kitambo tu wanamzagamua.
Kwa uzembe huo wa mzazi bora agawe mtoto alelewe na wajuao kulea.
Mtu mzima akizagamulia anajulikana ndo awe dogo wa 6 yrs tena njemba mbili na ni kwa zamu, tena kwa muda mfupi coz inabidi wawahi pia kumrudisha nyumbani.( fikiria mara 2 2 mkuu)
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Mmmh! Miaka 6 abakwe na Mtu mzima? Wanavibamia?
 
Skull bus ni eneo lingine la ushenzi kabisa. Napendekeza kila skul bus liwe na camera ama kuwe na mhudumu wa kike pia kila wakati.
Polisi wengi ndio wamiliki wa school bus, wao watakamata magari yao?
Unakumbuka ajali ya Songea/Mtwara ile iliua wanafunzi sasa wakasema sijui level seat sijui zikaguliwe...waapi bhana, hizo ni porojo, Noah inabeba wanafunzi hata 2o na mzazi wala haongei kitu
 
Inakuwaje mzazi humkagui mtoto huko chini akiwa amelala au unamuogesha???unatakiwa umchunguze mtoto mwili wake
Wazazi wengi siku hizi sio wazazi tena,ni wazaaji. Mama akirejea nyumbani ni kula kuangalia TV na kuchat kwenye makundi ya WhatsApp, kazi zote pamoja na kulea mtoto ameachiwa dada wa kazi ambaye nae ni mtoto.

Mtoto wa miaka sita kuingilia na wanaume wawili hadi anaharibika na Mama hajui ni aibu sana. Watoto zamani walikuwa wanaogeshwa na kukaguliwa, leo mtoto wa miaka mitano anaoga mwenyewe Mama hana muda.

Binaadamu tunakuwa afadhali ya Wanyama kwa sasa, maana hata mnyama akizaa hulea.
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Mtoto atabaki kuwa ni mtoto hata awe na umbile la namna gani.
 
Mi sio mpelelezi ila hii habari ina maswali mengi. Mtoto wa miaka 6 wanaume wawili lijali wasimuumize? Mwanamke mtu mzima ukifanya sex siku ya kwanza panauma sembuse mtoto wa miaka 6 asiumie hata kidogo?
Wanambaka peke yake tu kila siku au na watoto wengine?
Anarudishwa nyumbani saa ngapi na foleni za Dar hizi hadi wapate na muda wa kupaki gari sehemu wambake mtoto zaidi ya mara moja?

Inawezekana ni kweli ila mtoa habari haja ripoti vizuri.
Hii shule ipo Wazo sehemu gani? Naishi wazo ila siijui. Nimeangalia hata matokeo ya darada la nne na la saba mkoa wa Dar es salaam sijaiona? Au bado haijafika la nne?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna ukakasi bhana kwenye hii kesi...kwamba hao wabakaji walikubaliana kwamba wambake kwa zamu mtoto wa miaka sita???

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Umesoma ukaimaliza hiyo habari, miaka 6 wapige mti mtu mbili kwa zamu mzee.

Mtu mzima tu anahenya ndo awe mtoto, wamsikilize vizuri huyo mtoto.
Wanawake ni mabingwa wa kuongeza maneno.

Huenda ni kweli wamemfanyia vitendo viovu lakini sidhani ni kama anavosimulia huyo mama yake.

Na anasema hawajaanza hivi karibuni ni kitambo tu wanamzagamua.
Kwa uzembe huo wa mzazi bora agawe mtoto alelewe na wajuao kulea.
Mtu mzima akizagamulia anajulikana ndo awe dogo wa 6 yrs tena njemba mbili na ni kwa zamu, tena kwa muda mfupi coz inabidi wawahi pia kumrudisha nyumbani.( fikiria mara 2 2 mkuu)
mama ndio kasimulia au maelezo ya mtoto polisi? hivi umekula maharagwe ya wapi yarabi hata huruma huoni?
 
Daktari kagundua kuwa ni kweli, ila ushahidi wa kuwatia hatiani ndio shida.
 
Watoto wetu wapo kwenye hatari kubwa sana kwa hizi school bus, ukiweza mpeleke tu mwanao shule na kumrudisha .
 
Wakati mwingine inategemea na mwenekano wa mtoto!unakuta litoto lina miaka 8 au kumi lakini kulingana na mivyakula anayokula anaonekana kama mtu mzima wa miaka 35,hii nayo nadhani inachangia matamanio kimaunekano
Mkuu hata kama, unawezaje kusimamisha kwa mtoto wa Shule? Tena wa Darasa la Kwanza 🙆😢

Ingekuwa ni Mimi, namtibia Kijana wangu then hao wahuni wataokotwa kwenye viroba
 
Miaka 6 afu wanaume wawili tena kwa zamu??? Huo ni uongo manina zao wanaotaka kuichafu Bright school
...Hivi kweli Mikurunge miwili ya Wanaume wa Kiafrika kweli inaweza Kuingia Kwenye 'Kijaluba' Cha Binti...na akaweza Bado kutembea?? Liangaliwe hili Vizuri. Miaka SITA???[emoji45][emoji45][emoji57][emoji57]
 
MTOTO mwenye umri wa miaka sita[6 YEARS] anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Starlight Pre and Primary iliyopo Tegeta Wazo mkoani Dar es Salaam (jina kapuni) amebakwa na wanaume wawili watu wazima kwenye gari la shule, ‘school bus.’

Wanaume hao ni dereva wa basi la Shule ya Starlight Pre and Primary na kondakta wake ambaye anafahamika zaidi na watoto kwa jina la ‘anko’ na kwamba mtoto huyo amekuwa akifanyiwa ukatili huo kwa muda mrefu bila kuwaambia wazazi wake kwa sababu wabakaji hao walikuwa wakimtisha kuwa akisema watamuua.
Akizungumza na Tanzania PANORAMA Blog, mzazi wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) amesema alibaini mtoto wake kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili baada ya kulalamika mfululizo kuumwa na tumbo ndipo alipoanza kumdadisi jinsi anavyoumwa huku akimfanyia uchunguzi wa mwili.

“Siamini kwa sababu sikuwahi kufikiria wale watu wazima tena wa shule tunayoiamini kuwafuata watoto wetu nyumbani kuwapeleka shule na kuwarudisha wanaweza kufanya kitendo cha kikatili hivyo. Mtoto alikuwa haishi kulalamika kuumwa tumbo, nimempeleka Kitengule Hospitali zaidi ya mara tano, tunapewa dawa lakini malalamiko ya kuumwa tumbo hayaishi.
“Majuzi akaanza kulia tena tumbo linamuuma, nikachanganyikiwa kabisa maana kila nikienda hospitali hawaoni tatizo, nikaamua kukaa naye chini kumbembeleza huku nikimuuliza tumbo linaumaje, akawa anasita kusema, hapo akili ikashtuka.

“Nikazidisha utulivu huku nikimbembeleza asilie bali aseme linaumaje akasema anaogopa kwa sababu watamuua, nikamuuliza akina nani, hakusema. Nikamwambia hakuna wa kumuua mimi nipo na baada ya kumbembeleza sana ndiyo akaanza kusema dereva na ‘anko’ wa gari lao la shule yaani ‘school bus’ huwa wanambaka, wanambaka kwa zamu.

“Alieleza kila kitu, alisema wanavyomshika mpaka wanavyomvua nguo na wao wanavyovua. Alisema wakati wanarudishwa nyumbani kutoka shuleni watoto wote huwa wanapelekwa kwanza anabaki yeye peke yake kwenye gari, kisha gari linapelekwa eneo la ukimya, wanafunga vioo na mapazia ya kwenye vioo vya gari ndiyo wanamtendea huo unyama, wakimaliza ndiyo wanamrudisha nyumbani huku wakimtisha kuwa akisema watamuua,” alisema mzazi wa mtoto huyo na kuongeza.

“Usiku ule ule tulimpeleka hospitali akapata matibabu ya awali na wakatuambia ni kweli kaishaharibiwa kabisa. Tuliwasiliana na polisi usiku huo huo wakawahi nyumbani asubuhi asubuhi ile gari ya shule ilipofika tu yule dereva akatiwa nguvuni ila huyo mwenzake alikamatwa baadaye wakapelekwa kituo cha polisi cha Madale, kesi namba iliyofunguliwa ni MDL/RB/3889/2022, KUBAKA.

Hivi sasa tunaendelea na matibabu ya mtoto katika Hospitali ya Mwananyamala.

Tanzania PANORAMA Blog jana ilifika Shule ya Starlight Pre & Primary na kukutana na mwalimu mkuu wa shule hiyo ambaye hakuwa tayari kujitambulisha jina na baada ya kuulizwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa wafanyakazi wa shule yake, alisema hawezi kuliongea kwa sababu anajiandaa kwenda kuswali hivyo aulizwe meneja wa shule na kumuongoza mwandishi ofisi kwa meneja.

Alipoulizwa meneja wa shule ambaye naye hakujitambulisha jina lake alisema hana taarifa kuhusu tukio hilo na kuomba muda wa kuwasiliana na mkurugenzi wa shule ambaye aliomba kuongea na Tanzania PANORAMA Blog na kukanusha katakata wafanyakazi wa shule yake kubaka mtoto mwenye umri wa miaka sita huku akisisitiza wafanyakazi wake wote wapo kazini kama kawaida.

Baadhi ya wafanyakazi wa shule hiyo waliozungumza na Tanzania PANORAMA Blog wamethibitisha kukamatwa kwa wenzao wawili wanaotuhumiwa kumbaka mtoto huyo na kueleza kuwa uongozi wa shule unafanya kila jitihada kuficha ukweli.

Wakati uongozi wa Shule ya Starlight Pre and Primary ukikanusha kwa nguvu kubwa wafanyakazi wake kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mdogo wa miaka sita, RPC Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutokea tukio hilo na kueleza kuwa upelelezi umeishakamilika na jalada la kesi hiyo litapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.​

Credit: PANORAMA Blog.
MY TAKE: Kesi hii watafungwa na mahakama ya wilaya miaka 30 au maisha, mahakama ya Rufaa itawaachia maana ushahidi haukujitosheleza au walipigwa wakihojiwa, au daktari hakuitwa kutoa ushahidi.
View attachment 2430744
~ Watu wakiwatenda vibaya Majahili kama hawa mnawaita Wanyama eti?
Nina wasiwasi kama kweli walimbaka ilitakiwamzazi agundue mapema mno mtoto wa miaka 6 na wanaume wawili alafu mzazi uache kujua.. Bado Inatia mashaka

Siungi mkono ukatili kwa watoto.. Lakini nashauri uchunguzi ufanyike pande zote mbili
 
Najaribu pia kutafakari naona moja haikai wala mbili haiingii...wanaume wawili wanambaka kwa zamu mtoto wa miaka sita halafu wanamrudisha nyumbani anakuwa kawaida kabisa kiasi cha mzazi au mtu mwingine yeyote kutohisi jambo analala na kesho tena wanamchukua mpaka shuleni hata walimu wake hawahisi kitu lakini muda wa kurudi tena nyumbani wanambaka kwa zamu na hali inakuwa shwari......Duuuh...kama ni kweli basi huyo mtoto hana miaka sita lakini pia ni mzoefu wa michezo hiyo ila vinginevyo kuna sababu za kibiashara na kimaslahi....

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Watoto wanabakwa, watoto wa kiume wadogo wanalawitiwa na watu wazima kabisa mpaka anapoanza kutokwa na haja kubwa bila kujizuia ndio mzazi anagundua wewe unazungumza nini mkuu?

Wazazi wa siku hizi hawana muda wa kule watoto wao, wanawafuga. Mzazi anahakikisha tu mtoto kala, tena wengine hiyo ya kula ni kazi ya dada, mzazi anahakikisha chakula kipo ndani tu, hapo amemaliza.

Mambo haya unaweza usiyaelewe kama sio mfuatiliaji, yapo sana kwenye jamii na sasa yameshika kasi.
 
Nina wasiwasi kama kweli walimbaka ilitakiwamzazi agundue mapema mno mtoto wa miaka 6 na wanaume wawili alafu mzazi uache kujua.. Bado Inatia mashaka

Siungi mkono ukatili kwa watoto.. Lakini nashauri uchunguzi ufanyike pande zote mbili
wapo watoto wengi wanapigwa dudu chini ya umri huo na wazazi hawajui, uliza na usiweke conclusion.
 
Back
Top Bottom